Kwa mara ya kwanza mwaka huu nimeingia Ikulu ya Magogoni

Vipi nyagi bin bapa la bongo alikuwa hagongi?
 
na amini maelezo yako, kwa kuitaja annex ila huyu mleta mada atakuwa kasimuliwa na ndugu ama marafiki zake, cheer's mwana njiwa.
 
Nilifika annex enzi za jk
 
Inawezekana mawazo ndiyo yanakuaminisha. Huu ndio uhuru wa maoni. Mimi naamini kwa vile Zambia wameweza Tanzania tunaweza sana.
 
Vp ulifikisha ujumbe kuhusu watanzania wanataka katiba mpya?
 
Watu tumekulia mle na wala hatujawahi kuoamiss
 
Annex ndiyo makazi ya Rais rasmi.
 
Umepitia geti dogo au kubwa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…