Kwa mwendo huu wanaume tujipe pole tuu

Kwa mwendo huu wanaume tujipe pole tuu

INSONSILE

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
1,872
Reaction score
2,742
Wana MMU hodi jamaniiiiii

Nimekuwa nikisoma thread nyingi humu MMU na nimeona wanaume wengi tunalalamika akina dada wakitugeuza ATM mashine, nakumbuka kanuni moja ya kumpata mwanamke nimeikuta hapa JF, "give her money, then give here more money, then give her more money." Anyway, back to the topic. Katika pita pita zangu nilifahamiana na binti fulani, na kadiri siku ziilivyoenda binti akawa anajisogeza kwangu. Tunakaa naye jirani hapa mtaani. Nilipoona anajileta kwa spidi 160 km/h nilijibu mapigo ila nikampa fact kuwa sitaki mambo ye kudanganyana, sema kama una mtu wako nijue. Kweli akaniambia ana mtu wake, na kweli kwenye wall page yake ya facebook, kaweka picha zake nyingi tuu na kumsifia mambo kibao jinsi anavyompenda na maneno mengine mengi ya kumsifia.

Kalivyozidi kunisumbua nikala mzigo nikasepa zangu, and my principle is, mwanamke hawezi kunigeuza ATM mashine kijinga jinga tuu. Kuna principle yake na atakayeiweza kweli atafaidi pesa zangu, japo najua wengi hawataweza. In short, i spent only the money we spent and enjoyed together. After that kila mtu hamsini zake. Then akawa ananisumbua kuniomba omba hela mara nyingi tuu. At every point when she ask money nampa excuse kibao asijue kama nina hela au la, ila nampa promise may be next month, and when next month comes, it will be like that again, waiting for another month. Huyu binti alikuwa anasoma chuo, now kamaliza kasharudi kwao. With a reasonable silence for some time, akaanza kunipigia akiwa huko, anataka niende nifunge safari amezidiwa anataka service, nikamchunia. Gradu hiyooooo, nikamchunia. Nilifanya makusudi kwa sababu kila nikianza kumsalimia lazima kitakachofuata ni kuombwa hela. Basi, recently nikampa greetings, akanizira full, hasira kibao.

Nilimjibu "sina ugomvi na wewe ila nilitaka tu kujua ulipo, maana nimepata deal fulani la pesa kuna NGo fulani imemwaga hela ya research na mimi nimefanikiwa kupata hiyo deal, sasa nilitaka nikupe suprize nikushirikishe na wewe upate mshiko usogeze siku, ukizingatia nyie walimu ajira bado hazijatoka. Anyway kama umezira its over haina shida nitamtafuta mtu mwingine nimshirikishe, but good thing research inafanyika huko kwenu."

Dah, unaweza kujua majibu yake yaliyofuata? Namhurumia sana huyu bwana wake a.k.a. mchumba, sasa hivi mtoto kashawehuka anatamani hata kesho apande gari aje. Pia ameshasahau majigambo na hasira zote alizokuwa nazo juu yangu. Mara aniite honey, baby, sweetheart, etc. Anatuma whatsup, facebook, kwenye simu, mpaka email. What a stupid kind of mapenzi? Wanaume tujifunze kitu hapa.
 
Mtalia lia sana, mtaanzisha thread sana....
attachment.php
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    21.9 KB · Views: 2,052
Owkey........so the point is........!!!!
 
Mbona wanaume huwa hatufanyi hivyo mkuu??
 
Penye uzia penyeza rupia. Rupia hata sisi wenye sura kama soli ya viatu tunajitafunia maqeen na macute wenye siha zao, afya zao mpododo huwooo. Back to the topic, wanaume tuje tufanye mgomo wa kuwapa wanawake pesa coz siku hizi wamekuwa wavivu sana kujitafutia wamebaki kuwa omba omba.

Nyinyi wadada, fanyeni kazi. Tabia za kuomba omba zinatukera sana. Cha ajabu kwenye mambo yetu yale nyie ndio wa kwanza kuseme Baby nasikia rahaaa, ingiza yooott aaaaahh uwwwwwi mpaka wengine mnajishau mnatamka Yesu wangu. Acheni hizzoooo!!!!
 
Wanaume wanaogeuzwa ATM ni wajinga tu.

Mi katu sijawahi fanywa ATM na mwanamke na haitakuja tokea kwa sababu at the end of the day, the punani ain't all it's cracked up to be.
 
SIPIYU30, kama huo ndo ugonjwa wako hiyo ndo dawa pia. Sasa tulia iingie vizuri. Acha kelele kabisaaaa
 
Last edited by a moderator:
yani sioni cha kujisifu hapa, yani wewe mpenzio awe na shida ushindwe kumsaidia wewe uielewi kabisa mapenzi na njaa hakuna ingekuwa ni mimi kunipga tarehe zisizokuwa na maana nakupiga chini mapema kwani mapenzi ni kugegedana tu... jiongeze kijana ni zaidi ya hayo
 
Mnachonifurahisha!!! Mnalalamika huku mnatoa na mtatoa sana tu.... na bado wajinga ndio waliwao
 
u r not a gentle man kabisa ,be straight ,u like f.ck..ng around thn pesa huna alafu unajigamba ,bas kuwa na mwanamke mmoja u too u r too st.pid ,uncivilized,dont knw wht to call u
 
Kama ela unayo kwa nini usimpe acheni mawazo ya kuitana ATM kama ela unayo msaidie hali ngumu sana.

Mi nawashangaa sana huo ubahiri na unyimi ni mbaya mtu anashida ati simpi mi ni ATM siyo vizuri.

Unajisikiaje mwanamke akipata shida harafu ela unayo ila unaleta imani potofu eti utaitwa atm.

Hizo imani potofu za unyimi si nzuri. Kama unayo toa kama hauna basi mwambie ukweli huna.
 
Kama ela unayo kwa nini usimpe acheni mawazo ya kuitana ATM kama ela unayo msaidie hali ngumu sana.

Mi nawashangaa sana huo ubahiri na unyimi ni mbaya mtu anashida ati simpi mi ni ATM siyo vizuri.

Unajisikiaje mwanamke akipata shida harafu ela unayo ila unaleta imani potofu eti utaitwa atm.

Hizo imani potofu za unyimi si nzuri. Kama unayo toa kama hauna basi mwambie ukweli huna.

Mdogo wangu naona unaitengeneza CV vizuri, wadada wa JF wengi wanapenda kusikia hivi. CC miss chagga
 
Last edited by a moderator:
kuna wakati huwa nawafananisha wanawake katika mapenzi na nchi ya marekani. (USA)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom