Kwa Mshahara huu CCM msitafute Mchawi

Kwa Mshahara huu CCM msitafute Mchawi

Katika uchambuzi wako weka na Jedwali la sifa za kujiunga Ualimu, Kilimo na Afya.
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]Ualimu[/TD]
[TD]Div IV[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kilimo[/TD]
[TD]Div I-III[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Afya[/TD]
[TD]Div I-III[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Baada ya hapo tafakari jibu utalipata kirahisi sana ndugu yangu.



acha kuishi kwa kukariri wewefala inamaa hakuna walimu wenye div 1,2,3 ?
 
...umeona eeeh!...yaaani we acha tu mkuu...kuna mijitu(walimu) mingine ukiiangali unaiona-inafanana na binadamu wa kawaida lakini kumbe ni misukule,hipo hipo tu wala hata hajitambui...

walimu hatupotoshwi kiasi hicho ukitaka kupotosha walimu jipange sana siyo kizembe hivyo.
 
Jamii Forums hamko huru kabisa yaani mnaniuzi kama nini,Kwanini Mada zinazoongelea Ukweli mnapenda kuziondoa?Hakika nyinyi ni kikwazo kwa Nchi hii kuelekea kupata Uhuru kamili.
 
Hapo umenena maana wengine humu hawana akili yeye huyo anayesema walimu Dv 4 tokea lini aliona chuo kukuu kinapokea watu wa dv4 ? You must speak with evidence ! Mungu akusamehe maana unaonekana huna busara wewe
Samahani usi generalize , mimi nimeingia UDSM mwaka 2001 na point 8 CBG Bachelor of Science with Education, hivyo siyo walimu wote wenye IV naomba tutakane radhi.
 
Hold on guys....hivi hadi vyuo vya diploma na degree za ualimu wanachykua div 4 kama baadhi ya wadau walivyopost kwenye posts zilizopita? For what i know ni kua diploma na degree wanachukua div 3,2&1 na vyuo vya ualimu wa chet ndo wanachukua div 4! Hebu tusipotoshe ukweli jamani....
 
"Kwa mshahara huu, CCM isitafute mchawi" ni title mbaya kwa hii thread. Watu hatuikatai CCM kwa sababu ya maslahi ya wafanyakazi sekta yoyote ile. Ni kweli maslahi ya wafanyakazi si jambo la kupuuza lakini msingi mkuu CCM haipaswi kuendelea kukaa madarakani ni mfumo mbovu sana wa uongozi na kisera unaosababisha inequalities na uduni wa tija katika jamii yote ya watanzania na katika sekta zote.

Leo hii sekta ya Kilimo inaonekana kulipa kimaslahi, lakini kilimo ndio kimeonekana kuwa na tija kwa wakulima wenyewe? Last I checked wakulima wengi ni watu duni sana na Tanzania bado haijajitosheleza kwa chakula.
Sekta ya afya ndo hivyo hivyo pia. Maslahi ya madaktari na wahudumu wa afya hakupelekei huduma bora kwa wagonjwa katika hospitali za umma.

Argument yangu ni kwamba mindset zetu sisi wafanyakazi ziende mbali zaidi na kutunisha matumbo yetu. Na inaonekana sisi wafanyakazi ndo tunarudisha nyuma harakati za mabadikiliko ya nchi hii. Tunaihukumu CCM tu kwa sababu haijaongeza mishahara. Ikifika 2015 wajinga wajinga fulani wa CCM wakistrategize tu kwamba pandisheni mishahara ya wafanyakazi asilimia 100 ili tupate kura, na kwa vile akili zetu ni fupi zinaangalia tumbo, tunasahau kwamba matatizo yetu si matumbo bali ni kuona maisha bora ya watanzania katika mfumo wa ushindani wa kiuchumi, kisayansi, kiteknolojia, kiafya, kilimo, na kadhalika.

