Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

Status
Not open for further replies.
This is exactly what I call Grat thinking.Nashukuru sana kwa bandiko hili mkuu!Ni matumaini wahusika wanayaoana haya.Ningependa tujadiliane kwa njia hii.Huu ni mfano tosha kuwa si waislam wote wenye mawazo kama ya wafuasi wa JK na JK mwenyewe.Huwa tunatofautiana lakini nimeguswa sana na mchango wako huu.Stay blessed.

Hakuna kitu kibaya kama unafiki.....na ndio maana nilikuambia kabla kwamba ulikuwa unaongea mambo ya kuwa-lead watu waseme kama ni Udini mbona Lowassa kila siku anaingia makanisani kupiga siasa ili upate kuongea kama hivi ulivyoongea! Kwa bahati mbaya sana, hata wewe mwenyewe umeshindwa kabisa kufahamu kwamba uliyem-quote amekunanga na wewe umeingia kichwa kichwa!!
 
Mkuu bandiko langu la kwanza umelisoma vyema?hakuna danadana yoyote,JK ni mdini na hapendi suluhu kabisa.Hii hali iliyopo nchini wala hata hajali.Ndo hapo tunaona anafuraia.Watetezi wake wote kwenye issue za ufisadi,huwa wanalia udini na ni wauwaji wakubwa wa mwalimu humu ndani.Na nimesema hapo nyuma kwamba inawezekana bifu lake ni alipoondolewa kwenye kugombea urais.Akakiuka hata ile miiko ya unofficial,akataka awe rais anyways licha ya kwamba mzee Mwinyi ndo alikuwa kamaliza muda wake.Yeye ni mmojawsapo anaoamini uonevu dhidi ya uislam,na kwahiyo njia aliyoichukuwa kusolve tataizo hilo kama lipo,ni njia mbaya.Na pia nikasema kwasababu ana kashfa kibao za ufisadi,kuchochea kwake udini ndo salama yake kwasababu ni "a divide and rule" tactic.
jmushi1, bado utetezi wako hauna mashiko hata kidogo!!!! Miongoni mwa watu ambao wamewahi "kuua" kuhusu mwalimu humu jukwaani ni mimi......lakini wakatokea watu wenye mawazo dhaifu kama yako wakadai kwamba eti mimi ni mdini kisa sikubaliani na yale yaliyofanywa na utawala wa Nyerere! Humu ndani, hususani Christians hawataki kabisa kusikia mtu akimsema vibaya Nyerere na anayefanya hivyo tu basi ni mdini na kwamba ana chuki.....this's stupid!

pamoja na hayo, acha kulazisha mambo mkuu wangu.....hapa hoja ni udini wa JK.....hayo ya ufisadi yanatoka wapi?! kwani wanaotuhumiwa kwa ufisadi nchi hii ni Waislamu peke yake hata useme kwamba JK anatumia gia ya udini ili kuficha ufisadi?! Tatizo, bado hujatoa hoja za msingi za ku-support madai yako zaidi ya kuweka dhana dhahania! Hata wale wanaokuunga mkono bado hawajatoa hoja za maana na ndio maana akina sie tunaishia kusema kwamba kinachowasumbua jmushi1 na wenzako ni udini.....!
 
Kumbe yana ushahidi yale ya gazeti la sauti?ebu uweke hapa hili ni jukwaa huru.Vyombo vya habari vyenye kuchochoe hisia za kidini ni hatari kwa usalama wa taifa kama mlivyo wachochea udini.
Kwahiyo ndo unataka JK ayafungie sio?!
 
Hakuna kitu kibaya kama unafiki.....na ndio maana nilikuambia kabla kwamba ulikuwa unaongea mambo ya kuwa-lead watu waseme kama ni Udini mbona Lowassa kila siku anaingia makanisani kupiga siasa ili upate kuongea kama hivi ulivyoongea! Kwa bahati mbaya sana, hata wewe mwenyewe umeshindwa kabisa kufahamu kwamba uliyem-quote amekunanga na wewe umeingia kichwa kichwa!!
Mkuu ya EL kwenda makanisani na JK misikitini ni yenu ninyi mafisadi wadini.Hili halihitaji magnifier kuliona.Na kama hujui kusoma btn lines hayo ni matatizo yanayokukwamisha.
 
Kwahiyo ndo unataka JK ayafungie sio?!

Hakuna uhatarishaji wa usalama wa nchi ambao ni mbaya zaidi ya kuhatarisha umoja wa kitaifa.Kama kuna magazeti ambayo yanafanya hivyo,kuyaachia ni sawa na ku paticipate kwenye uhuni huo.
 
jmushi1, bado utetezi wako hauna mashiko hata kidogo!!!! Miongoni mwa watu ambao wamewahi "kuua" kuhusu mwalimu humu jukwaani ni mimi......lakini wakatokea watu wenye mawazo dhaifu kama yako wakadai kwamba eti mimi ni mdini kisa sikubaliani na yale yaliyofanywa na utawala wa Nyerere! Humu ndani, hususani Christians hawataki kabisa kusikia mtu akimsema vibaya Nyerere na anayefanya hivyo tu basi ni mdini na kwamba ana chuki.....this's stupid!

pamoja na hayo, acha kulazisha mambo mkuu wangu.....hapa hoja ni udini wa JK.....hayo ya ufisadi yanatoka wapi?! kwani wanaotuhumiwa kwa ufisadi nchi hii ni Waislamu peke yake hata useme kwamba JK anatumia gia ya udini ili kuficha ufisadi?! Tatizo, bado hujatoa hoja za msingi za ku-support madai yako zaidi ya kuweka dhana dhahania! Hata wale wanaokuunga mkono bado hawajatoa hoja za maana na ndio maana akina sie tunaishia kusema kwamba kinachowasumbua jmushi1 na wenzako ni udini.....!
Munaokosoa siasa za mwalimu kwamba ni mdini mlitumwa na JK.Nani asiyekosoa siasa za mwalimu?kama unanizungumzia mimi,basi hufahamu vyema michango yangu humu.Mlivamia forum na udini wenu na kuanzishamovement ya anti mwalimu based on religion,kama unafiki wako unaifanya akili kuwa fupi hilo pia ni tatizo.
 
jmushi1,
sizani kama kuna sentensi inayofaa kukuelezea kwa ufupi kabisa zaidi ya kukwambia "pole sana mkuu wangu...!" u're real color is at last visible to anyone with no color blind!!
 
Sijadiliani na wadini,we huna mpango wala huna haja ya kujibu posti yangu,changanya masaburi najuwa unamtetea baba yako.Kuna thread nyingi tu,peleka masaburi kwenye ile ya Zomba.

Afadhali kuchakaa nguo kuliko kuchakaa akili, angalia unavyoonyesha upumbavu wako hadharani unaporomosha matusi hovyo halafu mpuuzi kama wewe kweli nani atakufuata, ni mwehu peke yake ndio atakuelewa, wewe endelea kutukana kweli ukitaka kujua upuuzi na ujinga wa mtu ni kwenye maneno yake.
 
Hayo ni majibu ya kitoto mkuu. Kama wanajihesabu kanisani inamaana na hizo takwimu za waislam walizipata hukohuko kanisani? Hayo ndiyo majibu huketa
kwa logic ya kawaida sana.idadi ya watanzania inakadiliwa milion 40 na kitu hivi..sasa inashindikana nini wakristo kujua kuwa wako wengi zaidi ya waislamu ikiwa wamejihesabu na kuwa karibu 3/4 ya watanzania wote
 
vipi mkuu wangu, mbona jazba?! amekushika pabaya, au?!

Mkuu wangu naona jamaa ana kibali cha kutukana wenzake jamvini na mods wanamuangalia tu tutafika kweli..mie natukwanwa kwa sababu mdini namtetea JK.
 
