Mi nipo sana.....
huku ni pouwa!!!
hii principle yako naiweza mimi tu, hakuna mwingine atakayeiwezalakini hakuna kugusishana naniliii
sijawahi kukudanganya ila umeshindwa kuwa mvumilivutafuuta mwingine mi sikuwezi mwongo
hii principle yako naiweza mimi tu, hakuna mwingine atakayeiweza
sijawahi kukudanganya ila umeshindwa kuwa mvumilivu
Uwe unakujaga basi huku Darisalama
ndiyo unaweza laini mda unaenda na mimi nazidi kuwa mkubwa alafu watoto wabichi na watamu wanakuja kwa kasi loh me nitakuwa mgeni wa nani kama wewe ukiona wengine?
Inategemea unaishi mazingira, eneo ama mji gani, mkuu. Kuna mji mmoja (jina nalihifadhi) wanawake ni wengi kuliko wanaume tena naongelea succesful women. Ratio ni 25 women for every one guy!!!!
Wadada hapo wanachojali ni attention na muonekano wako na si pesa. I've been there and had a share of my own escapades............
yani sioni cha kujisifu hapa, yani wewe mpenzio awe na shida ushindwe kumsaidia wewe uielewi kabisa mapenzi na njaa hakuna ingekuwa ni mimi kunipga tarehe zisizokuwa na maana nakupiga chini mapema kwani mapenzi ni kugegedana tu... jiongeze kijana ni zaidi ya hayo
Huna akiri..we bibi,...
Pouwa after two wiks ntakuwa mgeni wako....