Samahani usi generalize , mimi nimeingia UDSM mwaka 2001 na point 8 CBG Bachelor of Science with Education, hivyo siyo walimu wote wenye IV naomba tutakane radhi.
km ulikua na point 8 nini kilichokufanya usomee ualim huku ukijua ualim haulipi?????
Samahani usi generalize , mimi nimeingia UDSM mwaka 2001 na point 8 CBG Bachelor of Science with Education, hivyo siyo walimu wote wenye IV naomba tutakane radhi.
Hold on guys....hivi hadi vyuo vya diploma na degree za ualimu wanachykua div 4 kama baadhi ya wadau walivyopost kwenye posts zilizopita? For what i know ni kua diploma na degree wanachukua div 3,2&1 na vyuo vya ualimu wa chet ndo wanachukua div 4! Hebu tusipotoshe ukweli jamani....
diploma ya ualimu sifa ya kujiunga ni principal pass moja na subsidiary moja yaan ukipata div4.18 kwa alama E,S unasoma diploma na watu kibao wamepata ES div4.18 wapo vyuoni wanasoma diploma ya ualim
Tatizo la waalimu wengi wanatarajia matokeo mwishoni yawe sawa na uku serikali inaangalia vyanzo vya elimu yenu!
Div 4......Ualimu na Div 3 za mwisho yani mtu ana ka pass au credit moja anataka awe sawa na mtu Div 1 au Div 2 wanaoenda Afya na law! jamani acheni mbwembe na wala msitumie wingi wenu kudai visivyowezekana serikal sio malofa hadi wawaweke kundi moja na Golden Boy!...nyie simefundishwa kwenye psychology kuhusu Golden boy, silver na IRON BOY! Hawa hamuwez kua sawa nao ata mfundishe uchi
Katika uchambuzi wako weka na Jedwali la sifa za kujiunga Ualimu, Kilimo na Afya.
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]Ualimu[/TD]
[TD]Div IV[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kilimo[/TD]
[TD]Div I-III[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Afya[/TD]
[TD]Div I-III[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Baada ya hapo tafakari jibu utalipata kirahisi sana ndugu yangu.
kwa mujibu wa waraka wa watumishi wa serikali na 1. Wa mwaka 2013, wenye kumb. na.cac.205/228/01/c/14 wa julai 2, 2013 uliosainiwa na katibu mkuu utumishi ndugu george d. Yambeshi. Unaoonyesha marekebisho ya mishahara kwa watumishi wa serikali. Katika waraka huu unaendelea kudidimiza kada ya ualimu kulingana na kada zingine kama vile kada ya afya, sheria na kilimo na utafiti ambapo kada hizi hulipwa mishahara mikubwa kuliko ya walimu.
ngazi ya elimu ualimu/ elimu kilimo afya certificate (cheti) tsh 344,000/= tsh 1,060,000/= tsh 562,000/= diploma (stashahada) tsh 432,500/= tsh 1,252,000/= tsh 821,000/= degree (shahada) tsh 589,000/= tsh 1,473,000/= tsh 994,000/=
[td="colspan: 4"] jedwali hili ni kwa mujibu wa waraka huo uliotajwa hapo juu
[/td]
acha kuishi kwa kukariri wewefala inamaa hakuna walimu wenye div 1,2,3 ?
Tatizo la msing tulilonalo Tanzania ndio hilo ndugu yangu nkyalomkonza. Mpaka hapo watu wa DIV I watapoingia ualimu, sioni namna mishahara ya waalimu itaboreshwa.
Ufumbuzi unaweza kuwa walimu wapate mishahara kama hiyo ya Kilimo kwa sharti kwamba wawe na daraja la kwanza au la pili katika elimu yao ya kidato cha nne. Najua itakuwa ngumu lakini lazima tujaribu. Mshahara wa Mwl mwenye degree pia iangalie matokeo yao ya kidato cha nne.
Ndio maana ukiangalia ajira ya Chuo Kikuu, Dar es Salaam, sio kwamba wanangalia tu elimu ya degree ya Masters au PhD - lazima matokeo ya kidato cha nne na cha sita yawe kiwango kinachotakiwa. Kwa maana hiyo mtu aliyejiendeleza au kuungaunga hawezi kuwa mhadhiri wa Chuo Kikuu. Wengi wamekosa ajira kwa sababu hiyo. Hili linaweza kufanywa kwa walimu.
Lazima tu tufike mahali ualimu usiwe ni sehemu ya kwenda baada ya kukosa sehemu zote nyingine. Upo usemi mitaani siku nyingi kwamba lol amekosa hata ualimu!!
