Kwa mara ya kwanza mwaka huu nimeingia Ikulu ya Magogoni

YA KESHO HUTUYAJUI MAMA
Rais wa Guinea Alpha Condé ambaye alibadilisha Katiba na kuweka katiba inayomruhusu kuwania muhula wa tatu wakati wanachi hawamtaki ameangushwa na Vikosi Maalum vya jeshi la Guinea vinavyoongozwa na Kanali Mamadi Doumbouya, Mkuu wa Vikosi Maalum.

Jaribio la mapinduzi lililoanza asubuhi limefanikiwa .

Taarifa kutoka kwa Mkuu wa kikosi cha Couple in Guinea amesema.

Mimi ni Dumbuya ninaeunda kikosi cha CNRD ambacho kitaongoza nchi katika kipindi hiki cha Mpito.
Nimevunja Bunge na Serikali.
Naamuru kusimamishwa kwa Katiba na kuamuru kufungwa kwa mipaka ya ardhini na angani.

Nia yangu ya kuchukua nchi ni kwa sababu ya Rushwa iliyoenea, usimamizi mbaya na ugumu wa maisha unaoonekana nchini.
 
Mbona wanadai wakazi wakuu wa lile jumba kila mmoja kwa wakati wake alipoingia kwa mara ya kwanza ahsubuhi alijikuta ameamkia garden analambwa miguu na kunuswanuswa na wale wanyama wenye mapembe marefu walioko garden
 
Waliofaidi hilo jumba BM na JK.
JK nakumbuka alikua waziri kijana enzi za BM.
Sasa akialikwa kuna shughuli mle ndani Wamama mawaziri wengine walikua wanapata tabu sana.
Jamaa nafkiri alitambaa nao wote kwa zamu.
BM yeye alikua hana time na wamama,
Ye ilikua vyombo tu Ballantine ,Whisky JD Twende Na Msosi Mle ndani haukauki Chef Samaki mkubwa kabisa anaeletwa pale feri anapelekwa mle ndani anapikwa mzima mzima.
Na jamaa BM alikua halali nyumba nyeupe.
Kuna Annex kule pembeni,akichoka tu huyooo Annex.
Huku mnabaki na mamma Anna na wadogo zake .
Hapo vyombo sasa ndio vinaliwa mpk kunakucha.
Hapo kwenye Annex nikajua tu hawa ni wale wale wa motivated na Pride na delusion fantasies 😂😂😂😂😂😂......compromised red ID
 
Waliofaidi hilo jumba BM na JK.
JK nakumbuka alikua waziri kijana enzi za BM.
Sasa akialikwa kuna shughuli mle ndani Wamama mawaziri wengine walikua wanapata tabu sana.
Jamaa nafkiri alitambaa nao wote kwa zamu.
BM yeye alikua hana time na wamama,
Ye ilikua vyombo tu Ballantine ,Whisky JD Twende Na Msosi Mle ndani haukauki Chef Samaki mkubwa kabisa anaeletwa pale feri anapelekwa mle ndani anapikwa mzima mzima.
Na jamaa BM alikua halali nyumba nyeupe.
Kuna Annex kule pembeni,akichoka tu huyooo Annex.
Huku mnabaki na mamma Anna na wadogo zake .
Hapo vyombo sasa ndio vinaliwa mpk kunakucha.
Niliingia kama mara tatu hivi kipindi cha BM...Magufuli alikua naibu waziri....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom