mzungu na mwarabu? Nimeipenda.
PAIR ADIMU
Mhindi na Mswahili
Msomali na Mswahili
Mhindi na Msomali
Mzungu na Mwarabu
PAIR KAWAIDA
Mswahili na Mswahili
Mzungu na Mswahili
Msomali na Mwarabu
Mwarabu na Mswahili
Ufuasi wa Mange!tembelea u-turn utawaona.......
anza wewe na wengine watafuata mfano...............................ingawaje nionavyo kama hata hawajapendana basi wauate mkumbo tu.............
Mambo ya Mange haya! haya changieni mi mpitaji tu! sijui my hubby , my baby....my my kibaoooo!
Ndio katika hao adimu.
Preta mkorofi wewe!!!!!tembelea u-turn utawaona.......
nimepotea njia.
hii kweli daah
hao niliobold mbona wapo wengi sana.....jaribu kutembea utakutana nazo.......