Udini umekutawala eeh!
Yaweza kuwa...??
hi!Jamani mbona mmemchunia bhoke jamani... hahahaha! Wadada hawana ushirikiano humu. Ilana wewe bhoke approach yako DUH!
Mkuu huyu jamaa ametembea sana na amekuja na hizi taarifa,wewe unataka akatembee wapi ili ajionee hizo couple?hao niliobold mbona wapo wengi sana.....jaribu kutembea utakutana nazo.......
mjapan na mswahili je?
Nimekubali.
Mhindi na Mswahili
Msomali na Mswahili
Mhindi na Msomali
Mzungu na Mwarabu
Huwa najiuliza sana...?!