Zaidi ya miaka 20 mnakula ruzuku kila mwaka lakini hamjaweza kujenga hata jengo moja la makao makuu ya chama mtaweza kuongoza nchi kweli?kazi aliyoweza Kikwete na Magufuli nani atashindwa? Mtu yoyote mwenye akili timamu anaweza kuwa rais wa Tanzania.
i ya miaka 20 mnakula ruzuku kila mwaka lakini hamjaweza kujenga hata jengo moja la makao makuu ya chama mtaweza kuongoza nchi kweli?
Hiyo qualification inamtupa nje tundu lisu
Lissu hayuko sawa kichwani ndiyo maana wazungu walishamdharau. Mzungu ukiwa unaongea akawa anakwambia 'you are right' ujue unaongea pumba tupu na hiyo ilishamkuta Lissu mara nyingi.Kwani ana file Mirembe kama yule dhalimu?
Hawa ndio wamesababisha bei za bundle zipande!Huu muda wa kuandika upuuzi unautoa wapi?
Ahadi ccm mlizotuahidi tangu ungonzi wa JK mtazitimiza lini?Katika historia ya Chadema, japo sio sharia ila kiutamaduni, mgombea urais wa chama hicho huwa amekuwa mbunge katika bunge lilitangulia kabla ya uchaguzi. Mbowe, Slaa, Lowassa na Lissu. Uchaguzi ujao watakuwa hawana tena uwanja mpana kupata mgombea mwenye sifa hizo. Kuna wabunge 20 ambao wenye uanachama halali ni mbunge mmoja. Aida Khenani. Hapo sasa inabidi turudi kwenye makabrasha kuangalia makada wengine tena. Nao ni kama ifuatavyo.
Chadema wapende wasipende inabidi uchaguzi ujao warudi upande wa Bavicha kutafuta mgombe urais, waangalie kwenye chungu cha kina Mdude, Yericko, Kisandu nk.
- Lissu- Ataulizwa miaka yote hiyo ulikuwa unazunguka Ulaya “hivi kweli hata shida zetu hapa Tanzania unazijua?”
- Lema – Hana elimu ya kutosha
- Sugu – Ana street cred lakini hana elimu ya kuongoza nchi
- Msigwa – Hana haiba ya urais
- Mbowe – Watanzania hata hawajui anataka nini hasa
- Mnyika – Kapoteza muelekeo wa kisiasa kabisa
- Prof Safari- Umri utakuwa umemuacha kidogo
- Wenje- Yuko nje ya ulingo muda mrefu sana, sidhani hata kama anajua uchaguzi ujao ni mwaka gani
- Maria Sarungi – Chadema wenyewe hata hawana Imani naye kabisa, wanamuona yuko kimaslahi zaidi
- Fatma Karume –Huyu aliwahi kusifia wakati Fulani mapenzi ya jinsia moja, Chadema wanaogopa rungu hilo kutumika dhidi yao
- Heche – Kakaa kigomvigomvi sana, Watanzania ni watu wa Amani, Chadema hawawezihata kumfikiria
- Nassari – Huyu alikuwa mtu pekee mwenye sifa lakini ndio hivyo tena, yeye ni kijani na njano sasa hivi.
- Pambalu – Umri hauruhusu, bado motto
- Slaa – Hataki hata kuisikia kabisa Chadema
- Mzee Lowassa – Baada ya kumfahamu vizuri Mbowe hawezi hata kupokea simu yake
- Mdee, Bulaya na wenzao 17- Japokuwa wanatoa michango yao kila mwezi, Chadema wanasema sio wanachama, kwa hiyo hawa nao hawana sifa.
- Mange Kimambi – Huyu hataki hata kuwasikia kabisa Chadema, inshort hawapendi tena baada ya kutumia vibaya hela za michango.
Peooooples
Mimi ni CCM ila Lissu hakuna mwanaCCM yeyoye anayemuweza.
