Kwa nini dr. Slaa anaingia jf mara kwa mara? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini dr. Slaa anaingia jf mara kwa mara?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mabel, Dec 28, 2010.

 1. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mara nyingi Dr. Slaa anapochangia hoja mbalimbali hapa jamvini kuna watu wengine wanatoa lugha za kejeli kwake na hata baadhi kumtukana. Lakini kwa nini basi haachi kuingia na kuchangia Hoja? (TUJADILI)


  Binafsi naamini Slaa (PHD) ni mtu au ni kiongozi tofauti sana na viongozi wengine wa Tanzania na hasa Africa kwa ujumla, anaumia sana anapoona watu humu jamvini wanatoa hoja zinazodhihirisha kutokuelewa kwao kwa mambo ya kitaifa au tu kwa kuwa na maslahi binafsi na serikali au chama tawala.


  Dr. Slaa anaumia sana kuona nchi inageuka mtaji wa watu wachache ambao unachochewa na watanzania wenyewe kutojitambua na kutotambua ni nini iliyohaki yao kutokana na rasimali za nchi yao waliyopewa na Mungu BURE.


  Slaa Dr. ni mtu ninaye mhusudu, ninampenda, ninamheshimu, ninamdhamini na nitaendelea kufanya hivyo kwa nafsi yangu si kwa sababu ya chama chake, sura yake, imani yake na vitu vingine kama hivyo, ila ni roho yake ya kibinadamu, kusimamia haki, kuwa muwazi kwake binafsi, na hekima aliyopewa na MUNGU ili kutetea haki za wanyonge wana wa Taifa hili tunaoumia kwa maslahi ya watu wachache na familia zao na marafiki zao ambayo ni mazao ya msingi mbovu wa Taifa.


  Hivi kweli kwa wengine (wanaojifanya miungu watu) wenye hadhi kama ya Dr. Slaa kitaifa na kimataifa wanaweza kujumuika na sisi hapa jamvini? ukizingatia wengine hapa JF ni fyatu.
   
 2. n

  nyantella JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Acha hizo! wee umeingia moyoni mwake kuona anaumia? Muache mwenyewe aseme tutamsikia na kila mtu ataheshimu maoni yake wala hahitaji mpiga debe! tunautambua mchango wake bila wewe!! acha kujipendekeza.
   
 3. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135

  Mkuu kila binadamu ana hulka yake. Uvumilivu ni moja ya sifa zozote unazotakiwa akuwa nazo kama ukiwa kiongozi. Ukiwa kiongopzi ukumbuke kuwa unaongoza wazuri, wabaya na wasiojua na unajumuika nao. Huwezi kuwa mfalme kama unakaa kwenye kasri tu, lazima ujue matatizo ya watu wako ili uwe mfalme mzuri.

  Sio Slaa tu, kuna wengine wengi wanatukanwa kila siku lakini bado wako hapa, ndio sifa moja ya kiongozi wa kweli.
   
 4. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mkuu mtu hunena yale yajazayo nafsi yake, na hutenda vivyo hivyo.
   
 5. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mkuu nakubaliana na wewe kabisa, ila mimi hapa nimeongelea mtu mmoja tu, ni kweli wapo wengi.
   
 6. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  JF ni moja ya communication medium... na kama wewe ni mtu wa watu utatumia all means of communication na hii ikiwa moja wapo..
   
 7. D

  Derimto JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Na hata leo alikuwepo na amechangia na vizuri yeye kama kiongozi kusikiliza na kushirikiana na wananchi wanapojadili mambo mbalimbali.
   
 8. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ni kweli mkuu, na hapa kama kiongozi unapata matatizo ya wananchi wako kutoka kwenye ground state, siyo sawa na yale yakuletewe na wasaidizi wako kwani yanakuwa yamechakachuliwa
   
 9. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Uko sahihi Derimto, nimemsoma kwa uzuri kwenye thread inayomhusu mnyika
   
 10. k

  kayumba JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mkuu hapo kwenye RED inaonywesha dalili za Ushabiki kwani ni vigumu kudhibitisha isipokuwa tu yeye angesema hivyo!

  LAKINI
  Ukweli utabaki palepale kuwa Dr. Slaa mpaka sasa ameonekana kuwa mwanasiasa makini na mtetezi hodari wa masilahi ya nchi yetu. Tunatamani wanasiasa wengine waige mfano wake. Mungu ibariki Tanzania!

   
 11. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #11
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Yeye kama kiongozi wa Chadema na hiki kijiwe kina wanachama wake wengi, lazima apitie kupima hali ya hewa. Kwa taarifa yako, baadhi ya mabomu anayolipua huwa anayatoa humu ndani!
   
 12. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #12
  Dec 28, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  mwacheni Dr ajimwage jamani,kwani tuko huru tz hakuna wa kumpangia Dr nini afanye yeye ajuwa ni afanyalo

  mapinduziiii daimaaaa
   
 13. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #13
  Dec 28, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  Ni Hayo Majizi ndo Huwa yanamkejeli
   
 14. deny_all

  deny_all JF-Expert Member

  #14
  Dec 28, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 428
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35

  Ulipoongelea kuhusu communication medium nikakumbuka hii website ya wananchi - KILA MWANANCHI AWEZE KUTUMA MAONI YAKE... iliyotumia hela ya kutosha inafanya kazi kweli? na serikali wanapata walichotarajia?
   
 15. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #15
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Unamtambuaje akiwa JF
   
 16. D

  Dr Willibrod Slaa Verified User

  #16
  Dec 28, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 675
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  WanaJF,
  Elimu haina mwisho hadi unaingia Kaburini. Ninaingia mitandao mbalimbali na siyo JF tu. Naamani ni mahali pia ninaweza kutoa mchango wangu wa mawazo licha ya kujifunza kutoka kwa wenzangu. Ningetamani kuona tunajadili hoja zenye manufaa zaidi kwa Taifa letu kuliko kutukanana na pengine kama kweli mtu haelewi kitu ni vema akaelmishwa. Ushabiki, unapoteza sana muda, na kwa bahati mbaya tunasahau kuwa muda ni fedha na sehemu ya umaskini wetu inasababishwa na kukosekana kwa umakini katika kutumia mitandao kama hii "constructively and positively". Mitandao pia ni "very informative". Kwa wale wasiojua, takriban kipindi chote cha Kampeni sikuwa ninasoma magazeti kwa kuwa sehemu nyingi ya nchi yetu au magazeti hayafiki au yanafika kwa kuchelewa sana. Lakini source yangu kubwa ya Information ilikuwa mitandao ambayo nilikuwa ninatumia. That is probably the difference tuko tunaotumia mitandao kwa Tija na wako wanaotumia mitandao destructively. I think this is where we can make the difference. The issue is who decides what is constructive and what is destructive, there are always rules of objectivity and this is what rolls the ball.
   
 17. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #17
  Dec 28, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Anakuja kwa Jina lake halisi na amekuwa akilisema hili.
   
 18. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #18
  Dec 28, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Nashukuru tuko pamoja
   
 19. D

  DENYO JF-Expert Member

  #19
  Dec 28, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Slaa is the great thinker lazima awepo hewani utaongoza vipi watu kama huwasiliani nao-nenda kwenye facebook utamkuta Obama 24/7, sishangai slaa kuwepo humu this is the right approach to take for him to reach the intended goals kuna vimeo humu JF kama NewDawn and Mwiba watatoa matus na propaganda za kizushi kila siku lakini ukweli utabaki palepale
   
 20. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #20
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  usishangae Malaria Sugu akawa ndiye Mkwere wetu. Hah hah
   
Loading...