Kwa malaya bila kinga

Kikubwa umejifunza, sio kwamba tumekudis

Sio wewe wa kwanza kufanya makosa kama haya, na sio lazima umeathirika.

Kikubwa mlinde mpenzi wako, pima kabla hujakutana naye bila kondomu, huko ndio kuwajibika kwa mwanamme aliyekomaa kifikra.

Afu kuna dawa huwa wanapewa hospital, sijui zinaitwaje ila inatakiwa unywe nadhani ndani ya masaa 24.

Naamini hutakaa urudie kosa kama hili, na umekuwa a more stronger man kuliko ulivyokuwa mwanzo. Sidhani kama utarudia kosa kama hili kirahisi, hope for the best na ntakusaidia kuomba kwa ajili yako.

Pole!

wala sio kawaida yangu bro ilikuwa tamaa ya tendo tu ikanifanya niende kununua hao watu ila ushauri wako mzuri unanipa moyo wengine wamedis sana
 
Nyie wanaume wengine sijuw mkunwe na kiparulio cha karoti kwenye hizo ndude zenu ndo mnatulia....???
Au msuuzwe na maji ya betri ndo mtatulia kwa mpenzi mmoja...

Ona kama huyu!!!unajirisk maisha yako so cheap et sijamlipa.. Huu ukimwi wa kujitakia kwa tamaa za ki**ng, bora hata izo dawa msipewe.
Mbona si tunawezaga jizuia jaman. Aaaghhh nimeboreka...
 
Kama kujizuia nimejizuia kwa muda mref coz mpenz mara ya mwisho kukutana nae kimwili ilikuwa desemba 23 mpaka juz na haikuwa kawaida tulikuwa hatumalizi wiki mbili hatujakutana nilipiga nyeto sana ila kiu sijui ni shetan vikanifanya nitoke chuo mpaka town na kununua malaya.
 
Duh! Kaka umeingiza mtarimbo kwenye kichuguu cha mchwa bila kinga? Sintapenda kutangaza TANZIA yako hapa, lakini Ukipona hili janga, basi usirudie tena.:nono:
 
Kama kujizuia nimejizuia kwa muda mref coz mpenz mara ya mwisho kukutana nae kimwili ilikuwa desemba 23 mpaka juz na haikuwa kawaida tulikuwa hatumalizi wiki mbili hatujakutana nilipiga nyeto sana ila kiu sijui ni shetan vikanifanya nitoke chuo mpaka town na kununua malaya.

jaman Ngalewa, kama ukiona uhusiano hauwork,u better walk away faster... Yanini ujitese mwisho uharibu maisha yako?i knw kuna njia nyingi za kujizuia unless unapata mzinzi mwenzio mwaminifu wa ku-do nae kwa commitment until marriage,.either umuoe uyo or otherwise.
Ila sasa imagine apo umeukwaa???utamlaumu mpenzi wako au hisia zako???
Kuwa na hofu ya Mungu ni kinga imara sana,huwezi fanya mambo ya kijinga.
No one is perfect,ila mrudie Mungu kwa upya.
 
Last edited by a moderator:
SIPENDI kusoma uzi humu JF eti..'TANZIA: Mwana-JF mwenzetu ametutoka'.
kuna baba mmoja toka Uganda siku moja tulikuwa tunasafiri nae. Akajitapa kwamba yeye ana wake wawili na vimada 10 na hajawahi kutumia condom na amepima mara nyingi hajakutwa na HIV. Akasema njia anayotumia..wakati ana-do akishamwaga tu faster anachomoa 'kitu' yake anaingia bafuni, anakojoa mkojo na kisha anaiosha kwa maji! Akadai mwanaume akifanya hivyo hawezi kupata ukimwi. Tulimbishia sana na pia tulimshangaa sana maana ni baba mtu mzima ambaye inapaswa awe na mawazo ya kikubwa na hekima ya kuwasaidia vijana kwa ushauri!
 
Nyie wanaume wengine sijuw mkunwe na kiparulio cha karoti kwenye hizo ndude zenu ndo mnatulia....???
Au msuuzwe na maji ya betri ndo mtatulia kwa mpenzi mmoja...

Ona kama huyu!!!unajirisk maisha yako so cheap et sijamlipa.. Huu ukimwi wa kujitakia kwa tamaa za ki**ng, bora hata izo dawa msipewe.
Mbona si tunawezaga jizuia jaman. Aaaghhh nimeboreka...

Mhhhhh!wewe Dada,umefanya nimecheka sana hapo kwenye red
 
Wana MMU naombeni ushauri wenu hii weekend iliyopita nimepatwa na janga mpenz wangu yuko mbali sasa hamu ya kudo imenikamata kwa muda mrefu sasa nikaona njia rahisi ni kwenda mjini na kununua malaya sasa jambo la ajabu nimekwenda nae mashine ikagoma kusimamana sio kawaida sasa katika hali ya kuibembeleza nilivua condom nakuchezesha kichwa kwenye mlango wa uke sasa ikasimama nikaingiza bila ndom ila baada ya dakika kama 3 au 4 nika mwaga sasa nilipomaliza nilijilaumu sana kufanya na malaya bila kondom sikuendelea nikampa pesa nikaondoka na stress naomben ushauri kama anao je nishaumia mana sina raha nikifikiria lile jambo.

