Kwa Mshahara huu CCM msitafute Mchawi

Kwa Mshahara huu CCM msitafute Mchawi

Si kwamba kila mwalimu alifeli,kuna walimu wenye 1,2,wenye 3 kama hao wa kwenye afya na kilimo,kuna walimu wamemaliza vyou vikuu tena vya serikali na GPA NZURI nawaomba tusiwapuuze walimu,hivi mtu anayesomea unesi ana ufaulu gani si d ya biology
 
Tatizo la waalimu wengi wanatarajia matokeo mwishoni yawe sawa na uku serikali inaangalia vyanzo vya elimu yenu!
Div 4......Ualimu na Div 3 za mwisho yani mtu ana ka pass au credit moja anataka awe sawa na mtu Div 1 au Div 2 wanaoenda Afya na law! jamani acheni mbwembe na wala msitumie wingi wenu kudai visivyowezekana serikal sio malofa hadi wawaweke kundi moja na Golden Boy!...nyie simefundishwa kwenye psychology kuhusu Golden boy, silver na IRON BOY! Hawa hamuwez kua sawa nao ata mfundishe uchi

Wewe ni mbulula kabisa na unafikiri kwa kutumia ma..... Hao division I na II wanafundishwa na nani?
 
Tatizo la waalimu wengi wanatarajia matokeo mwishoni yawe sawa na uku serikali inaangalia vyanzo vya elimu yenu!
Div 4......Ualimu na Div 3 za mwisho yani mtu ana ka pass au credit moja anataka awe sawa na mtu Div 1 au Div 2 wanaoenda Afya na law! jamani acheni mbwembe na wala msitumie wingi wenu kudai visivyowezekana serikal sio malofa hadi wawaweke kundi moja na Golden Boy!...nyie simefundishwa kwenye psychology kuhusu Golden boy, silver na IRON BOY! Hawa hamuwez kua sawa nao ata mfundishe uchi

Hizi hoja kuwa walimu ndio watu waliofeli darasani hutolewa na watu wenye upeo finyu wa uelewa. Twende taratibu tuchambue mtazamo huu batili.

Kwanza ukiangalia wanafunzi waliokosa ufaulu wa kutosha kuwafanya kwenda kidato cha V wanaolazimika kusomea fani yoyote kwa ngazi ya cheti, wanaoenda ualimu huwa wamefaulu zaidi ya wenzao.
Div IV za mwanzo ndizo hukubaliwa kwa Ualimu wa cheti Grade A. Kilimo, Uhasibu unesi nk huhitaji ufaulu wa kuzidi ualimu.

Pili katika wanaomaliza Kidato cha VI na kukosa nafasi Chuo Kikuu, wanaoenda Diploma ya Ualimu huwa wamefaulu kuliko wenzao wa fani nyingine. Kwa wa sayansi za jamii/arts hadi Daraja la II huenda Diploma na sayansi asili wapo vijana wengi wanaopata III za 13 wanaenda Ualimu. Afya - Clinical Officer hadi Daraja la IV unapata.

Kwa wanaokwenda Chuo Kikuu ni suala la motivation. Huwezi kusoma Shahada ya Ualimu ukiwa eti umefeli. Sifa za udahili hazitofautiani na zile za fani nyingine za kawaida. Japo ni kweli zipo fani zinadahili wanafunzi wenye ufaulu wa juu zaidi, lakini SUA hata III za 16 wanasomea Shahada za Kilimo na Maua.

Kwa ngazi za Shahada za Uzamili, Masters Degree za Ualimu zinadai ufaulu wa juu tena kuliko hata ufaulu wa fani nyingine nyingi.

Ninachosema ni kosa kubwa la Ualimu ni malipo yake duni hasa ukifanyia Serikalini na idadi kubwa ya walimu wa ngazi za chini na hivyo kuwafanya watu wasiofikiri wageneralize kuwa ni fani ya failures wa darasani kwa kuwa tu wamepigika kimaisha.

Ukitaka kutambua uzito wa fani za Ualimu chunguza utagundua haiwezekani Cheti kikawa sifa ya kudahiliwa kwa Stashahada moja kwa moja na pia Stashahada iwe sifa ya kudahiliwa Shahada kama ilivyo kwa fani za Uhasibu, Computer, kilimo nk. Katika Ualimu ukisoma Cheti lazima usafishe cheti upate credit tatu usome Alevel ndipo ufikirie kufanya Stashahada au Shahada. Hakuna shortcut. Hili ni tofauti kwa fani nyingi eg Uhasibu ukiacha afya.

Mwisho walimu wa Shahada hawana shida kubwa kivile. Wengi wanaishi waisha ambayo wengi wa hawa wanaoukejeli hawayaishi. Na wanaofanya kazi sekta binafsi maslahi yao hayana tofauti na sekta za afya nk.

