Kwa nini bei za vyakula masokoni huongezeka sana wakati wa Ramadhani?

Kwa nini bei za vyakula masokoni huongezeka sana wakati wa Ramadhani?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
57,243
Reaction score
90,302
Ni kawaida sana kila ikifika mwezi wa Ramadhani huwa kunatokea mabadiliko ya bei za vyakula kuongezeka kwa kasi hasa maeneo ya mjini.

Nini hasa husababisha kuongezeka huku kwa bei za vyakula vingi nyakati za mfungo wa mwezi wa Ramadhani?
 
Kipindi cha mfungo hasa kwa apa afrika mashariki wafungaji ndio huongeza zaidi ulaji kuzid kile kipindi kishcho cha mfungo ivyo huitaj wa maligafi chakula hua mkubwa na walazima nakupelekea kuadimiki sokon kumbuka bidhaa ikiadimika ndio thaman upanda.asante
 
Viazi, mihogo, ndizi, maharage, tambi, tende, magimbi, maboga huja sokoni kwa wingi kipindi hiki wauzaji wanajua hizo bidhaa zitanunuliwa tu hata kwa lazima, kuna wahitaji wengi
 
Ugali hauliki sana kipindi hiki?
NIliwahi kusikia tetesi kwamba Mrisho Mpoto kipindi kile yupo peak ya kutembea bila viatu full utamaduni, aliandaa kama party fulani hivi akaalika wasanii nadhani na watu maarufu kiasi , --- muda wa menu full ugali full misosi ya kitamaduni, inaripotiwa watu wengi waliskip msosi

Nb: stori inaweza kua ya vijiweni pia
 
Kipindi cha mfungo hasa kwa apa afrika mashariki wafungaji ndio huongeza zaidi ulaji kuzid kile kipindi kishcho cha mfungo ivyo huitaj wa maligafi chakula hua mkubwa na walazima nakupelekea kuadimiki sokon kumbuka bidhaa ikiadimika ndio thaman upanda.asante
Yani wanaongezaje ulaji wakati wanakula milo miwili tu futari na daku ambapo ni tofauti na nje ramadhani wanakula milo mitatu asubuhi,mchana na jioni?
 
Milo mitatu inaliwa kwa pamoja kwenye mlo mmoja hapo bado kabla ya alfajir msosi heavy mwingine!
Kwamba wafungaji ni watu wenye uwezo wa kifedha kiasi cha kuweza kupika chakula cha milo mitatu wakakitumia mara moja tu na bado wakapika tena chakula kingine?
 
Back
Top Bottom