Afadhali kuchakaa nguo kuliko kuchakaa akili, angalia unavyoonyesha upumbavu wako hadharani unaporomosha matusi hovyo halafu mpuuzi kama wewe kweli nani atakufuata, ni mwehu peke yake ndio atakuelewa, wewe endelea kutukana kweli ukitaka kujua upuuzi na ujinga wa mtu ni kwenye maneno yake.
Ritz, hebu baada ya 15 yrs ijayo 2027 tz itakuwa na sura gani ya kijamii na hasa mahusiano (uisilam na ukristo) hapa ccm wanaweza kutuachia nyoya,najua hilo ndilo tamanio lako kamanda,
 
hakuna hasara kwa taifa kama kuwa na kiongozi wa juu asiye na msimamo wala hajui kwa nini yupo pale.

Wakati anajipanga kuingia madarakani alitumia sana mbinu ya udini, pamoja na nyingine na kufanikiwa kuingia.

Kama kawaida yake hakujua kama itafikia hapa, na hakuwa na njia mbadala ya kunusuru hali pindi mambo yataharibika.

Jukumu au wa kulaumiwa ni sisis watanzania tuliokubali kuingozwa na mtu asiye na uelewa na sisi kukubali kumpa nafasi ya kutugawa.

Mjinga akiwachonganisha werevu wawili, wa kulaumiwa si mjinga, bali ni wale werevu walioshindwa kujua lililo bora kwao.

Badala ya kutumia 'platform' kama hii kunyoosheana vidole, ingekuwa jambo la maana kama tukakubali tofauti zetu na kutafuta 'common ground' ambapo tunaweza kusonga mbele kama taifa moja lililowahi kuwa na wananchi wasiotambuana kwa dini kwa majina yao au kwa uwezo wao katika uongozi.

I think am in love.......
 
Usitake kuniambia kwamba umeshasahu mlipodai kwamba JK anazungumzia zungumzia udini kwenye kampeni wakati nchi hii haina udini......au mkuu wangu wakati wa kampeni ulikuwa Alaska nini?!
Mkuu leo inakuwaje? Mbona wewe ni mchangiaji makini sana humu jamvini!
Mbona watu tunataka kujua vitu rahisi kabisa lakini unatuzungusha?
Viongozi wa serikali na Kikwete mwenyewe wamefanya nini kukemea udini unaonea kama alivyosema mtukufu rais mwenyewe wakati wa uzinduzi wa bunge 2010?
 
Mkuu wangu naona jamaa ana kibali cha kutukana wenzake jamvini na mods wanamuangalia tu tutafika kweli..mie natukwanwa kwa sababu mdini namtetea JK.
Acha kulia lia kiunafiki wewe mtetezi wa mafisadi ama pengine fisadi lenyewe,kuna mtu ana mdomo mchafu kama wako humu?
 
jmushi1,
sizani kama kuna sentensi inayofaa kukuelezea kwa ufupi kabisa zaidi ya kukwambia "pole sana mkuu wangu...!" u're real color is at last visible to anyone with no color blind!!
Msome Sweke34 ili tuweze kurudi kwenye hoja, sawa mkuu?
 
Acha kulalamika! Kata rufaa kama umeonewa! Kuna sehemu ya kupeleka malalamiko yako! Kama uzi umeunganishwa ujue contents zina fanana!
Mkuu Ritz,
Wengi humu JF ni wadini -wanashabikia ukristu ajabu ni kuwa hawaelewi madhara ya udini; alichosema Mtei ni udini mtupu hakulisema lile kwa misingi ya kisiasa; nimeona thread imechanganywa si nilishasema hili jukwaa sio huru lipo kwa manufaa ya kikundi fulani ukiliangalia kwa makini ni hatari hata kuliko redio Imani; labda tupendekeze watoe hili neno "we dare to talk truth." Ni ukweli gani utakaongea wakati tayari umejiegemeza kwenye kundi fulani? Huu ndio unafiki mkubwa! Zomba akisema ukweli anaambiwa mdini ila masanilo akisema pumba za kidini anashabikiwa ajabu ni hao washabiki hawajui wanashabikia kitu gani historia inaonyesha hata ndani ya ukristo yapo matabaka ya kubaguana huo utakuwa mwanzo wa kuja kuuana; kwa wajiulize kama udini una maana mbona Dayosisi ya Meru bado haijakaa sawa kwa sababu ya dhana hizi za ukabila na udini.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu leo inakuwaje? Mbona wewe ni mchangiaji makini sana humu jamvini!
Mbona watu tunataka kujua vitu rahisi kabisa lakini unatuzungusha?
Viongozi wa serikali na Kikwete mwenyewe wamefanya nini kukemea udini unaonea kama alivyosema mtukufu rais mwenyewe wakati wa uzinduzi wa bunge 2010?