Mshahara wangu hata ukiwa mkubwa kiasi gani, nina watoto wangu watahitaji huduma bora ambazo hazitegemei mshahara wangu. Wakienda shuleni au hospitalini au sokoni au popote pale watahitaji kupata huduma bora inayotokana na mfumo bora uliojengwa kwa sera sahihi, uongozi sahihi na weledi sahihi. CCM hawana maono hayo wao akili zao ni za miaka mitano mitano tu, tunahitaji maono ya miaka 100.
 
malaka; Ukiona mwalimu anaifagilia CCM ujue amepata kazi kwa cheti kisicho chake hivyo huogopa kutingisha kiberiti, poleni sana walimu!
 
Last edited by a moderator:
WEWE NI MJINGA KABISA,UNADHANI WALIMU WOTE HAWANA AKILI,UNASHINDWA KUJUA KUWA WENGINE WAMEENDA UALIMU KWA SABABU YA UMASKINI KUWA WATATUMIA MUDA MFUPI NA KUSAIDIA NDUGU ZAO? NA KWAMBA WANAKUA NA UHAKIKA WA AJIRA.HAYA HUYU NAE HANA AKILI? FORM IV Div.ONE PTS 9,Form VI,Div ONE Pts 9(PCB),TOSAMAGANGA SE.ACHA KUFIKIRI KIFALA,You are not a teacher may b coz of yourfather's or someonelse position.UMENIKERA!!!
Tatizo la waalimu wengi wanatarajia matokeo mwishoni yawe sawa na uku serikali inaangalia vyanzo vya elimu yenu!
Div 4......Ualimu na Div 3 za mwisho yani mtu ana ka pass au credit moja anataka awe sawa na mtu Div 1 au Div 2 wanaoenda Afya na law! jamani acheni mbwembe na wala msitumie wingi wenu kudai visivyowezekana serikal sio malofa hadi wawaweke kundi moja na Golden Boy!...nyie simefundishwa kwenye psychology kuhusu Golden boy, silver na IRON BOY! Hawa hamuwez kua sawa nao ata mfundishe uchi
 
Aisee hii mbona inakaukweli ndani yake! Dah sikuwahi kufikiria hivyo hapo mwanzo ila kwa sasa inabidi wawe wapole tu kama kigezo ndio hicho.

achene walimu tufanye kazi mambo ya kutafuta kura kwa walimu kwa njia ya kutupotosha mmekwama tafuteni njia nyingine.
 
Samahani usi generalize , mimi nimeingia UDSM mwaka 2001 na point 8 CBG Bachelor of Science with Education, hivyo siyo walimu wote wenye IV naomba tutakane radhi.

Tunajua wapo wachache kama wewe. Na ili nchi hii iendelee inabidi watu wa aina yako wawe wengi au wote kabisa. Hapo itakuwa justified kabisa walimu wawe na mishahara mikubwa kupita taaluma zote. Atayelalamika, ambiwe naye aombe ualimu kama atakuwa na sifa hizo. Wenzetu wamefanya hivyo. Niliwahi kumabiwa ndivyo Mugabe alivyofanya siku za mwanzo za uhuru wao 1980. Watu waliokuwa serikalini, waliomba kwenda kufundisha na walikuwa wanapewa tu kozi ya muda mfupi ya miiko na maadili ya ualimu ndio wanaanza kufundisha. Kwa hiyo gruaduate yoyote mwl akawa na mshahara mkubwa kuliko graduate wa fani hiyo hiyo kama si mwl.
 
Walimu lazima mfanye kitu ili kuidhihirishia hii serikali dhalimu kwamba nyie ni muhimu kuliko kada nyingine.Acheni woga.
 
Wewe utakuwa ni tone la mafuta Baharini. Taaluma ya ualimu tunaijua na Sifa za kujiunga huko tunazifahamu ndugu yangu.

Labda ungekuwa specific ni ualimu upi unaouangelea mkuu.Kama ni ualimu wa shahada angalia marks za wanaoingia kusoma shahada ya ualimu UDSM na za hao wanaoenda kusoma shahada ya kilimo SUA, tusigeneralize facts tutakuwa tunakosea sana.
 
Nimekuelewa kumbe walimu VILAZA,
Je mmeweka hii makusudi kuwa walimu wawe vilaza ili wafundishe watoto madudu na mwisho wasiku TANZANIA iwe ya wanzanchi VILAZA wasio weza kuwaza wala kuhoji ?

ndo maana wao hawapeleki watoto wao hizo shule.na hii imafanyika makusudi ili tuwe wajinga waendelee kututawala,
ngashituka meku akwa!
 
kwa mujibu wa waraka wa watumishi wa serikali Na 1. Wa mwaka 2013, wenye Kumb. Na.CAC.205/228/01/C/14 wa Julai 2, 2013 uliosainiwa na Katibu mkuu Utumishi Ndugu George D. Yambeshi. Unaoonyesha marekebisho ya mishahara kwa watumishi wa serikali. Katika waraka huu unaendelea kudidimiza kada ya ualimu kulingana na kada zingine kama vile kada ya afya, sheria na kilimo na utafiti ambapo kada hizi hulipwa mishahara mikubwa kuliko ya walimu.

NGAZI YA ELIMUUALIMU/ ELIMUKILIMOAFYA
Certificate (Cheti)Tsh 344,000/=Tsh 1,060,000/=Tsh 562,000/=
Diploma (Stashahada)Tsh 432,500/=Tsh 1,252,000/=Tsh 821,000/=
Degree (Shahada)Tsh 589,000/=Tsh 1,473,000/=Tsh 994,000/=

[TD="colspan: 4"] Jedwali hili ni kwa mujibu wa waraka huo uliotajwa hapo juu
[/TD]

unataka kusema mtu yeyote mwenye shahada katika sekta ya afya anaanzia mshahahara wa 994,000?kwa vyovyote vile watatofautiana.
kumbuka kuna bachelor of nursing(nurse mwenye degree), bachelor of pharmacy(pharmacist), bachelor of medicine(medical doctors), bachelor of medical laboratory(maabara) etc,so sio rahisi wote wakaanza na mshahara unaofanana kwa kingezo cha wote kuwa na shahada.

kwa makundi mengine ayo ualimu na kilimo itakuwa sawa kwa sababu ana mgawanyiko wa shahada ya kwanza kama afya.
 
Katika uchambuzi wako weka na Jedwali la sifa za kujiunga Ualimu, Kilimo na Afya.
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]Ualimu[/TD]
[TD]Div IV[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kilimo[/TD]
[TD]Div I-III[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Afya[/TD]
[TD]Div I-III[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Baada ya hapo tafakari jibu utalipata kirahisi sana ndugu yangu.

Acha UPUMBAVU,si walimu wote ndiyo waliofeli.Unasemaje juu ya walimu wenye ufaulu mzuri kutoka vyuo vya serikali&binafsi.
 
Hongereni walimu kwakuwa tunakula mishahara ya hii serikali bila kutoa jasho.Ukweli ni kwamba wengi wetu tulifeli.
Ole wake anaetushauri tugome, kwanza agome yeye mwenyewe huko kwenye idara yake.
Na wengi wanaoleta haya mashinikizo sio walimu, hivi hamjiulizi kwanini ushuri wenu hatuufanyii kazi?
 
Tatizo la waalimu wengi wanatarajia matokeo mwishoni yawe sawa na uku serikali inaangalia vyanzo vya elimu yenu!
Div 4......Ualimu na Div 3 za mwisho yani mtu ana ka pass au credit moja anataka awe sawa na mtu Div 1 au Div 2 wanaoenda Afya na law! jamani acheni mbwembe na wala msitumie wingi wenu kudai visivyowezekana serikal sio malofa hadi wawaweke kundi moja na Golden Boy!...nyie simefundishwa kwenye psychology kuhusu Golden boy, silver na IRON BOY! Hawa hamuwez kua sawa nao ata mfundishe uchi

afadhal uwaambie ww!!yaan wanataka wapate salary sawa na daktari aliekesha na kupata div1 fom 6 kisha akasoma 5yrs pale muhas,kisha akaongeza mwaka1 wa internship jumla 6yrs anasoma tu mpaka kua dokta,walim wenye div3 na fom4 fom6 kisha wakasoma coz ya mika2 au 3 wanataka wapate salary sawa na dokta!!.....maajabu sn!
 
Back
Top Bottom