Kwa mara ya kwanza katika historia, CHADEMA haina mtu sahihi wa kugombea urais uchaguzi ujao 2025

Chadema wanamchukia Magufuli kwa sababu alikuwa anachukua sera zao na kuzifanyia kazi wakajikuta wamefilisika kisera wakabaki kupiga kelele hakuna haki za binadamu,democrasia na sheria
 
Toka lini chadema ikatoa raisi makini kwenye chama chao

Chadema wanasubiri kingwangala akose uraisi CCM wamsafishe wampe nafasi kwao.

Nyie chadema sio chama kile,kimsingi ni HaPa bongo hatuna vyama vya siasa vya kueleweka ni wahuni wahuni tu wenye madaraka wahuni,wapinzani wahuni yaani tafarani.
Kwa hiyo wataka kutuaminisha kuwa sasa mmepata ujasiri, mnnaacha kutegemea nec, ma ded, policcm, ticcm kuwakusanyia kula?
 
Katika historia ya Chadema, japo sio sharia ila kiutamaduni, mgombea urais wa chama hicho huwa amekuwa mbunge katika bunge lilitangulia kabla ya uchaguzi. Mbowe, Slaa, Lowassa na Lissu. Uchaguzi ujao watakuwa hawana tena uwanja mpana kupata mgombea mwenye sifa hizo. Kuna wabunge 20 ambao wenye uanachama halali ni mbunge mmoja. Aida Khenani. Hapo sasa inabidi turudi kwenye makabrasha kuangalia makada wengine tena. Nao ni kama ifuatavyo.
  • Lissu- Ataulizwa miaka yote hiyo ulikuwa unazunguka Ulaya “hivi kweli hata shida zetu hapa Tanzania unazijua?”
  • Lema – Hana elimu ya kutosha
  • Sugu – Ana street cred lakini hana elimu ya kuongoza nchi
  • Msigwa – Hana haiba ya urais
  • Mbowe – Watanzania hata hawajui anataka nini hasa
  • Mnyika – Kapoteza muelekeo wa kisiasa kabisa
  • Prof Safari- Umri utakuwa umemuacha kidogo
  • Wenje- Yuko nje ya ulingo muda mrefu sana, sidhani hata kama anajua uchaguzi ujao ni mwaka gani
  • Maria Sarungi – Chadema wenyewe hata hawana Imani naye kabisa, wanamuona yuko kimaslahi zaidi
  • Fatma Karume –Huyu aliwahi kusifia wakati Fulani mapenzi ya jinsia moja, Chadema wanaogopa rungu hilo kutumika dhidi yao
  • Heche – Kakaa kigomvigomvi sana, Watanzania ni watu wa Amani, Chadema hawawezihata kumfikiria
  • Nassari – Huyu alikuwa mtu pekee mwenye sifa lakini ndio hivyo tena, yeye ni kijani na njano sasa hivi.
  • Pambalu – Umri hauruhusu, bado motto
  • Slaa – Hataki hata kuisikia kabisa Chadema
  • Mzee Lowassa – Baada ya kumfahamu vizuri Mbowe hawezi hata kupokea simu yake
  • Mdee, Bulaya na wenzao 17- Japokuwa wanatoa michango yao kila mwezi, Chadema wanasema sio wanachama, kwa hiyo hawa nao hawana sifa.
  • Mange Kimambi – Huyu hataki hata kuwasikia kabisa Chadema, inshort hawapendi tena baada ya kutumia vibaya hela za michango.
Chadema wapende wasipende inabidi uchaguzi ujao warudi upande wa Bavicha kutafuta mgombe urais, waangalie kwenye chungu cha kina Mdude, Yericko, Kisandu nk.

Peooooples
Ujinga mwiiingi kuusoma inataka uwe mjinga mwingi pia!!
Kiufupi kama nikweli hamna mtu basi washauri mazuzu tume huru ya uchaguzi iundwe kama hujanyweshwa unachosaga
 
Hilo halituumizi Kichwa...mipango yetu tunaijua wenyewe....hata Gwaji boy tunaenda naye tu, unaweza kushangaa hata Polepole au Makonda..
 
Hivi Chadema wanauongozi kweli ? Sembuse mgombea mwenye sifa ?. Kuishabikia Chadema lazima uwe na matatizo unayo takiwa uwende Mirembe.
Kama WAAMUNI ni kweli, sasa hawa mapolisi, tume, tiss, uhamiaji mnaowategemea hivyo wa nini?
Wote nyie ndio mwahitaji kupimwa afya ya akili HARAKA.
 
Kwahiyo hao wazungu wakiongea na watu wa serikali huwa wanawaambia they are not right ili kuonyesha hawajawadharau? Unaoongea utoto gani dogo?
ayukoK sawa kichwani ndiyo maana wazungu walishamdharau. Mzungu ukiwa unaongea akawa anakwambia 'you are right' ujue unaongea pumba tupu na hiyo ilishamkuta Lissu mara nyingi.
 
