Chromium
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 589
- 187
Mkuu ninadhani hapa ulimi umeteleza labda ulitaka kusema walimu wengi wa sanaa.ila kwa sayansi nadhani siyo sawa
Ndio maana tunashauri ufanye uchunguzi. Walimu wengi wenye Shahada ya Sayansi na hata Diploma za zamani wana Division One Form IV! Na enzi Mlimani na SUA walimu wa Shahada walikuwa lazima wawe na Division I au II Form 6 na wenzao wa III walienda Diploma ya Ualimu au SUA.
Arts uchunguzi unaonyesha wengi ni watu waliopata III/II O level lakini wakafaulu kwa kiwango cha Div I A level kuwazidi wenzao wa michepuo ya Sayansi.