Avatar yako inahukumu.Asubiri kufa![]()
We ndo utamuua sasa... huo moyo unaompa ni wa plastiki..kaka mi naomba nikutie moyo ktk watu wanao jiheshimu ni malaya huwa mara nyingi hawafanyi bila condom ila huyo alikuonea huruma coz babu aligoma kusimama!mi nakutia moyo ukimwi haumpati mtu kisahisi ivo na malaya huwa wapo makini sana!kuwa na amani ata wazo la kupima kisa umetembea na malama achana nalo labda kapime kwa utashi wako.kumbuka wanao tuuwa kwa ukimwi ni wale tuonao waamini.mbona watu tunapiga sana mabahamedi kavukavu na tunajiamini.give up!
Mhhhhh!wewe Dada,umefanya nimecheka sana hapo kwenye red
Wana MMU naombeni ushauri wenu hii weekend iliyopita nimepatwa na janga mpenz wangu yuko mbali sasa hamu ya kudo imenikamata kwa muda mrefu sasa nikaona njia rahisi ni kwenda mjini na kununua malaya sasa jambo la ajabu nimekwenda nae mashine ikagoma kusimama na sio kawaida sasa katika hali ya kuibembeleza nilivua condom nakuchezesha kichwa kwenye mlango wa uke sasa ikasimama nikaingiza bila ndom ila baada ya dakika kama 3 au 4 nika mwaga sasa nilipomaliza nilijilaumu sana kufanya na malaya bila kondom sikuendelea nikampa pesa nikaondoka na stress naomben ushauri kama anao je nishaumia mana sina raha nikifikiria lile jambo.
Ok nimewaelewa kabisa wadau nitapima ilakamakufa kupo tu sioni tatizo mana wapo wanaoishi nao kwa muda mref.
Nenda hospital haraka watapima na kukupa arv za kuzuia,ndani ya masaa 72