Katika historia ya Chadema, japo sio sharia ila kiutamaduni, mgombea urais wa chama hicho huwa amekuwa mbunge katika bunge lilitangulia kabla ya uchaguzi. Mbowe, Slaa, Lowassa na Lissu. Uchaguzi ujao watakuwa hawana tena uwanja mpana kupata mgombea mwenye sifa hizo. Kuna wabunge 20 ambao wenye uanachama halali ni mbunge mmoja. Aida Khenani. Hapo sasa inabidi turudi kwenye makabrasha kuangalia makada wengine tena. Nao ni kama ifuatavyo.
  • Lissu- Ataulizwa miaka yote hiyo ulikuwa unazunguka Ulaya “hivi kweli hata shida zetu hapa Tanzania unazijua?”
  • Lema – Hana elimu ya kutosha
  • Sugu – Ana street cred lakini hana elimu ya kuongoza nchi
  • Msigwa – Hana haiba ya urais
  • Mbowe – Watanzania hata hawajui anataka nini hasa
  • Mnyika – Kapoteza muelekeo wa kisiasa kabisa
  • Prof Safari- Umri utakuwa umemuacha kidogo
  • Wenje- Yuko nje ya ulingo muda mrefu sana, sidhani hata kama anajua uchaguzi ujao ni mwaka gani
  • Maria Sarungi – Chadema wenyewe hata hawana Imani naye kabisa, wanamuona yuko kimaslahi zaidi
  • Fatma Karume –Huyu aliwahi kusifia wakati Fulani mapenzi ya jinsia moja, Chadema wanaogopa rungu hilo kutumika dhidi yao
  • Heche – Kakaa kigomvigomvi sana, Watanzania ni watu wa Amani, Chadema hawawezihata kumfikiria
  • Nassari – Huyu alikuwa mtu pekee mwenye sifa lakini ndio hivyo tena, yeye ni kijani na njano sasa hivi.
  • Pambalu – Umri hauruhusu, bado motto
  • Slaa – Hataki hata kuisikia kabisa Chadema
  • Mzee Lowassa – Baada ya kumfahamu vizuri Mbowe hawezi hata kupokea simu yake
  • Mdee, Bulaya na wenzao 17- Japokuwa wanatoa michango yao kila mwezi, Chadema wanasema sio wanachama, kwa hiyo hawa nao hawana sifa.
  • Mange Kimambi – Huyu hataki hata kuwasikia kabisa Chadema, inshort hawapendi tena baada ya kutumia vibaya hela za michango.
Chadema wapende wasipende inabidi uchaguzi ujao warudi upande wa Bavicha kutafuta mgombe urais, waangalie kwenye chungu cha kina Mdude, Yericko, Kisandu nk.

Peooooples
kweli duniani tupo tofauti kabisa, watu tunataka KATIBA MPYA kulitibu Taifa letu marelaha jamaa wewe unafikiria URAIS tu, kwa namna tulipofikia hata umlete Rais malaika lazima atachemka tu.
 
Umetumia muda wako kuandika ujinga. Kwamba sifa kuu ya kugombea urais ni lazima uwe mbunge ama vyeo vya kichama? Hujui kuna watu n wanasiasa ila wapo kmya na mishe zao.
Uliwahi kuwajua kabudi, bashiru?
Je kina mtu kama Assad akiamua kugombea chama pinzani huko ccm mtamfanya nn?
 
Ina maana mpaka sasa wewe hujui kuwa jamaa upstairs hakukosawa aka #dishlimetilt ?

Hayuko sawa kwa tafsiri ya kiccm kwakuwa ni mpinzani asiyeifagilia ccm. Ila hii leo akijiunga na CCM utashangaa atapewa uanasheria mkuu au jaji mkuu.
 
