Kwa mtaji wa 25 million nifanye biashara gani?

Yakupasa kutulia sana...mimi yalinikuta baada ya kupata 15m.nilishauliwa vibaya sana na ndugu wa karibu ni liemwaamini sana. Yeye anafanya biashara ya kuuza mchele ya jumla na rejareja na kwakweli amefanikiwa sana. Sasa alinishauri niuze nyumba ya urithi sababu ilikuwa na mgogoro ili tufanye biashara. Kwamba tutakuwa tunafata mchele wote huko morogoro na mpanda.

Ile tu nimeuza nyumba jamaa akasema sasa fungua duka kwaza la bidhaa za kawaida yani Mafuta,chumvi nk sababu kwa sasa mchele ni adimu. Kumbuka sina uzoefu na biashara hiyo ya duka. Nikaufungua duka la 5m. Kibaya zaidi alinitafutia frem yabei a juu .wakati yeye analipa elfu 40 mimi nalipa 70 na eneo hilohilo.

Baada ya kufungua duka akasema nimwingizie 7M kwenye ac yake aniletee mzigo kwani alikuwa amepata.nikamwingizia 5m akaleta gunia kumi tu yenye thamani ya 1.7m. Kumbe zingine anazungusha... Baadae anirudishia. Aisee duka lKnitesa yani acha tu. Hadi sasa kwakweli mtaji kwisha.nimeambulia kiwanja nichonunua na kutoa mahali baasi
 
Yakupasa kutulia sana...mimi yalinikuta baada ya kupata 15m.nilishauliwa vibaya sana na ndugu wa karibu ni liemwaamini sana. Yeye anafanya biashara ya kuuza mchele ya jumla na rejareja na kwakweli amefanikiwa sana. Sasa alinishauri niuze nyumba ya urithi sababu ilikuwa na mgogoro ili tufanye biashara. Kwamba tutakuwa tunafata mchele wote huko morogoro na mpanda. Ile tu nimeuza nyumba jamaa akasema sasa fungua duka kwaza la bidhaa za kawaida yani Mafuta,chumvi nk sababu kwa sasa mchele ni adimu. Kumbuka sina uzoefu na biashara hiyo ya duka. Nikaufungua duka la 5m. Kibaya zaidi alinitafutia frem yabei a juu .wakati yeye analipa elfu 40 mimi nalipa 70 na eneo hilohilo.

Yaani uliuza nyumba ya urithi ili uanzishe biashara! Ulistahili kabisa kupitia hizo changamoto. Na kwa sasa umejifunza pia bila shaka makosa uliyoyafanya.
 
Yakupasa kutulia sana...mimi yalinikuta baada ya kupata 15m.nilishauliwa vibaya sana na ndugu wa karibu ni liemwaamini sana. Yeye anafanya biashara ya kuuza mchele ya jumla na rejareja na kwakweli amefanikiwa sana. Sasa alinishauri niuze nyumba ya urithi sababu ilikuwa na mgogoro ili tufanye biashara. Kwamba tutakuwa tunafata mchele wote huko morogoro na mpanda. Ile tu nimeuza nyumba jamaa akasema sasa fungua duka kwaza la bidhaa za kawaida yani Mafuta,chumvi nk sababu kwa sasa mchele ni adimu. Kumbuka sina uzoefu na biashara hiyo ya duka. Nikaufungua duka la 5m. Kibaya zaidi alinitafutia frem yabei a juu .wakati yeye analipa elfu 40 mimi nalipa 70 na eneo hilohilo.

Baada ya kufungua duka akasema nimwingizie 7M kwenye ac yake aniletee mzigo kwani alikuwa amepata.nikamwingizia 5m akaleta gunia kumi tu yenye thamani ya 1.7m. Kumbe zingine anazungusha... Baadae anirudishia. Aisee duka lKnitesa yani acha tu. Hadi sasa kwakweli mtaji kwisha.nimeambulia kiwanja nichonunua na kutoa mahali baasi
Aisee, haishauriwi sana kumwingiza ndugu kwenye biashara. Unaweza kukatishwa tamaa
 
Pole Sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama heading inavyojieleza JUU apo, nina kiasi cha milioni twenty lakin naitaji ushauri kuhusu fursa ya kufanyia, nakaribisha mawazo ya kibiashara zaidi
 
Kwanza jiulize ni kitu gani ambacho wewe unakipendelea na una passion nacho. hili ndo wazo lako la kwanza la biashara.
 
Nakupongeza mkuu kwa kuacha bangi na kupata milion 20.

Kuhusu biashara kwasasa mazingira si mazuri ya biashara tafiti eneo lenye uhitaji mkubwa kwa MATUMIZI ya kila siku. Kwa mfano chakula na vinywaji.
 
Kama heading inavyojieleza JUU apo, nina kiasi cha milioni twenty lakin naitaji ushauri kuhusu fursa ya kufanyia, nakaribisha mawazo ya kibiashara zaidi
Daaa!!hicho kiasi kingekuwa mala mbili yake, ningekupa mchanganuo wa biashara ambayo, kwa wiki ungeingiza si chini ya milioni nne!!watu wengi wana pesa lakini hawajui fulsa!!na wenye fulsa hawana mitaji, ukiwa serious nitafute
 
Kwa week million 4 mh sio kweli labda biashara haramu na kufungwa kuna muhusu me nawazo sahihi lenye kufanya usipoteze hiyo fedha bari uingize fsida.
Kama hujui kitu kaa kimya kuna watu wanaingiza zaidi ya hizo, tena kwa biashara halali kabisa!!waulize wanaofanya biashara zao kwenda DRC, watakwambia, tena , bila leseni na vibali huwezi kuvuka mpakani utasemaje ni biashara haramu?
 
Back
Top Bottom