Mzalendo, msomi, jasiri, hana kashfa yeyote , bahati mbaya tu alipo hakuko tayari ila huyu ni mtu na nusu
Naomba kujua vigezo vya mgombea sahihi wanafasi ya urais.hebu tuwekee hapa tuvijue.Katika historia ya Chadema, japo sio sharia ila kiutamaduni, mgombea urais wa chama hicho huwa amekuwa mbunge katika bunge lilitangulia kabla ya uchaguzi. Mbowe, Slaa, Lowassa na Lissu. Uchaguzi ujao watakuwa hawana tena uwanja mpana kupata mgombea mwenye sifa hizo. Kuna wabunge 20 ambao wenye uanachama halali ni mbunge mmoja. Aida Khenani. Hapo sasa inabidi turudi kwenye makabrasha kuangalia makada wengine tena. Nao ni kama ifuatavyo.
Chadema wapende wasipende inabidi uchaguzi ujao warudi upande wa Bavicha kutafuta mgombe urais, waangalie kwenye chungu cha kina Mdude, Yericko, Kisandu nk.
- Lissu- Ataulizwa miaka yote hiyo ulikuwa unazunguka Ulaya “hivi kweli hata shida zetu hapa Tanzania unazijua?”
- Lema – Hana elimu ya kutosha
- Sugu – Ana street cred lakini hana elimu ya kuongoza nchi
- Msigwa – Hana haiba ya urais
- Mbowe – Watanzania hata hawajui anataka nini hasa
- Mnyika – Kapoteza muelekeo wa kisiasa kabisa
- Prof Safari- Umri utakuwa umemuacha kidogo
- Wenje- Yuko nje ya ulingo muda mrefu sana, sidhani hata kama anajua uchaguzi ujao ni mwaka gani
- Maria Sarungi – Chadema wenyewe hata hawana Imani naye kabisa, wanamuona yuko kimaslahi zaidi
- Fatma Karume –Huyu aliwahi kusifia wakati Fulani mapenzi ya jinsia moja, Chadema wanaogopa rungu hilo kutumika dhidi yao
- Heche – Kakaa kigomvigomvi sana, Watanzania ni watu wa Amani, Chadema hawawezihata kumfikiria
- Nassari – Huyu alikuwa mtu pekee mwenye sifa lakini ndio hivyo tena, yeye ni kijani na njano sasa hivi.
- Pambalu – Umri hauruhusu, bado motto
- Slaa – Hataki hata kuisikia kabisa Chadema
- Mzee Lowassa – Baada ya kumfahamu vizuri Mbowe hawezi hata kupokea simu yake
- Mdee, Bulaya na wenzao 17- Japokuwa wanatoa michango yao kila mwezi, Chadema wanasema sio wanachama, kwa hiyo hawa nao hawana sifa.
- Mange Kimambi – Huyu hataki hata kuwasikia kabisa Chadema, inshort hawapendi tena baada ya kutumia vibaya hela za michango.
Peooooples
Hawa hawataweza hata kukarabati mabarabara ya JPM watatuturudisha Misri.Zaidi ya miaka 20 mnakula ruzuku kila mwaka lakini hamjaweza kujenga hata jengo moja la makao makuu ya chama mtaweza kuongoza nchi kweli?
Lisu ni mzalendo wa ushoga na kutetea maslahi ya wazunguMimi ni CCM ila Lissu hakuna mwanaCCM yeyoye anayemuweza.
Mzalendo, msomi, jasiri, hana kashfa yeyote , bahati mbaya tu alipo hakuko tayari ila huyu ni mtu na nusu
Sukuma gang wanachuki kubwa sana na Chadema. Mungu wao alisumbuliwa sana na Chadema na Lissu jinsi alivyomchachafya kiongozi wa malaika ktk kampeni za uchaguzi hamtakuja kusahauHivi Chadema wanauongozi kweli ? Sembuse mgombea mwenye sifa ?. Kuishabikia Chadema lazima uwe na matatizo unayo takiwa uwende Mirembe.