Hapo kwenye red inaonekana mda huo Mpenzi wako alikuwa kwenye maombi mazito sana, akikuombea usiingie katika vishawishi.
 
Men are just men mie siwezi kuhukumu ila najua ulikwenda nunua huduma ya changu kwasababu ulimfananisha huyo malaya na demu/sex parter wako,uliona kama ni k hata malaya anayo ila unalipia huduma tofauti na demu ambaye anakupa bure whenever you want na ndio tofaut kubwa kati ya malaya na huyo demu wako
 
Wana MMU naombeni ushauri wenu hii weekend iliyopita nimepatwa na janga mpenz wangu yuko mbali sasa hamu ya kudo imenikamata kwa muda mrefu sasa nikaona njia rahisi ni kwenda mjini na kununua malaya sasa jambo la ajabu nimekwenda nae mashine ikagoma kusimama na sio kawaida sasa katika hali ya kuibembeleza nilivua condom nakuchezesha kichwa kwenye mlango wa uke sasa ikasimama nikaingiza bila ndom ila baada ya dakika kama 3 au 4 nika mwaga sasa nilipomaliza nilijilaumu sana kufanya na malaya bila kondom sikuendelea nikampa pesa nikaondoka na stress naomben ushauri kama anao je nishaumia mana sina raha nikifikiria lile jambo.

Mshahara wa dhambi ni mauti, mauti ya aibu! Nakushauri utubu dhambi yako kwani Mungu ni mwaminifu kiasi kwamba hataki ufe kifo cha aibu milele ndio maana unakosa raha. Kukosa raha kunakuongoza kwenye toba.
 
Acha kuogopa bure mwanangu, nzi kufia kwenye kidonda mambo ya kawaida tu, wamekufa watu kama nyerere, Mobutu, Hitler etc sembuse wewe??.......piga kazi, tafuta pesa, tafuna maisha yaendelee.
 
Wana MMU naombeni ushauri wenu hii weekend iliyopita nimepatwa na janga mpenz wangu yuko mbali sasa hamu ya kudo imenikamata kwa muda mrefu sasa nikaona njia rahisi ni kwenda mjini na kununua malaya sasa jambo la ajabu nimekwenda nae mashine ikagoma kusimama na sio kawaida sasa katika hali ya kuibembeleza nilivua condom nakuchezesha kichwa kwenye mlango wa uke sasa ikasimama nikaingiza bila ndom ila baada ya dakika kama 3 au 4 nika mwaga sasa nilipomaliza nilijilaumu sana kufanya na malaya bila kondom sikuendelea nikampa pesa nikaondoka na stress naomben ushauri kama anao je nishaumia mana sina raha nikifikiria lile jambo.

Kwani ulifanya kwa nguvu mpaka ukachubuka? Kama ulichubuka jiandae kula mashudu.
 
Wana MMU naombeni ushauri wenu hii weekend iliyopita nimepatwa na janga mpenz wangu yuko mbali sasa hamu ya kudo imenikamata kwa muda mrefu sasa nikaona njia rahisi ni kwenda mjini na kununua malaya sasa jambo la ajabu nimekwenda nae mashine ikagoma kusimama na sio kawaida sasa katika hali ya kuibembeleza nilivua condom nakuchezesha kichwa kwenye mlango wa uke sasa ikasimama nikaingiza bila ndom ila baada ya dakika kama 3 au 4 nika mwaga sasa nilipomaliza nilijilaumu sana kufanya na malaya bila kondom sikuendelea nikampa pesa nikaondoka na stress naomben ushauri kama anao je nishaumia mana sina raha nikifikiria lile jambo.

Mkuu inaonekana kichwa chako cha chini kilipoamka tu kile ya juu kiliacha kufanya kazi mpaka baada ya kumaliza kujilipua.
 
hiyo dawa inaitwaje mana tendo lilikuwa jumamosi usiku

Tiba inaitwa Post-Exposure Prophylaxis (PEP). Haitolewi hivi hivi. Labda km utampata huyo dada (uliemuita -kwangu mimi umemtukana kwamba ni MALAYA). Ili apimwe na ikithibitika waweza anzishiwa PEP. Tiba lazima itolewe within 72 hours.

Pole sana Mkuu. A second can positively or negatively change our lives. Sound mind should always make sound decisions.
 
Unakutana na mwanamke kwa mara ya kwanza unatembea naye bilia kinga? Inasikitisha sana. Jaribuni kuwa wavumilivu katika hili la sivyo maambukizi hayataisha kwa utaratibu huu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom