Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,020
"nireteeeni macho maregevu"
Deogratius Kisandu a.k.a Dj DON NALIMISON hajawahi kuwa CHADEMAKatika historia ya Chadema, japo sio sharia ila kiutamaduni, mgombea urais wa chama hicho huwa amekuwa mbunge katika bunge lilitangulia kabla ya uchaguzi. Mbowe, Slaa, Lowassa na Lissu. Uchaguzi ujao watakuwa hawana tena uwanja mpana kupata mgombea mwenye sifa hizo. Kuna wabunge 20 ambao wenye uanachama halali ni mbunge mmoja. Aida Khenani. Hapo sasa inabidi turudi kwenye makabrasha kuangalia makada wengine tena. Nao ni kama ifuatavyo.
Chadema wapende wasipende inabidi uchaguzi ujao warudi upande wa Bavicha kutafuta mgombe urais, waangalie kwenye chungu cha kina Mdude, Yericko, Kisandu nk.
- Lissu- Ataulizwa miaka yote hiyo ulikuwa unazunguka Ulaya “hivi kweli hata shida zetu hapa Tanzania unazijua?”
- Lema – Hana elimu ya kutosha
- Sugu – Ana street cred lakini hana elimu ya kuongoza nchi
- Msigwa – Hana haiba ya urais
- Mbowe – Watanzania hata hawajui anataka nini hasa
- Mnyika – Kapoteza muelekeo wa kisiasa kabisa
- Prof Safari- Umri utakuwa umemuacha kidogo
- Wenje- Yuko nje ya ulingo muda mrefu sana, sidhani hata kama anajua uchaguzi ujao ni mwaka gani
- Maria Sarungi – Chadema wenyewe hata hawana Imani naye kabisa, wanamuona yuko kimaslahi zaidi
- Fatma Karume –Huyu aliwahi kusifia wakati Fulani mapenzi ya jinsia moja, Chadema wanaogopa rungu hilo kutumika dhidi yao
- Heche – Kakaa kigomvigomvi sana, Watanzania ni watu wa Amani, Chadema hawawezihata kumfikiria
- Nassari – Huyu alikuwa mtu pekee mwenye sifa lakini ndio hivyo tena, yeye ni kijani na njano sasa hivi.
- Pambalu – Umri hauruhusu, bado motto
- Slaa – Hataki hata kuisikia kabisa Chadema
- Mzee Lowassa – Baada ya kumfahamu vizuri Mbowe hawezi hata kupokea simu yake
- Mdee, Bulaya na wenzao 17- Japokuwa wanatoa michango yao kila mwezi, Chadema wanasema sio wanachama, kwa hiyo hawa nao hawana sifa.
- Mange Kimambi – Huyu hataki hata kuwasikia kabisa Chadema, inshort hawapendi tena baada ya kutumia vibaya hela za michango.
Peooooples
Wape wamirembeTatizo Chadema wamejaa masela tu,unaumiza kichwa kweli hawa washkaji ndo tuwape nchi hawa.
"nireteeeni macho maregevu"
MghhfHata kigagula ameweza kudemka
Kwa sasa lissu kamuweza mwana ccm yupi?Mimi ni CCM ila Lissu hakuna mwanaCCM yeyoye anayemuweza.
Mzalendo, msomi, jasiri, hana kashfa yeyote , bahati mbaya tu alipo hakuko tayari ila huyu ni mtu na nusu
Ikiwa uchaguzi utakuwa huru na haki CHADEMA watashinda hata kama watasimamisha jiwe. CCM imeshapoteza mvuto machoni mwa watanzania. Iliyobaki ni kubebwa na vyombo vya dola tu.Katika historia ya Chadema, japo sio sharia ila kiutamaduni, mgombea urais wa chama hicho huwa amekuwa mbunge katika bunge lilitangulia kabla ya uchaguzi. Mbowe, Slaa, Lowassa na Lissu. Uchaguzi ujao watakuwa hawana tena uwanja mpana kupata mgombea mwenye sifa hizo. Kuna wabunge 20 ambao wenye uanachama halali ni mbunge mmoja. Aida Khenani. Hapo sasa inabidi turudi kwenye makabrasha kuangalia makada wengine tena. Nao ni kama ifuatavyo.
Chadema wapende wasipende inabidi uchaguzi ujao warudi upande wa Bavicha kutafuta mgombe urais, waangalie kwenye chungu cha kina Mdude, Yericko, Kisandu nk.
- Lissu- Ataulizwa miaka yote hiyo ulikuwa unazunguka Ulaya “hivi kweli hata shida zetu hapa Tanzania unazijua?”