Katika historia ya Chadema, japo sio sharia ila kiutamaduni, mgombea urais wa chama hicho huwa amekuwa mbunge katika bunge lilitangulia kabla ya uchaguzi. Mbowe, Slaa, Lowassa na Lissu. Uchaguzi ujao watakuwa hawana tena uwanja mpana kupata mgombea mwenye sifa hizo. Kuna wabunge 20 ambao wenye uanachama halali ni mbunge mmoja. Aida Khenani. Hapo sasa inabidi turudi kwenye makabrasha kuangalia makada wengine tena. Nao ni kama ifuatavyo.
Chadema wapende wasipende inabidi uchaguzi ujao warudi upande wa Bavicha kutafuta mgombe urais, waangalie kwenye chungu cha kina Mdude, Yericko, Kisandu nk.
- Lissu- Ataulizwa miaka yote hiyo ulikuwa unazunguka Ulaya “hivi kweli hata shida zetu hapa Tanzania unazijua?”
- Lema – Hana elimu ya kutosha
- Sugu – Ana street cred lakini hana elimu ya kuongoza nchi
- Msigwa – Hana haiba ya urais
- Mbowe – Watanzania hata hawajui anataka nini hasa
- Mnyika – Kapoteza muelekeo wa kisiasa kabisa
- Prof Safari- Umri utakuwa umemuacha kidogo
- Wenje- Yuko nje ya ulingo muda mrefu sana, sidhani hata kama anajua uchaguzi ujao ni mwaka gani
- Maria Sarungi – Chadema wenyewe hata hawana Imani naye kabisa, wanamuona yuko kimaslahi zaidi
- Fatma Karume –Huyu aliwahi kusifia wakati Fulani mapenzi ya jinsia moja, Chadema wanaogopa rungu hilo kutumika dhidi yao
- Heche – Kakaa kigomvigomvi sana, Watanzania ni watu wa Amani, Chadema hawawezihata kumfikiria
- Nassari – Huyu alikuwa mtu pekee mwenye sifa lakini ndio hivyo tena, yeye ni kijani na njano sasa hivi.
- Pambalu – Umri hauruhusu, bado motto
- Slaa – Hataki hata kuisikia kabisa Chadema
- Mzee Lowassa – Baada ya kumfahamu vizuri Mbowe hawezi hata kupokea simu yake
- Mdee, Bulaya na wenzao 17- Japokuwa wanatoa michango yao kila mwezi, Chadema wanasema sio wanachama, kwa hiyo hawa nao hawana sifa.
- Mange Kimambi – Huyu hataki hata kuwasikia kabisa Chadema, inshort hawapendi tena baada ya kutumia vibaya hela za michango.
Peooooples
Una wivu wa kike kwa yai anayotema lissuLissu hayuko sawa kichwani ndiyo maana wazungu walishamdharau. Mzungu ukiwa unaongea akawa anakwambia 'you are right' ujue unaongea pumba tupu na hiyo ilishamkuta Lissu mara nyingi.
Hivi katiba mpya ya chadema ilikwishatengenezwa kwanza?Mnahangaika sana. Katiba mpya ndio dawa.
WAMUWEKE MDUDE NYAGALIKatika historia ya Chadema, japo sio sharia ila kiutamaduni, mgombea urais wa chama hicho huwa amekuwa mbunge katika bunge lilitangulia kabla ya uchaguzi. Mbowe, Slaa, Lowassa na Lissu. Uchaguzi ujao watakuwa hawana tena uwanja mpana kupata mgombea mwenye sifa hizo. Kuna wabunge 20 ambao wenye uanachama halali ni mbunge mmoja. Aida Khenani. Hapo sasa inabidi turudi kwenye makabrasha kuangalia makada wengine tena. Nao ni kama ifuatavyo.