Katika historia ya Chadema, japo sio sharia ila kiutamaduni, mgombea urais wa chama hicho huwa amekuwa mbunge katika bunge lilitangulia kabla ya uchaguzi. Mbowe, Slaa, Lowassa na Lissu. Uchaguzi ujao watakuwa hawana tena uwanja mpana kupata mgombea mwenye sifa hizo. Kuna wabunge 20 ambao wenye uanachama halali ni mbunge mmoja. Aida Khenani. Hapo sasa inabidi turudi kwenye makabrasha kuangalia makada wengine tena. Nao ni kama ifuatavyo.
  • Lissu- Ataulizwa miaka yote hiyo ulikuwa unazunguka Ulaya “hivi kweli hata shida zetu hapa Tanzania unazijua?”
  • Lema – Hana elimu ya kutosha
  • Sugu – Ana street cred lakini hana elimu ya kuongoza nchi
  • Msigwa – Hana haiba ya urais
  • Mbowe – Watanzania hata hawajui anataka nini hasa
  • Mnyika – Kapoteza muelekeo wa kisiasa kabisa
  • Prof Safari- Umri utakuwa umemuacha kidogo
  • Wenje- Yuko nje ya ulingo muda mrefu sana, sidhani hata kama anajua uchaguzi ujao ni mwaka gani
  • Maria Sarungi – Chadema wenyewe hata hawana Imani naye kabisa, wanamuona yuko kimaslahi zaidi
  • Fatma Karume –Huyu aliwahi kusifia wakati Fulani mapenzi ya jinsia moja, Chadema wanaogopa rungu hilo kutumika dhidi yao
  • Heche – Kakaa kigomvigomvi sana, Watanzania ni watu wa Amani, Chadema hawawezihata kumfikiria
  • Nassari – Huyu alikuwa mtu pekee mwenye sifa lakini ndio hivyo tena, yeye ni kijani na njano sasa hivi.
  • Pambalu – Umri hauruhusu, bado motto
  • Slaa – Hataki hata kuisikia kabisa Chadema
  • Mzee Lowassa – Baada ya kumfahamu vizuri Mbowe hawezi hata kupokea simu yake
  • Mdee, Bulaya na wenzao 17- Japokuwa wanatoa michango yao kila mwezi, Chadema wanasema sio wanachama, kwa hiyo hawa nao hawana sifa.
  • Mange Kimambi – Huyu hataki hata kuwasikia kabisa Chadema, inshort hawapendi tena baada ya kutumia vibaya hela za michango.
Chadema wapende wasipende inabidi uchaguzi ujao warudi upande wa Bavicha kutafuta mgombe urais, waangalie kwenye chungu cha kina Mdude, Yericko, Kisandu nk.

Peooooples
mambo ya kinamama wambeya unayashupalia kwa kibwebwe huoni aibu.. au punga wewe
 
Tatizo Chadema wamejaa masela tu,unaumiza kichwa kweli hawa washkaji ndo tuwape nchi hawa.
kwani hamna macho au misikio? hao mnaowang'ang'ani mjengoni COVID 19 ni mizao ya chadema kina kafulila kina kitilya Na huyu chawa wenu KABWE na wengi ndani ya sirikali yenu ni mizao ya chadema mumeipa uwaziri ukuu wa wilaya wa mikoa ukurugenzi afu bado mnajifanya maxzombi hamjitambui...
 
Katika historia ya Chadema, japo sio sharia ila kiutamaduni, mgombea urais wa chama hicho huwa amekuwa mbunge katika bunge lilitangulia kabla ya uchaguzi. Mbowe, Slaa, Lowassa na Lissu. Uchaguzi ujao watakuwa hawana tena uwanja mpana kupata mgombea mwenye sifa hizo. Kuna wabunge 20 ambao wenye uanachama halali ni mbunge mmoja. Aida Khenani. Hapo sasa inabidi turudi kwenye makabrasha kuangalia makada wengine tena. Nao ni kama ifuatavyo.
  • Lissu- Ataulizwa miaka yote hiyo ulikuwa unazunguka Ulaya “hivi kweli hata shida zetu hapa Tanzania unazijua?”
  • Lema – Hana elimu ya kutosha
  • Sugu – Ana street cred lakini hana elimu ya kuongoza nchi
  • Msigwa – Hana haiba ya urais
  • Mbowe – Watanzania hata hawajui anataka nini hasa
  • Mnyika – Kapoteza muelekeo wa kisiasa kabisa
  • Prof Safari- Umri utakuwa umemuacha kidogo
  • Wenje- Yuko nje ya ulingo muda mrefu sana, sidhani hata kama anajua uchaguzi ujao ni mwaka gani
  • Maria Sarungi – Chadema wenyewe hata hawana Imani naye kabisa, wanamuona yuko kimaslahi zaidi
  • Fatma Karume –Huyu aliwahi kusifia wakati Fulani mapenzi ya jinsia moja, Chadema wanaogopa rungu hilo kutumika dhidi yao
  • Heche – Kakaa kigomvigomvi sana, Watanzania ni watu wa Amani, Chadema hawawezihata kumfikiria
  • Nassari – Huyu alikuwa mtu pekee mwenye sifa lakini ndio hivyo tena, yeye ni kijani na njano sasa hivi.
  • Pambalu – Umri hauruhusu, bado motto
  • Slaa – Hataki hata kuisikia kabisa Chadema
  • Mzee Lowassa – Baada ya kumfahamu vizuri Mbowe hawezi hata kupokea simu yake
  • Mdee, Bulaya na wenzao 17- Japokuwa wanatoa michango yao kila mwezi, Chadema wanasema sio wanachama, kwa hiyo hawa nao hawana sifa.
  • Mange Kimambi – Huyu hataki hata kuwasikia kabisa Chadema, inshort hawapendi tena baada ya kutumia vibaya hela za michango.
Chadema wapende wasipende inabidi uchaguzi ujao warudi upande wa Bavicha kutafuta mgombe urais, waangalie kwenye chungu cha kina Mdude, Yericko, Kisandu nk.

Peooooples
Itawekaje mgombea wakati hakuna Uchaguzi wakati huo?

Katiba mpya itakuwa hatua za mwisho kukamilika.
 
Back
Top Bottom