Kwa mwendo huu wanaume tujipe pole tuu

Kwa mwendo huu wanaume tujipe pole tuu

i swear mi sio mkali,and i know mwanaume bora umuheshimu kuliko kumpenda..nlifanya nlichoweza,but ndo hvo,saivi kwa kweli lazma pesa ya mtu nitumie kupunguza machungu

mungu wangu angalia lakini zisijezikakutokea puani pesa ya mtu kula kirahisi siyo kawaida
 
they dont have a permanent lover as long as most of them are after money!

mwanamke atakuganda endapo utakuwa na uwezo wa kumuwezesha muda wowote anaotaka!

but siku ukifulia, atakupa maneno ambayo hukutegemea kuyasikia kutoka kwake kabisa!

halafu tena siku ukipata pesa, atakurudia kwa mbinu za ajabu tena na machozi juu!!!!

tena na wanaume walivyo weak, atarudia tena matapishi!!!

circle itaendelea hivyo hivyo kila siku!
Inategemea unaishi mazingira, eneo ama mji gani, mkuu. Kuna mji mmoja (jina nalihifadhi) wanawake ni wengi kuliko wanaume tena naongelea succesful women. Ratio ni 25 women for every one guy!!!!
Wadada hapo wanachojali ni attention na muonekano wako na si pesa. I've been there and had a share of my own escapades............
 
Kama ela unayo kwa nini usimpe acheni mawazo ya kuitana ATM kama ela unayo msaidie hali ngumu sana.

Mi nawashangaa sana huo ubahiri na unyimi ni mbaya mtu anashida ati simpi mi ni ATM siyo vizuri.

Unajisikiaje mwanamke akipata shida harafu ela unayo ila unaleta imani potofu eti utaitwa atm.

Hizo imani potofu za unyimi si nzuri. Kama unayo toa kama hauna basi mwambie ukweli huna.

Acha swagger za kilooser wewe jamaa kuna fine distinction between mapenzi na kugeuzwa ATM sana sana kwa hawa mamanzi unaona vitu vinaenda fasta kinooooma mpaka mtu unashangaa the point is mtu mnapoitana wapenzi maana yake mapenzi ndo yanawaunganisha..so ni mapenzi tu mnatakiwa kufanya na ku-share..hizo habari za shida shida sijui nin na nin mtu anatakiwa apeleke nyumbani kwao...ila kama umesema hivyo ili PM zitiririke mie sielewi.....!!
 
Acha swagger za kilooser wewe jamaa kuna fine distinction between mapenzi na kugeuzwa ATM sana sana kwa hawa mamanzi unaona vitu vinaenda fasta kinooooma mpaka mtu unashangaa the point is mtu mnapoitana wapenzi maana yake mapenzi ndo yanawaunganisha..so ni mapenzi tu mnatakiwa kufanya na ku-share..hizo habari za shida shida sijui nin na nin mtu anatakiwa apeleke nyumbani kwao...ila kama umesema hivyo ili PM zitiririke mie sielewi.....!!

Mimi siyo mnyimi kama wewe na uwezi nifanya kuwa mchoyo.
Kama mtu akiwa na shida awe mwanamke /mwanaume na nikiwa na uwezo wa kumsaidia namsaidia.

Sina mawazo machafu kama yako ati ukisaidia ni ATM.

Kaa na uchoyo wako kwanza mi nikitoa naongezewa zaidi na zaidi.

Unyimi wako hautikupeleka popote. Dunia mapito tu
 
Mwanaume anayetumia pesa kumpata mwanamke, ana mapungufu mengi sana!!!!!!!
Mapenzi sio kugeuzana vitega uchumi, mapenzi ni kupendana, kushirikiana, kupeana, kuthaminiana..nk nk..
Sasa kuna mapenzi gani wakati wewe ni kulia shida tu mda wote, kuomba tu mda wote, huridhiki mda wote, huna msaada hata kimawazo, wewe ni kuchuna tuu mda wote....

Wanaume wanaohonga ni wajinga sana...
 
1466174_782569728424114_282633093_n.jpg
UUUUUwiiii!
 
wanaume bana maneno
mengiiiiiii matendo ziroo! kwanza wengiwao wanaoropoka ropoka humu
nakujifanya wajuaji kuleee ndio mapoyoyo wakubwa!

tena ukimgusa kirungu chake tu utasikia baby niambie wataka nn nikufanyie,
 
yani sioni cha kujisifu hapa, yani wewe mpenzio awe na shida ushindwe kumsaidia wewe uielewi kabisa mapenzi na njaa hakuna ingekuwa ni mimi kunipga tarehe zisizokuwa na maana nakupiga chini mapema kwani mapenzi ni kugegedana tu... jiongeze kijana ni zaidi ya hayo
duh duh duh
 
Mwanaume anayetumia pesa kumpata mwanamke, ana mapungufu mengi sana!!!!!!!
Mapenzi sio kugeuzana vitega uchumi, mapenzi ni kupendana, kushirikiana, kupeana, kuthaminiana..nk nk..
Sasa kuna mapenzi gani wakati wewe ni kulia shida tu mda wote, kuomba tu mda wote, huridhiki mda wote, huna msaada hata kimawazo, wewe ni kuchuna tuu mda wote....

Wanaume wanaohonga ni wajinga sana...

kwenye nyekundu umeongea vizuri sana nafasi yako bado ipo mwezi wa sita nilikuwa nasubiria comment yako
 
Wana MMU hodi jamaniiiiii

Nimekuwa nikisoma thread nyingi humu MMU na nimeona wanaume wengi tunalalamika akina dada wakitugeuza ATM mashine, nakumbuka kanuni moja ya kumpata mwanamke nimeikuta hapa JF, "give her money, then give here more money, then give her more money." Anyway, back to the topic. Katika pita pita zangu nilifahamiana na binti fulani, na kadiri siku ziilivyoenda binti akawa anajisogeza kwangu. Tunakaa naye jirani hapa mtaani. Nilipoona anajileta kwa spidi 160 km/h nilijibu mapigo ila nikampa fact kuwa sitaki mambo ye kudanganyana, sema kama una mtu wako nijue. Kweli akaniambia ana mtu wake, na kweli kwenye wall page yake ya facebook, kaweka picha zake nyingi tuu na kumsifia mambo kibao jinsi anavyompenda na maneno mengine mengi ya kumsifia.

Kalivyozidi kunisumbua nikala mzigo nikasepa zangu, and my principle is, mwanamke hawezi kunigeuza ATM mashine kijinga jinga tuu. Kuna principle yake na atakayeiweza kweli atafaidi pesa zangu, japo najua wengi hawataweza. In short, i spent only the money we spent and enjoyed together. After that kila mtu hamsini zake. Then akawa ananisumbua kuniomba omba hela mara nyingi tuu. At every point when she ask money nampa excuse kibao asijue kama nina hela au la, ila nampa promise may be next month, and when next month comes, it will be like that again, waiting for another month. Huyu binti alikuwa anasoma chuo, now kamaliza kasharudi kwao. With a reasonable silence for some time, akaanza kunipigia akiwa huko, anataka niende nifunge safari amezidiwa anataka service, nikamchunia. Gradu hiyooooo, nikamchunia. Nilifanya makusudi kwa sababu kila nikianza kumsalimia lazima kitakachofuata ni kuombwa hela. Basi, recently nikampa greetings, akanizira full, hasira kibao.

Nilimjibu "sina ugomvi na wewe ila nilitaka tu kujua ulipo, maana nimepata deal fulani la pesa kuna NGo fulani imemwaga hela ya research na mimi nimefanikiwa kupata hiyo deal, sasa nilitaka nikupe suprize nikushirikishe na wewe upate mshiko usogeze siku, ukizingatia nyie walimu ajira bado hazijatoka. Anyway kama umezira its over haina shida nitamtafuta mtu mwingine nimshirikishe, but good thing research inafanyika huko kwenu."

Dah, unaweza kujua majibu yake yaliyofuata? Namhurumia sana huyu bwana wake a.k.a. mchumba, sasa hivi mtoto kashawehuka anatamani hata kesho apande gari aje. Pia ameshasahau majigambo na hasira zote alizokuwa nazo juu yangu. Mara aniite honey, baby, sweetheart, etc. Anatuma whatsup, facebook, kwenye simu, mpaka email. What a stupid kind of mapenzi? Wanaume tujifunze kitu hapa.

^^
Ha ha haa hawa viumbe sometimes raha sana.
^^
 
Back
Top Bottom