- Lema – Hana elimu ya kutosha
- Sugu – Ana street cred lakini hana elimu ya kuongoza nchi
- Msigwa – Hana haiba ya urais
- Mbowe – Watanzania hata hawajui anataka nini hasa
- Mnyika – Kapoteza muelekeo wa kisiasa kabisa
- Prof Safari- Umri utakuwa umemuacha kidogo
- Wenje- Yuko nje ya ulingo muda mrefu sana, sidhani hata kama anajua uchaguzi ujao ni mwaka gani
- Maria Sarungi – Chadema wenyewe hata hawana Imani naye kabisa, wanamuona yuko kimaslahi zaidi
- Fatma Karume –Huyu aliwahi kusifia wakati Fulani mapenzi ya jinsia moja, Chadema wanaogopa rungu hilo kutumika dhidi yao
- Heche – Kakaa kigomvigomvi sana, Watanzania ni watu wa Amani, Chadema hawawezihata kumfikiria
- Nassari – Huyu alikuwa mtu pekee mwenye sifa lakini ndio hivyo tena, yeye ni kijani na njano sasa hivi.
- Pambalu – Umri hauruhusu, bado motto
- Slaa – Hataki hata kuisikia kabisa Chadema
- Mzee Lowassa – Baada ya kumfahamu vizuri Mbowe hawezi hata kupokea simu yake
- Mdee, Bulaya na wenzao 17- Japokuwa wanatoa michango yao kila mwezi, Chadema wanasema sio wanachama, kwa hiyo hawa nao hawana sifa.
- Mange Kimambi – Huyu hataki hata kuwasikia kabisa Chadema, inshort hawapendi tena baada ya kutumia vibaya hela za michango.
Peooooples
Usimchukulie poa Mkwere bwashee, lile ni jasusi haswaa, mtu ambaye alipata ukanali wa jeshi kwenye umri mdogo kabisa na akaachana na hilo jeshi aingie siasani, na huko kwenye siasa akatoboa hadi kuwa Rais, out of 50mil Tanzanians, siyo wa mchezo mchezo
Mnahangaika sana. Katiba mpya ndio dawa.Katika historia ya Chadema, japo sio sharia ila kiutamaduni, mgombea urais wa chama hicho huwa amekuwa mbunge katika bunge lilitangulia kabla ya uchaguzi. Mbowe, Slaa, Lowassa na Lissu. Uchaguzi ujao watakuwa hawana tena uwanja mpana kupata mgombea mwenye sifa hizo. Kuna wabunge 20 ambao wenye uanachama halali ni mbunge mmoja. Aida Khenani. Hapo sasa inabidi turudi kwenye makabrasha kuangalia makada wengine tena. Nao ni kama ifuatavyo.
Chadema wapende wasipende inabidi uchaguzi ujao warudi upande wa Bavicha kutafuta mgombe urais, waangalie kwenye chungu cha kina Mdude, Yericko, Kisandu nk.
- Lissu- Ataulizwa miaka yote hiyo ulikuwa unazunguka Ulaya “hivi kweli hata shida zetu hapa Tanzania unazijua?”
- Lema – Hana elimu ya kutosha
- Sugu – Ana street cred lakini hana elimu ya kuongoza nchi
- Msigwa – Hana haiba ya urais
- Mbowe – Watanzania hata hawajui anataka nini hasa
- Mnyika – Kapoteza muelekeo wa kisiasa kabisa
- Prof Safari- Umri utakuwa umemuacha kidogo
- Wenje- Yuko nje ya ulingo muda mrefu sana, sidhani hata kama anajua uchaguzi ujao ni mwaka gani
- Maria Sarungi – Chadema wenyewe hata hawana Imani naye kabisa, wanamuona yuko kimaslahi zaidi
- Fatma Karume –Huyu aliwahi kusifia wakati Fulani mapenzi ya jinsia moja, Chadema wanaogopa rungu hilo kutumika dhidi yao
- Heche – Kakaa kigomvigomvi sana, Watanzania ni watu wa Amani, Chadema hawawezihata kumfikiria
- Nassari – Huyu alikuwa mtu pekee mwenye sifa lakini ndio hivyo tena, yeye ni kijani na njano sasa hivi.
- Pambalu – Umri hauruhusu, bado motto
- Slaa – Hataki hata kuisikia kabisa Chadema
- Mzee Lowassa – Baada ya kumfahamu vizuri Mbowe hawezi hata kupokea simu yake
- Mdee, Bulaya na wenzao 17- Japokuwa wanatoa michango yao kila mwezi, Chadema wanasema sio wanachama, kwa hiyo hawa nao hawana sifa.
- Mange Kimambi – Huyu hataki hata kuwasikia kabisa Chadema, inshort hawapendi tena baada ya kutumia vibaya hela za michango.
Peooooples
Samahani ndugu,Usimchukulie poa Mkwere bwashee, lile ni jasusi haswaa, mtu ambaye alipata ukanali wa jeshi kwenye umri mdogo kabisa na akaachana na hilo jeshi aingie siasani, na huko kwenye siasa akatoboa hadi kuwa Rais, out of 50mil Tanzanians, siyo wa mchezo mchezo
Mkuu acha kujisahaulisha, mbona nafasi ya kubadiri gia angani hujaisema?Katika historia ya Chadema, japo sio sharia ila kiutamaduni, mgombea urais wa chama hicho huwa amekuwa mbunge katika bunge lilitangulia kabla ya uchaguzi. Mbowe, Slaa, Lowassa na Lissu. Uchaguzi ujao watakuwa hawana tena uwanja mpana kupata mgombea mwenye sifa hizo. Kuna wabunge 20 ambao wenye uanachama halali ni mbunge mmoja. Aida Khenani. Hapo sasa inabidi turudi kwenye makabrasha kuangalia makada wengine tena. Nao ni kama ifuatavyo.
Chadema wapende wasipende inabidi uchaguzi ujao warudi upande wa Bavicha kutafuta mgombe urais, waangalie kwenye chungu cha kina Mdude, Yericko, Kisandu nk.
- Lissu- Ataulizwa miaka yote hiyo ulikuwa unazunguka Ulaya “hivi kweli hata shida zetu hapa Tanzania unazijua?”
- Lema – Hana elimu ya kutosha
- Sugu – Ana street cred lakini hana elimu ya kuongoza nchi
- Msigwa – Hana haiba ya urais
- Mbowe – Watanzania hata hawajui anataka nini hasa
- Mnyika – Kapoteza muelekeo wa kisiasa kabisa
- Prof Safari- Umri utakuwa umemuacha kidogo
- Wenje- Yuko nje ya ulingo muda mrefu sana, sidhani hata kama anajua uchaguzi ujao ni mwaka gani
- Maria Sarungi – Chadema wenyewe hata hawana Imani naye kabisa, wanamuona yuko kimaslahi zaidi
- Fatma Karume –Huyu aliwahi kusifia wakati Fulani mapenzi ya jinsia moja, Chadema wanaogopa rungu hilo kutumika dhidi yao
- Heche – Kakaa kigomvigomvi sana, Watanzania ni watu wa Amani, Chadema hawawezihata kumfikiria
- Nassari – Huyu alikuwa mtu pekee mwenye sifa lakini ndio hivyo tena, yeye ni kijani na njano sasa hivi.
- Pambalu – Umri hauruhusu, bado motto
- Slaa – Hataki hata kuisikia kabisa Chadema
- Mzee Lowassa – Baada ya kumfahamu vizuri Mbowe hawezi hata kupokea simu yake
- Mdee, Bulaya na wenzao 17- Japokuwa wanatoa michango yao kila mwezi, Chadema wanasema sio wanachama, kwa hiyo hawa nao hawana sifa.
- Mange Kimambi – Huyu hataki hata kuwasikia kabisa Chadema, inshort hawapendi tena baada ya kutumia vibaya hela za michango.
Peooooples
Wanakiogopa hata wakaona dawa kumbambikia mwamba😂Mataga furahini sana, Sasa mnaanzisha Uzi wa Nini?
Nimechoka kusikia chadema, kwani hakuna Vyama vingine?
NCCR, CUF, ACT WAZALENDO...Mataga hamna akili
2025 mimi nitagombea, halafu nitawanyoosha hao wote uliowataja pamoja na wagombea wa wote CCM na vyama vingine.Katika historia ya Chadema, japo sio sharia ila kiutamaduni, mgombea urais wa chama hicho huwa amekuwa mbunge katika bunge lilitangulia kabla ya uchaguzi. Mbowe, Slaa, Lowassa na Lissu. Uchaguzi ujao watakuwa hawana tena uwanja mpana kupata mgombea mwenye sifa hizo. Kuna wabunge 20 ambao wenye uanachama halali ni mbunge mmoja. Aida Khenani. Hapo sasa inabidi turudi kwenye makabrasha kuangalia makada wengine tena. Nao ni kama ifuatavyo.
Chadema wapende wasipende inabidi uchaguzi ujao warudi upande wa Bavicha kutafuta mgombe urais, waangalie kwenye chungu cha kina Mdude, Yericko, Kisandu nk.
- Lissu- Ataulizwa miaka yote hiyo ulikuwa unazunguka Ulaya “hivi kweli hata shida zetu hapa Tanzania unazijua?”
- Lema – Hana elimu ya kutosha
- Sugu – Ana street cred lakini hana elimu ya kuongoza nchi
- Msigwa – Hana haiba ya urais
- Mbowe – Watanzania hata hawajui anataka nini hasa
- Mnyika – Kapoteza muelekeo wa kisiasa kabisa
- Prof Safari- Umri utakuwa umemuacha kidogo
- Wenje- Yuko nje ya ulingo muda mrefu sana, sidhani hata kama anajua uchaguzi ujao ni mwaka gani
- Maria Sarungi – Chadema wenyewe hata hawana Imani naye kabisa, wanamuona yuko kimaslahi zaidi
- Fatma Karume –Huyu aliwahi kusifia wakati Fulani mapenzi ya jinsia moja, Chadema wanaogopa rungu hilo kutumika dhidi yao
- Heche – Kakaa kigomvigomvi sana, Watanzania ni watu wa Amani, Chadema hawawezihata kumfikiria
- Nassari – Huyu alikuwa mtu pekee mwenye sifa lakini ndio hivyo tena, yeye ni kijani na njano sasa hivi.
- Pambalu – Umri hauruhusu, bado motto
- Slaa – Hataki hata kuisikia kabisa Chadema
- Mzee Lowassa – Baada ya kumfahamu vizuri Mbowe hawezi hata kupokea simu yake
- Mdee, Bulaya na wenzao 17- Japokuwa wanatoa michango yao kila mwezi, Chadema wanasema sio wanachama, kwa hiyo hawa nao hawana sifa.
- Mange Kimambi – Huyu hataki hata kuwasikia kabisa Chadema, inshort hawapendi tena baada ya kutumia vibaya hela za michango.
Peooooples
Katika historia ya Chadema, japo sio sharia ila kiutamaduni, mgombea urais wa chama hicho huwa amekuwa mbunge katika bunge lilitangulia kabla ya uchaguzi. Mbowe, Slaa, Lowassa na Lissu. Uchaguzi ujao watakuwa hawana tena uwanja mpana kupata mgombea mwenye sifa hizo. Kuna wabunge 20 ambao wenye uanachama halali ni mbunge mmoja. Aida Khenani. Hapo sasa inabidi turudi kwenye makabrasha kuangalia makada wengine tena. Nao ni kama ifuatavyo.
Chadema wapende wasipende inabidi uchaguzi ujao warudi upande wa Bavicha kutafuta mgombe urais, waangalie kwenye chungu cha kina Mdude, Yericko, Kisandu nk.
- Lissu- Ataulizwa miaka yote hiyo ulikuwa unazunguka Ulaya “hivi kweli hata shida zetu hapa Tanzania unazijua?”
- Lema – Hana elimu ya kutosha
- Sugu – Ana street cred lakini hana elimu ya kuongoza nchi
- Msigwa – Hana haiba ya urais
- Mbowe – Watanzania hata hawajui anataka nini hasa
- Mnyika – Kapoteza muelekeo wa kisiasa kabisa
- Prof Safari- Umri utakuwa umemuacha kidogo
- Wenje- Yuko nje ya ulingo muda mrefu sana, sidhani hata kama anajua uchaguzi ujao ni mwaka gani
- Maria Sarungi – Chadema wenyewe hata hawana Imani naye kabisa, wanamuona yuko kimaslahi zaidi
- Fatma Karume –Huyu aliwahi kusifia wakati Fulani mapenzi ya jinsia moja, Chadema wanaogopa rungu hilo kutumika dhidi yao
- Heche – Kakaa kigomvigomvi sana, Watanzania ni watu wa Amani, Chadema hawawezihata kumfikiria
- Nassari – Huyu alikuwa mtu pekee mwenye sifa lakini ndio hivyo tena, yeye ni kijani na njano sasa hivi.
- Pambalu – Umri hauruhusu, bado motto
- Slaa – Hataki hata kuisikia kabisa Chadema
- Mzee Lowassa – Baada ya kumfahamu vizuri Mbowe hawezi hata kupokea simu yake
- Mdee, Bulaya na wenzao 17- Japokuwa wanatoa michango yao kila mwezi, Chadema wanasema sio wanachama, kwa hiyo hawa nao hawana sifa.
- Mange Kimambi – Huyu hataki hata kuwasikia kabisa Chadema, inshort hawapendi tena baada ya kutumia vibaya hela za michango.
Peooooples
Hiyo qualification inamtupa nje tundu lisukazi aliyoweza Kikwete na Magufuli nani atashindwa? Mtu yoyote mwenye akili timamu anaweza kuwa rais wa Tanzania.
Sasa kama ndivyo hivyo, mnaogopa nini kuweka tume huru ya uchaguzi??Katika historia ya Chadema, japo sio sharia ila kiutamaduni, mgombea urais wa chama hicho huwa amekuwa mbunge katika bunge lilitangulia kabla ya uchaguzi. Mbowe, Slaa, Lowassa na Lissu. Uchaguzi ujao watakuwa hawana tena uwanja mpana kupata mgombea mwenye sifa hizo. Kuna wabunge 20 ambao wenye uanachama halali ni mbunge mmoja. Aida Khenani. Hapo sasa inabidi turudi kwenye makabrasha kuangalia makada wengine tena. Nao ni kama ifuatavyo.