Kwa nini Ally Saleh akatazwe kugombea Urais TFF? Ni ubaguzi wa wazi

Wazanzibari bana 😁, chenu chenu peke yenu. Cha Tanganyika chetu sote. Kubalini ZRFA kuwa chama cha mpira cha mkoa wa Zanzibar kwanza ndipo TFF itakuwa yetu sote.
Tatizo ni Tanganyika kuwa Tanzania ,inatakiwa Tanganyika nayo iwe kama Zanzibar
 
Mpira wenyewe mnaujua nyie?Mbona kwenye cecafa hamjawahi hata kubeba ubingwa?Vitimu vyenu vikienda kwenye mashindano ya CAF vinaishia kula vichapo katika preliminary round. Nyie mnapenda kudeka kama watoto.kwanza nyie wabaguzi sana pambaf zenu na nawachukia sana kwa udini udini wenu utafikiri nyie ndo mmeanzisha hiyo dini.
Hakika wanadeka.
 
Hujui unaongea nini wewe. RAIA Wa nchi mshirika Wa muungano ananyimwa kugombea kwenye taasisi inayowakilisha muungano.TFF iitwe Tanganyika Football Federation na sio Tanzania Football Federation.

Ally Saleh anawakilisha kilio cha wazanzibar na Ana hoja nzito.

Wanufaika wanatoka povu
Ndugu yangu muungano wetu ndio shida.michezo sio mambo ya muunano.zanzibar haitambuliki fifa,wana ligi yao,shirikisho lao na wizara yao ya michezo like wise bara,lakini timu ya taifa wanaita wachezajji toka zenji,mi naona tuunganishe ligi ya zanzibar na bara,na udhamini wetu wa serengeti lager na sport pesa watakubali ?ally saleh awe mpole tu kitendo cha yeye kugombea bara maana yake zanzibar ni mkoa wa tanzania bara
 
Hilo swala tuwe makini makini nalo, je kuna mtanzania kutoka Tanzania bara anaweza kugombea hata ujumbe wa mtaa huko visiwani? Vipi ZFA, inawezekana?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app

Mkuu unachoshindwa kufahamu, TFF ni chama cha soka cha Tanzania sio cha Tanganyika. kwahiyo wazanzibari pia ni watanzania
 
Najaribu kuwaza kama wachezaji wa Zanzibar wanachezea Taifa stars na vilabu vya bara kama wachezaji wa ndani sheria ipi inao watambua kama viongozi wao hawatambuliki bara?
 
Hujui unaongea nini wewe. RAIA Wa nchi mshirika Wa muungano ananyimwa kugombea kwenye taasisi inayowakilisha muungano.TFF iitwe Tanganyika Football Federation na sio Tanzania Football Federation.

Ally Saleh anawakilisha kilio cha wazanzibar na Ana hoja nzito.

Wanufaika wanatoka povu
Mambo ya muungano ni yapi kwani? Muungano huo ni wa nchi zipi? Nasikia tu kuna SMZ na JMT, nchi ya pili ni ipi?

Kama CAF, CECAFA wamekubali, kwanini FIFA wakatae? ZNZ ni mpaka wakasemewe na TFF kule FIFA?

Hizi fujo kwanini sasa na sio kabla?

Baada ya kusikia mapato yagawanywe, uamsho wameachiwa na kumshukuru SS ndo mmeona tundu?

Achaneni na hivi vitu vidogo vidogo, tokeni mbele, kataeni MUUNGANO, mpate kila mnachodhani mnadhulumiwa ikiwa ni pamoja na maraisi wenu wote wawili.
 
Zenji wanafaidika na muungano zaidi ya sisi wa bara ila hawaachi kulia lia
 
Mpira wenyewe mnaujua nyie? Mbona kwenye cecafa hamjawahi hata kubeba ubingwa? Vitimu vyenu vikienda kwenye mashindano ya CAF vinaishia kula vichapo katika preliminary round.

Nyie mnapenda kudeka kama watoto. kwanza nyie wabaguzi sana na nawachukia sana kwa udini udini wenu utafikiri nyie ndo mmeanzisha hiyo dini.

Kimeumana! Waiter ongeza nyingine baridi tafadhali.
 
Back
Top Bottom