Walimu wengi wamejaa kwenye Asasi Zisizo za Serikali na wanafanya vizuri kuliko wapiga mdomo wengi wanaokejeli Ualimu kwa Diploma zao za DataStar na Amazon.
 
So next time dogo ujipange kabla hujaanza juponda walim kua wana four. Sio ww unayesoma enzi hizi wakati kuna vyuo vikuu hadi vya kata! Watch your buccal cavity young man/woman...

nijuavyo mimi,walim ni watu wenye upeo mkubwa wa kupambanua mambo na ni waerevu wa hali ya juu!!!

Lkn hali ni tofauti kwa mwl ww,unaweza kunionyesha ni wapi niliposema walimu wote wana div4???ukishindwa kunionyesha basi ntakua na mashaka na ualimu wako mhe mkuu!!!
 
Tatizo la waalimu wengi wanatarajia matokeo mwishoni yawe sawa na uku serikali inaangalia vyanzo vya elimu yenu!
Div 4......Ualimu na Div 3 za mwisho yani mtu ana ka pass au credit moja anataka awe sawa na mtu Div 1 au Div 2 wanaoenda Afya na law! jamani acheni mbwembe na wala msitumie wingi wenu kudai visivyowezekana serikal sio malofa hadi wawaweke kundi moja na Golden Boy!...nyie simefundishwa kwenye psychology kuhusu Golden boy, silver na IRON BOY! Hawa hamuwez kua sawa nao ata mfundishe uchi

Acha dharau man!! We ukiona umeshiba leo usimcheke mwenzio mwenye njaa. Walimu wanastahili kulipwa mishahara inayoendana na hali halisi ya maisha, sio vizuri kuwadharau namna hiyo.
 
Katika uchambuzi wako weka na Jedwali la sifa za kujiunga Ualimu, Kilimo na Afya.
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]Ualimu[/TD]
[TD]Div IV[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kilimo[/TD]
[TD]Div I-III[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Afya[/TD]
[TD]Div I-III[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Baada ya hapo tafakari jibu utalipata kirahisi sana ndugu yangu.

Umekurupuka ndg yangu, kuna jamaa zangu wengi sana wamesoma diploma chuo cha kilimo Ukirigulu na walikuwa na div iv mbaya. Pia kuna binam yangu nilimpeleka pale akiwa na div iv ya point 27, akasoma certificate. Wale wanaangalia ufaulu kuanzia D kwenye masomo ya Biologia na Kemia.
 
Tatizo la msing tulilonalo Tanzania ndio hilo ndugu yangu nkyalomkonza. Mpaka hapo watu wa DIV I watapoingia ualimu, sioni namna mishahara ya waalimu itaboreshwa.

Ufumbuzi unaweza kuwa walimu wapate mishahara kama hiyo ya Kilimo kwa sharti kwamba wawe na daraja la kwanza au la pili katika elimu yao ya kidato cha nne. Najua itakuwa ngumu lakini lazima tujaribu. Mshahara wa Mwl mwenye degree pia iangalie matokeo yao ya kidato cha nne.

Ndio maana ukiangalia ajira ya Chuo Kikuu, Dar es Salaam, sio kwamba wanangalia tu elimu ya degree ya Masters au PhD - lazima matokeo ya kidato cha nne na cha sita yawe kiwango kinachotakiwa. Kwa maana hiyo mtu aliyejiendeleza au kuungaunga hawezi kuwa mhadhiri wa Chuo Kikuu. Wengi wamekosa ajira kwa sababu hiyo. Hili linaweza kufanywa kwa walimu.

Lazima tu tufike mahali ualimu usiwe ni sehemu ya kwenda baada ya kukosa sehemu zote nyingine. Upo usemi mitaani siku nyingi kwamba lol amekosa hata ualimu!!

Walimu wengi wa Sayansi ngazi ya Shahada na Stashahada walipata Daraja la I au II kwa Kidato cha IV na Kidato cha VI wakapata Daraja la I au II (kwa wale wenye Shahada) na si zaidi ya Daraja la III alama 15/16 kwa Diploma.

Hizo Four unazozisema wewe ni wale wa cheti na wamewazidi Manesi na Wahasibu wengi.

Tuache kuzungumzia mambo tusiyoyajua almuradi tu tuonekane tunawasema walimu kisa tu wengi wao ni wale wa Cheti.
 
Kuna watu siyo waelewa wa mambo na wanapenda kuchangia hoja hata wasizozijua.
Tanzania ni ualimu pekee usioweza kusoma diploma kwa kutokea certificate (namaanisha usome cheti then utumie matokeo hayo kusoma stashahada). Wakati fani zingine watu wanapitia huko kuukwepa mlima wa form v na vi. Kuna watu wanatoka na div iv mbovu zaid ya point za ualimu wanaenda kusoma uhasibu, kilimo, nursing n.k, wanapiga zao certificate na baadae haohao wanasoma zao shahada na kuja humu ndani kuwabeza walimu waliowafundisha.
 
Ni kweli kwamba taaluma ya ualimu inadharauliwa na serikali na wadua wengine lakini hiyo mishahara sio sahihi. Tazama mishahara halisi ya watumishi katika sekta ya kilimo ulinganishe na ile ya walimu:

TGS B (CHETI)
TGS B 1. (Sh311,000), TGS B 2. (Sh319,500), TGS B 3. (Sh328,000), TGS B 4. (Sh336,500), TGS B 5. (Sh345,000), TGS B 6. (Sh353,500), TGS B 7. (Sh362,000), TGS B 8. (Sh370,000), TGS B 9. (Sh379,000) na TGS B 10. (Sh 387,500).

TGS C (DIPLOMA)
TGS C 1. (Sh410,000), TGS C 2. (Sh420,000), TGS C 3. (Sh430,000), TGS C 4. (Sh440,000), TGS C 5. (Sh450,000), TGS C 6. (Sh460,000), TGS C 7. (Sh470,000) na TGS C 8. (Sh480,000). TGS C 9. (Sh490,000), TGS C 10. (Sh500,000), TGS C 11. (Sh510,000), TGS C 12. (Sh520,000).

TGS D (DEGREE)
TGS D 1. (Sh567,000), TGS D 2. (Sh578,500), TGS D 3. (Sh590,000), TGS D 4. (Sh601,500), TGS D 5. (Sh613,000), TGS D 6. (Sh 624,500), TGS D 7. (Sh636,000), TGS D 8. (Sh647,500), TGS D 9. (Sh659,000), TGS D 10. (Sh 670,500), TGS D 11. (Sh 682,000),na TGS D 12. (Sh 693,500).

Na mishahara ya Wafanyakazi wanaofanya utafiti wa kilimo na mifugo ni hapa (hawa ndio wanaolipwa vizuri zaidi kuliko watumishi wengine kwenye sekta ya kilimo):

TGRS A (DIPLOMA)
TGRS A 1. (Sh 916,000), TGRS A 2. (Sh926,500), TGRS A 3. (Sh 937,000), TGRS A 4. (Sh 947,500), TGRS A 5. (Sh 958,000), TGRS A 6. (Sh 968,500), TGRS A 7. (Sh 979,000), na TGRS A 8. (Sh 989,500).

TGRS B (DEGREE)
TGRS B 1. (Sh 1,060,000), TGRS B 2. (Sh 1,072,700), TGRS B 3. (Sh 1,085,400), TGRS B 4. (Sh 1,098,100), TGRS B 5. (Sh 1,110,800), TGRS B 6. (Sh 1,123,500), TGRS B 7. (Sh 1,136,200), na TGRS B 8. (Sh 1,148,900).

Mwenye mishahara ya walimu amwage humu tulinganishe.
 
Ni kweli kwamba taaluma ya ualimu inadharauliwa na serikali na wadua wengine lakini hiyo mishahara sio sahihi. Tazama mishahara halisi ya watumishi katika sekta ya kilimo ulinganishe na ile ya walimu:

TGS B (CHETI)
TGS B 1. (Sh311,000), TGS B 2. (Sh319,500), TGS B 3. (Sh328,000), TGS B 4. (Sh336,500), TGS B 5. (Sh345,000), TGS B 6. (Sh353,500), TGS B 7. (Sh362,000), TGS B 8. (Sh370,000), TGS B 9. (Sh379,000) na TGS B 10. (Sh 387,500).

TGS C (DIPLOMA)
TGS C 1. (Sh410,000), TGS C 2. (Sh420,000), TGS C 3. (Sh430,000), TGS C 4. (Sh440,000), TGS C 5. (Sh450,000), TGS C 6. (Sh460,000), TGS C 7. (Sh470,000) na TGS C 8. (Sh480,000). TGS C 9. (Sh490,000), TGS C 10. (Sh500,000), TGS C 11. (Sh510,000), TGS C 12. (Sh520,000).

TGS D (DEGREE)
TGS D 1. (Sh567,000), TGS D 2. (Sh578,500), TGS D 3. (Sh590,000), TGS D 4. (Sh601,500), TGS D 5. (Sh613,000), TGS D 6. (Sh 624,500), TGS D 7. (Sh636,000), TGS D 8. (Sh647,500), TGS D 9. (Sh659,000), TGS D 10. (Sh 670,500), TGS D 11. (Sh 682,000),na TGS D 12. (Sh 693,500).

