Kwa mwenye uelewa kuhusu nafasi ya Cardinal Pengo kwenye ukatoliki

ya Pengo muachieni Pengo huwa namfananisha na yule askofu wa Zimbabwe rafiki wa Mugabe ......lakini kwa hapa Tanzania namfananisha na mkuu wa mkoa wa DSM ni mkuu wa mkoa kama wengine ni sawa na wakatavi na simiu lakini anaweza kwenda kilimanjaro na bendera inapepea wakati mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro yupo sijui tunaweza kumuita mkuu wa mkoa mwandamizi...Pengo ni askofu kama wengine kiutaratibu lakin kiutendaji na kimaamuzi na yeye anakua mwandamizi flani hivi juu ya wengine..hata mkisema yupo sawa lakini ni wazi hayupo sawa na wengine na sababu moja kuu ni kuingia darkness room (conclave) ni zaidi ya wenzake kwa povu lolote litakalokuja...cardinal unaweza sema ni cheo cha kawaida lakin sio cha kawaida kiuhalisia katika kanisa na nje ya kanisa...kusema papa na cardinal na bishops wote ni mapadri ni sawa na kusema rais, pm na waziri mkuu wote ni wabunge...
Umeambiwa kuwa kuna mapadri ni makardinali. Unajua hilo?
 
Duh! huu mjadala ni mzito sana kwa kwel , sidhan kana tutafikia muafaka umu jukwaan, lengo kuu la kuuliza ni kutaka kujua nafas ya pengo tu kwa sisi wakatolik ili kuondoa simtofaham sasa naona karibu wachangiaji wote wanatoa majibu yenye hoja za nguvu kulingana na uelewa wao! sasa labda tungempata baba paroko umu ndan huenda yeye ndio angevunja huu mzizi wa fitina!!
 
Mkuu wa wakatoliki nchini ni nani sasa?
Kwanza kabisa jaribu kuelewa kwamba Katoliki maana yake ni Kanisa lililoko popote kwa watu wote bila kujali rangi, kabila, umri,...Vilevile katika kuimarika kiroho na kimwili kama waamini Kanisa huwa na madaraja mengi kuanzia Ubatizo na kadhalika. Katika Uongozi wa kanisa na Kimamlaka basi Askofu ndio daraja la juu kabisa. Kumbuka nilisema hapo awali kwamba kanisa liko mahali popote na kwa mantiki hiyo lina mchungaji mmoja tu ambaye historia imeanzia kwa Mtume na Halfa wa Yesu Kristu. Huyu si mwingine bali ni Mtume Petro (hutambuliwa kuwa ni Papa wa kwanza). Kwa hiyo kanisa lina Kiongozi Mkuu mmoja tu ambaye ni Papa na by default huwa Askofu wa Roma. Anapokuwa akitekeleza majukumu yake husaidiwa na Baraza lake ambao ndio makardinali kama ambavyo kanisa mahalia mf. la Tanzania-hutekeleza majukumu yake chini ya Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC). Kwa ujumla mkuu wa Kanisa ni Mmoja tu.
 
Ni mwakilishi Wa fisiem ndani ya kanisa Tanzania, vingine ni askofu kama maaskofu wengine sema dhambi ya kujiinuna na shobo kwa watawala ndo inafanya aonekane anavyotaka kuonekana.

We mpumbavu usiyejua heshima nini maishani mwako funga Sio mdomo wako tu hata huko nyuma kwako. Huyo unayemsema ana akili na upeo ambao wewe na baba yako na ukoo wako mzima kizazi mia Tatu nyuma. Ukimwelewa ndo utajua yuko String kiasi gani Hizi siasa zenu uchwara kamwe zisikufanye upoteze utu na heshima. Pumbavu
 
We mpumbavu usiyejua heshima nini maishani mwako funga Sio mdomo wako tu hata huko nyuma kwako. Huyo unayemsema ana akili na upeo ambao wewe na baba yako na ukoo wako mzima kizazi mia Tatu nyuma. Ukimwelewa ndo utajua yuko String kiasi gani Hizi siasa zenu uchwara kamwe zisikufanye upoteze utu na heshima. Pumbavu
Mama yako ndo atakua hana akili kutanua mapaja kwenye vilabu vya pombe hadi akaleta hii laana kama wewe duniani, Mimi nina akili na ndiomana nampinga huyo boya mwenzio!
 
Pengo ni Askofu kama walivyo maaskofu wengine Tanzania na mkubwa wao ni Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Tanzania na huchaguliwa na wao wenyewe.......yeye Pengo ni mwakilishi wa kwenda kumchagua Papa na cheo chake anaweza kuwa nacho hata Padri yeyote......kwa hiyo Pengo sio mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania
Yan kwa lugha rahisi Pengo ni sawa na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa anayewakilisha Mkoa wa Dar es Salaam lakini hiyo haimfanyi eti awe na nguvu kumshinda Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Darslm...nimetumia CCM maana ndo chama anacholala anakiota!
 
