Mnachonifurahisha!!! Mnalalamika huku mnatoa na mtatoa sana tu.... na bado wajinga ndio waliwao
kuna wakati huwa nawafananisha wanawake katika mapenzi na nchi ya marekani. (USA)
Wanaume wanaogeuzwa ATM ni wajinga tu.
Mi katu sijawahi fanywa ATM na mwanamke na haitakuja tokea kwa sababu at the end of the day, the punani ain't all it's cracked up to be.
Wanaume wanaogeuzwa ATM ni wajinga tu.
Mi katu sijawahi fanywa ATM na mwanamke na haitakuja tokea kwa sababu at the end of the day, the punani ain't all it's cracked up to be.
extremely correct.. wajinga ndio waliwao! na pia wajinga ndio wanaokulana!
wanawake wamefikia hatua, ilimradi tu unapesa, hawaangalii hata structure wala appearance ya mtu, wanakwatua tu!!
mfano mzuri ni warembo wetu wa vyuo vikuu kama UDSM, CBE'S , UDOM, IFM, DIT, ST AUGUSTINE, na vyuo vingine tu vya higher learning. hawa pamoja na urembo wao, kupendeza kwao na manjonjo mengine meeengi, huwa wakifulia..mmh.. mpaka hohe hahe sie wabeba mizigo pale kariakoo na aendesha baiskeli zile za kisukuma, huwa tunawala tu kama kawaida!
just your pocket, you are not asked who you are!
but all in all, sisi sote ni wanaume, bila kujali kazi tufanyazo!
nao pia ni wanawake, bila kujali urembo wao!
let us integrate!
Kivipi mkuu?
We km unagoma sawa wapo wenzako,Bora mliwe tu,tupo tulioishi bila kuomba hata senti 5 ya mwanaume na bado vibuti tulipigwa,tena bila ht kuambiwa sababu...
Kama ela unayo kwa nini usimpe acheni mawazo ya kuitana ATM kama ela unayo msaidie hali ngumu sana.
Mi nawashangaa sana huo ubahiri na unyimi ni mbaya mtu anashida ati simpi mi ni ATM siyo vizuri.
Unajisikiaje mwanamke akipata shida harafu ela unayo ila unaleta imani potofu eti utaitwa atm.
Hizo imani potofu za unyimi si nzuri. Kama unayo toa kama hauna basi mwambie ukweli huna.
they dont have a permanent lover as long as most of them are after money!
mwanamke atakuganda endapo utakuwa na uwezo wa kumuwezesha muda wowote anaotaka!
but siku ukifulia, atakupa maneno ambayo hukutegemea kuyasikia kutoka kwake kabisa!
halafu tena siku ukipata pesa, atakurudia kwa mbinu za ajabu tena na machozi juu!!!!
tena na wanaume walivyo weak, atarudia tena matapishi!!!
circle itaendelea hivyo hivyo kila siku!
mti wenye matunda kawaida ndio hupigwa mawe!
wewe kama una kitu ambacho kinawapa faida wanawake but still wanawake hawakushobokei, ujue una dosari!
pesa zako zinanuka!
ha ha ha umenifurahisha kweli toka lini MSUKUMA MKOKOTENI AKAMILIKI DEMU MZURI kweli hii tuko wangapi? pesa inabeba mwanamke yoyote
Hapo siwezi kukuunga Mkono... Mwanaume lazima utoe , wewe anapenda vya bure ... Akina dada lazima wachukue kwetu ... Hii inatia aibu sana... Mpaka mwishoni unamdanganya ili aendelee kukupa bure... Aisee unatutia aibu sisi wanaume wa shoka
hapo nina wasiwasi ulikuwa mkali kama njugu au ulikuwa unapenda kumpelekapeleka thus why mambo yakazua mambo kwako
pesa japo haiongei.. lakini ina nguvu kuliko kiumbe yeyote yule!
ngoja nikupe fact moja hivi uone kutoka kwangu!
mimi najikubali kwanza, sina pesa za kutosha ku-share na wanawake!!
mmh.. siku moja bana nikaamua kuingia kufanya research.. how money is driving women crazy? i just want to know!
kuna mdada mmoja hivi yuko very very cute! kuanzia uso mpaka kijungu chake!
basi nikaamua kumtemea sumu kwa lazima! mdada wa watu mpaka namba ya simu akatoa within 15 minutes of eye to eye talk! (ofcoz mimi huwa napenda eye contact always! na hio ndio silaha yangu! ), tulizungumza mengi na yule mdada, within that time, akarusha kibom, eti nimpe buku ngapi hivi kwa ajili ya nauli.. mm! nikaruka kijana kwa slogan nyingi sana.. akanielewa!
one day after, nikampigia moja kwa moja, akapokea tukaanza stori za hapa na pale, mi nikaingiza gia moja kwa moja.. papuchi demanding strategy!! dem kaguna! THIS IS OUR FIRST TIME! WHY? nikamwambia tulia.. ha ha ha ha