Na mishahara ya Wafanyakazi wanaofanya utafiti wa kilimo na mifugo ni hii hapa (hawa ndio wanaolipwa vizuri zaidi kuliko watumishi wengine kwenye sekta ya kilimo):

TGRS A (DIPLOMA)
TGRS A 1. (Sh 916,000), TGRS A 2. (Sh926,500), TGRS A 3. (Sh 937,000), TGRS A 4. (Sh 947,500), TGRS A 5. (Sh 958,000), TGRS A 6. (Sh 968,500), TGRS A 7. (Sh 979,000), na TGRS A 8. (Sh 989,500).

TGRS B (DEGREE)
TGRS B 1. (Sh 1,060,000), TGRS B 2. (Sh 1,072,700), TGRS B 3. (Sh 1,085,400), TGRS B 4. (Sh 1,098,100), TGRS B 5. (Sh 1,110,800), TGRS B 6. (Sh 1,123,500), TGRS B 7. (Sh 1,136,200), na TGRS B 8. (Sh 1,148,900).

Mwenye mishahara ya walimu amwage humu tulinganishe.
 
afadhal uwaambie ww!!yaan wanataka wapate salary sawa na daktari aliekesha na kupata div1 fom 6 kisha akasoma 5yrs pale muhas,kisha akaongeza mwaka1 wa internship jumla 6yrs anasoma tu mpaka kua dokta,walim wenye div3 na fom4 fom6 kisha wakasoma coz ya mika2 au 3 wanataka wapate salary sawa na dokta!!.....maajabu sn!

Anayepoteza muda kukuelisha hajajua uzito wa tatizo linalokukabili. Hujui hata unachoongea. Sitashangaa ukawa huna mbele wala nyuma na bado unakejeli walimu.
 
Naapa kutowatetea walimu pamoja na kuwa walinitoa nilikokuwa na hata kunifikisha hapa nilipo. walimu wanajidhalilisha wenyewe, walimu ndio wengi kuliko kada nyingine hapa nchini, walimu haohao ndio wanaotegemewa katika shughuli nyingi za serikali! Lakini cha ajabu walimu hao hao wao wenyewe hawajijui thamani yao. na wataendelea kuwa PUNDA WA KAFARA. wajifunze kutoka kwa wenzao KENYA.
 
Tatizo la waalimu wengi wanatarajia matokeo mwishoni yawe sawa na uku serikali inaangalia vyanzo vya elimu yenu!
Div 4......Ualimu na Div 3 za mwisho yani mtu ana ka pass au credit moja anataka awe sawa na mtu Div 1 au Div 2 wanaoenda Afya na law! jamani acheni mbwembe na wala msitumie wingi wenu kudai visivyowezekana serikal sio malofa hadi wawaweke kundi moja na Golden Boy!...nyie simefundishwa kwenye psychology kuhusu Golden boy, silver na IRON BOY! Hawa hamuwez kua sawa nao ata mfundishe uchi

Hata ulichokariri hukumbuki na bado uko kwenye mkondo wa kudhihaki walimu. Shame! Wapi walikwambia Psychology ina mambo ya Iron boy? Unakumbukia Philosophy kwa mbali na huenda ukawa mwalimu wa Cheti na bado unajikejeli mwenyewe. Kazi kweli kweli.
 
Walimu wengi wa Sayansi ngazi ya Shahada na Stashahada walipata Daraja la I au II kwa Kidato cha IV na Kidato cha VI wakapata Daraja la I au II (kwa wale wenye Shahada) na si zaidi ya Daraja la III alama 15/16 kwa Diploma.

Hizo Four unazozisema wewe ni wale wa cheti na wamewazidi Manesi na Wahasibu wengi.

Tuache kuzungumzia mambo tusiyoyajua almuradi tu tuonekane tunawasema walimu kisa tu wengi wao ni wale wa Cheti.
Mkuu ninadhani hapa ulimi umeteleza labda ulitaka kusema walimu wengi wa sanaa.ila kwa sayansi nadhani siyo sawa
 
Sio kweli watumishi wa afya wote walipata div I -III. Manesi wengi ni darasa la saba waliopata mafunzo ya uuguzi lakini wanalipwa mishahara mikubwa. Hata div 4 wengi wapo afya.
 
Hao Waalimu wamezidi maana ndo wasimamizi wa uchaguzi hao waiba kura wakubwa, acha wakamuliwe wakomeshwe ka na wakome kabisa.
 
Hiyo certificate ya kulipwa m1.06 unakua umechukulia wap?
au mf kitengo kipi hcho
Na walim wametukosa tym hiii na CWT yao
 
Back
Top Bottom