Mkuu wangu sweke34 ni wewe ndie ambae unataka kujifanya hamnazo wakati unazo tele! Mbona nilishakuambia tangia kwenye quotation yangu ya kwanza kwako kwamba wakati JK anazunguka kwenye kampeni za uchaguzi 2010 kwenye mikutano yake mingi alikuwa anakemea sana suala la udini! Ktk maajabu ya Mussa, wakatokea watu wakaanza kumpinga na kumshambulia kwamba kwa hatua yake ya kupita kuzungumzia masuala ya udini ndo anapandikiza udini vichwani mwa watu wakati "eti nchi haina udini!"Na ndio maana leo nashangaa kuona akina jmushi1 mnadai kwamba JK ni mdini kwakuwa hakemei udini.....lakini hapa mnachomaanisha hakemei waislamu! Sitaki kuamini kwamba mmesahau wakati ni miaka miwili tu sasa!!!!

Hilo la kwanza...lakini la pili, jmushi1 anapindisha mada tu hapa.....anafinyangafinyanga alichokielezea ili watu wamuamini kwamba ni mzalendo mpenda mmoja huku akiwa ni adui mkubwa wa udini wakati ukweli ni kwamba jmushi1 leo hii amejisahau na kuionesha taswira yake halisi! Binafsi, nakumbuka mara yangu ya kwanza kabisa kum-challenge jmushi1 kuhusu masuala ya udini ni wakati mzee Mtei alipotoa madai yake ya kwamba tume imejaa waislamu!! Lazima nikiri wazi kwamba mara zote ambazo nimekuwa niki-differ ni jmushi1 ni pale anapoleta hoja zake za udini! Angalau, kwenye mada ile, alijishtukia mapema akaamua kukausha!
 
Mie hupendelea kuisikiliza radio Imani ya Morogoro, ukweli radio hii haina jema kwa taifa letu. Mtu makini utatarajia chombo cha habari cha kidini kazi yake ni kuwaelimisha/kuwakumbusha kuhusu imani ya dini hiyo, lakini radio hiyo imejikita kuwafanya waumini/wasikilizaji wake wajione wananyanyaswa, kudhurumiwa na kila unyonge wa mwanadamu hapa duniani hufanyiwa lakini watawala wetu wanaona sawa tu na kulifungia gazeti. Nachelea kuamini kuwa labda vita ya kidini inaandaliwa.
Wakuu

Mimi mpaka sasa kuna kitu nashindwa kukielewa. Honestly speaking demages anazofanya Kikwete kiuchumi, kijamii na kisiasa ni kubwa kupindukia na zitakuwa na long term effects lakini inaoneka hakuna mtu hata mmoja (zaidi ya Mnyika na Ulimwengu) mwenye nguvu ya kumsema, kumkemea, au kumzuia.

Japokuwa kila mtu anaongelea suala la udini kiushabiki (kama simba na yanga) lakini hili suala ni suala nyeti mno na inashangaza jinsi ndugu Kikwete anavyozidi kulilea na kulikuza. unfortunately watu wengi hawaelewi unyeti wa jambo hili na wanaendeleza ushabiki.

kiuchumi na kisiasa ndi sijua hata niseme nini. I am speechless on the damages that this man has caused to our young Nation.

Hakika huyu mzee ni janga kuu la kisiasa nchini Tanzania. Aligombea urais kwaa ajili ya personal reasons na ametawala for personal gains only. Watanzania na mambo yao ya msingi is at the bottom of his concerns.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom