Then............?Mmmmmmmmh!!! Pole sana. First of all tubu kwa Mungu wako.
wala sio kawaida yangu bro ilikuwa tamaa ya tendo tu ikanifanya niende kununua hao watu ila ushauri wako mzuri unanipa moyo wengine wamedis sanaMkuu mtu asikutishe, unaweza fanya mapenzi bila kinga ukaathirika au usiathirike, usije kufa kwa mawazo bure!
cha muhimu subiri baada ya muda ukapime. ila kama ndio kawaida yako kuwatafuna hawa viumbe bila zana, pia uko kwenye hatari zaidi. maana ukishazoea bila ZANA huwezi kutumia ile kitu. Jipe moyo mzee, unaweza lala na mtu mwenye ngoma na bado usipate.
Asubiri kufaThen............?
Wana MMU naombeni ushauri wenu hii weekend iliyopita nimepatwa na janga mpenz wangu yuko mbali sasa hamu ya kudo imenikamata kwa muda mrefu sasa nikaona njia rahisi ni kwenda mjini na kununua malaya sasa jambo la ajabu nimekwenda nae mashine ikagoma kusimama na sio kawaida sasa katika hali ya kuibembeleza nilivua condom nakuchezesha kichwa kwenye mlango wa uke sasa ikasimama nikaingiza bila ndom ila baada ya dakika kama 3 au 4 nika mwaga sasa nilipomaliza nilijilaumu sana kufanya na malaya bila kondom sikuendelea nikampa pesa nikaondoka na stress naomben ushauri kama anao je nishaumia mana sina raha nikifikiria lile jambo.
Hahaha kiroho safi kaka umeathirikaaa