Pengo ni askofu mkuu wa dar es salaam tu! Akienda jumbo LA morogoro ni mualikwa tu Luna askofu mkuu wake. Ukadinali manaake ni anaweza kuingia kwenye conclave kumchagua papa, etc na ukardinali Ata padri anaweza kupewa .pengo anawakilisha jumbo katoliki LA dar es salaam tu.!
Ukiwa hujui usichangie ili usivuliwe nguo ya akili
 
Yani Ata google tu kutumia kazi ,who will take you seriously? Tafuta maana ya cardinal , tafuta church hierarchy, tafuta list ya cardinal priests. Nakusaidia kukutoa kwenye ubwege maana Ata internet inaelekea umeanza kutumia uzeeni.
Ingia Google, type " is cardinal boss of other bishops? "
 
Nimetoa list ya link, lengo ni kuwaelekea kuwa cardinal siyo lazima awe askofu, maana ya cardinal naifaham vizuri sana, na privileges zake, kifupi ni kwamba Pengo siyo mkuu wala msemaji wa kanisa Tanzania , umeelewa?
Ndiyo maana nakuambia boss wangu bado hujaelewa maana ya Cardinal-Priest uliza maana yake kwanza uelimishwe badala ya kutafuta link yenye neno priest na ku-quote.

Cardinal- priest is very different from saying a priest has become a cardinal directly. Nahofia kuandika maana yake hapa maana nitakuchanganya zaidi na wengine pia.

Ila kwa ufupi Cardinal-priest ni rank katika college of cardinals kutokana na muda Kardinali aliotumia katika wadhifa huo. Kuna wengine wanaitwa Cardinal-bishops ambao ni rank ya juu yao.

Kitu cha kuelewa ni kuwa ulichokibandikia link ni kitu kingine tofauti. Katika makadinali wote wapatao kama 220 hakuna hata mmoja ambaye amechaguliwa moja kwa moja kutoka katika rank ya upadre mpaka ukadinali.

Maelezo zaidi mtafute Paroko wako atakuelezea kwa lugha mpaka ya picha.
 
Ila Pengo ni mtu wa ajabu sana..I do not know why I view him that way!

Thats it....

He is just any other filthy human being...Shame on him!
 
Hakuna, ila yupo mkuu wa jumbo Fulani Tanzania, hakuna mkubwa kuliko mwenzie, kanisa lipo chini ya Papa ,popote pale ulimwenguni, halipo kirahisi rahisi hivo. Tofauti a makanisa ya waasi, utaskia Lutheran nchi Fulani wameruhusu abortion wengine wamekataa, Mara nchi hii ushoga hoyee nyingine no, au umeona juzi askofu kuu wa anglikana nchini kapinduliwa , unadhani katoliki inawezekana? No kwasababu hakuna mkuu kuliko wote Tanzania au nchi yoyote, ila kuna wakuu wa majimbo.
Mkuu wa wakatoliki nchini ni nani sasa?
 
Ila Pengo ni mtu wa ajabu sana..I do not know why I view him that way!

Thats it....

He is just any other filthy human being...Shame on him!
Pamoja na kwamba sikubaliani nae katika mabo Fulani Fulani nitabaki kumuheshimu kama mpakawa mafuta, successor of the apostles maana ndio maaan halisi ya askofu.
 
Kaanza yeye dharau. Sijasema kwaba Tanzania Luna padri ambaye ni cardinal, nilimaanisha Ata padri anaweza kuwa kardinali na haimaniishi atakuwa juu ya askofu, hoja yangu ni kwamba, Pengo kuwa kardinali haimpi ukubwa wowote juu ya maaskofu wa Tanzania, kwani kanisa lipo kimajimbo.
Mkuu ungetutajia jina la huyo cardinali mwingine Tanzania ingependeza.

Kingine,
Usipaniki mshinde mtu kwa hoja,
Natambua kuwa baadhi ya watu wamevurugwa humu.
Ila, niamini mimi mwenye busara ukiwa ndio muanzisha matusi inashusha hadhi yako.
 
Mkuu wa wakatoliki nchini ni nani sasa?
Hayupo....kuna majimbo na Rais wa TEC si mkuu wa Kanisa kitaifa ....utaratibu wa mabaraza ya maaskofu umekuwepo kuleta umoja wa Kanisa ndio maana tamko la Rais wa TEC linasainiwa na Maaskofu walioridhia maana Askofu ni tawala inayojitegemea ....
 
Back
Top Bottom