Wewe utakuwa ni tone la mafuta Baharini. Taaluma ya ualimu tunaijua na Sifa za kujiunga huko tunazifahamu ndugu yangu.
mkuu acha waropoke km walevi wa viroba wana akili za kinchembanchemba. watu tuna 1 na 2 zetu tuliamua kufundisha wana2ta vilaza! Pinda zao.
kwa misingi hiyo ni kweli kwamba kimbilio la waliofeli ni UALIMU na UPOLISI.
kwa mujibu wa waraka wa watumishi wa serikali Na 1. Wa mwaka 2013, wenye Kumb. Na.CAC.205/228/01/C/14 wa Julai 2, 2013 uliosainiwa na Katibu mkuu Utumishi Ndugu George D. Yambeshi. Unaoonyesha marekebisho ya mishahara kwa watumishi wa serikali. Katika waraka huu unaendelea kudidimiza kada ya ualimu kulingana na kada zingine kama vile kada ya afya, sheria na kilimo na utafiti ambapo kada hizi hulipwa mishahara mikubwa kuliko ya walimu.
NGAZI YA ELIMU UALIMU/ ELIMU KILIMO AFYA Certificate (Cheti) Tsh 344,000/= Tsh 1,060,000/= Tsh 562,000/= Diploma (Stashahada) Tsh 432,500/= Tsh 1,252,000/= Tsh 821,000/= Degree (Shahada) Tsh 589,000/= Tsh 1,473,000/= Tsh 994,000/=
[TD="colspan: 4"] Jedwali hili ni kwa mujibu wa waraka huo uliotajwa hapo juu
[/TD]
Katika uchambuzi wako weka na Jedwali la sifa za kujiunga Ualimu, Kilimo na Afya.
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]Ualimu[/TD]
[TD]Div IV[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kilimo[/TD]
[TD]Div I-III[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Afya[/TD]
[TD]Div I-III[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Baada ya hapo tafakari jibu utalipata kirahisi sana ndugu yangu.
Tatizo la msing tulilonalo Tanzania ndio hilo ndugu yangu nkyalomkonza. Mpaka hapo watu wa DIV I watapoingia ualimu, sioni namna mishahara ya waalimu itaboreshwa.
Ufumbuzi unaweza kuwa walimu wapate mishahara kama hiyo ya Kilimo kwa sharti kwamba wawe na daraja la kwanza au la pili katika elimu yao ya kidato cha nne. Najua itakuwa ngumu lakini lazima tujaribu. Mshahara wa Mwl mwenye degree pia iangalie matokeo yao ya kidato cha nne.
Ndio maana ukiangalia ajira ya Chuo Kikuu, Dar es Salaam, sio kwamba wanangalia tu elimu ya degree ya Masters au PhD - lazima matokeo ya kidato cha nne na cha sita yawe kiwango kinachotakiwa. Kwa maana hiyo mtu aliyejiendeleza au kuungaunga hawezi kuwa mhadhiri wa Chuo Kikuu. Wengi wamekosa ajira kwa sababu hiyo. Hili linaweza kufanywa kwa walimu.
Lazima tu tufike mahali ualimu usiwe ni sehemu ya kwenda baada ya kukosa sehemu zote nyingine. Upo usemi mitaani siku nyingi kwamba lol amekosa hata ualimu!!
km ulikua na point 8 nini kilichokufanya usomee ualim huku ukijua ualim haulipi?????
Hata mkiichagua chadema sidhan km ndio itawalipa walimu wenye shahada ya miaka 3 mshahara unaolingana na wa dokta mwenye degree ya jumla ya miaka6(5yrs coz+1yr internship)
pili,mtoa mada je unajua kua mshahara wa afisa utumishi,afisa tarafa,afisa ustawi wa jamii,afisa mtendaji kata nk ambao wana degree ya miaka3 km yakwako ww mwalim lkn mshahara wao ni mdogo kuliko wako ww mwalim mwenye TGTS-D?
Tembelea vzr huo waraka,angalia afisa utumishi,afisa ustawi wa jamii,afisa tawala,afisa tarafa nk anayeanza kaz kwa TGS-D na ww mwalimu unayeanza kaz na TGTS-D uone km hujawazid kiwango cha mshahara hao mafisa ambao fom6 walipata div1 na 2,lkn ww ulipata div3!!
Acheni kulalamika walim,watumishi wa umma wote salary ni finyu sio walimu tu!
Mwalimu punguza hasira hawa UVCCM dawa yao ndogo kwny kipindi cha dk80 2mia 40 kuinanga CCM 20 ipambe CDM 20 fndsha NUCTA.....Mama.ko mjinga wewe na kwa hayo mawazo yako ya kimaku lazma utakua pu.nga wewe %&#@!&?*.