Mgaratia Wa bongo
Member
- Oct 4, 2020
- 25
- 8
CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'D' COMM - 'D'
Hawezi kuchaguliwa nursing huyo phys hana.CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'D' COMM - 'D'
Huyu Hana physics sidhani kama hata advance ataenda maana amepiga Comb less.CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'D' COMM - 'D'
Kwa matokeo na ufaulu ulivo sijui kama hiyo CBG ataipata. Hivi taasusi mpya zinaaanza mwaka gani make CBG katika hizo mpya wametoaCBG = C+C+D
CBG ni combination isiyo na future.Narudia usije mpeleka mtt wako akasome CBG utalia
Anasoma nursingCIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'D' COMM - 'D'
Anaenda wewe, hii nchi umeisahau?Hawezi kuchaguliwa nursing huyo phys hana.
Akitaka kozi ya afya achague environmental health au pharmaceutical science.
Watt wanefaulu sn sshvCBG anaenda.
HaiwezekaniAnasoma nursing
Bio na chem ndo muhim kule
Wewe ni mpumbavu?Anaenda wewe, hii nchi umeisahau?
Chem na bio na math, zitambeba
Ila atahonga😅
Haiwezekani
Watu km we mtu akikaa kimya mnamchukulia poaWewe ni mpumbavu?
Utahonga hadi nacte?Nani kasema?
Labda sio bongo
Ila Kwa hapa bongo anasoma
Mi Nina mtu anamalizia mwaka hivyo🤣Utahonga hadi nacte?
Wewe ni mpumbavu?Watu km we mtu akikaa kimya mnamchukulia poa
Wewe ndio mpumbavu na mjinga kabisa, stupid
Usinitafitie ban....
Unakosa hoja unakimbilia kutukana?
No wonder Huwa wanakuona mwanamke ,coz mwanaume timamu Hana upumbavu huu anajenga hoja