Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,576
- 4,060
Nilikua najuaga Kadinali Pengo ndo Papa wa Katoliki Tanzania
Pamoja na kwamba sikubaliani nae katika mabo Fulani Fulani nitabaki kumuheshimu kama mpakawa mafuta, successor of the apostles maana ndio maaan halisi ya askofu.
Unawakumbuka wanafunzi wa Yesu? walifundisha na kuwapa mikoba wengine na wengine na wengine, hadi unawaona maaskofu wa kanisa Leo Hii, inaitwa apostolic succession.Mzee "mpakwa mafuta"?Nani kampaka?.....Labda uniambie kuna mwanadamu mmoja baadhi ya wanadamu hapa duniani wanamwita "Papa" ndio kampaka mafuta kwa utashi wake mwenyewe wa kibinadamu,mungu hajahusika hapo na hajatuma mtu...labda mtupatie ushahidi..
Pengo na wengine in those lines,ni wanadamu ,anaheshimiwa kadri yeye anavyoheshimu wengine,Thats it sir!
Hakuna siasa katika hili,ni vyema ukafuatilia kama hujui!Songea ni wilaya.wilaya inaweza kuwa na jimbo kuu
Hakuna padre anayeweza kuwa Cardinal. Hiyo mambo iliisha karne kadhaa zilizopita mkuu.
Pengo ni Askofu sawa na maaskofu wengine, yeye mamlaka yake ya Uaskofu yanaishia jimbo kuu la Darisalama tu.Nilikua najuaga Kadinali Pengo ndo Papa wa Katoliki Tanzania
Hongera sana kwa kutoa elimu nzuri ili wasioelewa wapata elimu,Nasisitiza uko sawa kabisa.Acha stori za kijiweni, msamiati wa upako kanisa katoliki haupo, maaskofu wote hapa Tanzania akiwemo huyo pengo wapo chini ya balozi wa papa,
Hapa imetolewa elimu nzuri sana wewe umeamua kukalia elimu ya kijiweni, jielimishe kupitia michango ya wadau utaelewa, ingekuwa pengo ndio bosi wao ungesikia kateua askofu Fulani, kamhamisha yule, kamshusha cheo askofu Fulani, kumbuka hata kwenye sherehe za kumsimika askofu wa jimbo fulani anaweza asipangwe kwenda kumsimika, na shughuli ikafanywa na mwakilishi wa papa au atateuliwa askofu yeyote wa jimbo kuu au hata wa jimbo la kawaida
Mara nyingi hawa wawakilishi wa papa wanakuwa na cheo cha kiuaskofu au kadinari
Katika kanisa katoliki maaskofu wote huwa wanateuliwa na Papa(balozi wa papa nchini kupeleke barua ya siri wa mapadri na wakati mwingine hata walei wa mahalia na kupendekeza majina matatu ya mapadri wenye sifa kama tabia njema,elimu,imani ya kanisa na nk na majina hayo yanapelekwa kwenye cenodi kujadiliwa na jina moja litakalopita hapo linaenda kwa papa tiyari kwa kutangazwa.Pengo ni Askofu sawa na maaskofu wengine, yeye mamlaka yake ya Uaskofu yanaishia jimbo kuu la Darisalama tu.
Kardinali huteuliwa na Papa peke yake na wajibu wake mkuu ni katika kumchagua mwandamizi wa papa na kumshauri katika kuliongoza kanisa lote.Unachanganya sana haya makitu. Elewa kwamba daraja la juu kabisa ni kuwa Askofu, hata Papa ni Askofu na kwa utaratibu wa sasa ni lazima atimize majukumu yake akiwa Vatican.
Hard core kwenye ukatoliki unamtukana mwenziyo kiasi hicho!We IQ fupi sana! Yani unahukumu uelewa wangu kisa hukubaliani na Mimi? Kwa taarifa yako tu, Mimi ni mkatoliki hard to core, naifaham vizuri church hierarchy, kanisa siyo sum of national churches!! Kila jimbo lina autonomy we takataka, Pengo hawezi na hana mamlaka yeyote nje ya jimbo lake la dar es salaam, Pengo akiongea hawakilishi Tanzania, anawakilisha Dar! Kuna bwege mwingine kama wewe kaanzisha thread eti makao makuu ya kanisa Tanzania yaamishiwe Dodoma! Nonsense kabisa, ndo akili kama zako. Yani mnadhani pale st Joseph ndo makao makuu ya kanisa Tanzania? Muundo wa kanisa siyo national churches, hatuna individual national church, kuna had padri ni cardinal kwa taarifa yako, umegusa pabaya. Eti nikuPM? Nikupm mbumbumbu wa mwisho.shiit
Habar wakuu! mimi ni muumini wa dhehebu la katoliki, kumekuwa na simtofaham baina ya sisi wakatoliki kuhusu nafas ya pengo katika baraza la maaskofu tanzania! jana nilikuwa nabishana na jamaa mmoja mwenye itikad tofaut na ukristo kwa kusema ivyo nadhan mtakuwa mmenipata jamaa ni itikadi gan! kwa uwelewa wangu nafaham kama pengo ni askofu wa jimbo kuu katoliki la Dar ila kwenye balaza la askofu tanzania sifaham nafas yake na jamaa yeye anasema pengo ndio kiongozi mkuu wa wakatoliki tanzania sasa kwa mwenye uelewa juu ya hili tunaomba atufafanulie najua wapo baadhi ya wakatoliki wenye uwelewa mdogo kama mimi, ivyo kwa faida ya wengine , kiongozi mkuu wa wakatoliki tanzania ni yupi? ni kweli Pengo au kuna mwingine? na kama kuna mkubwa zaidi ya Cardinal Pengo uyo nae atakuwa Cardinal au atakuwa na cheo gan?