stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 18,884
- 14,630
CCM imekuwa chama imara sana katika kupigania nchi hii, toka 1961 msimamo wake haujawahi kupinda kutetea maslahi ya wananchi wake, kwa nje utaona ni vita ya kugombania haki ila kuna watu waliisubiri sana hii siku waonyeshe rangi zao halisi, Kinachoendelea ni vita kubwa ya kiuchumi, kinachoisaidia Tz ni kutofungana upande wowote wa kidiplomasia, anapiga kote kote, hapa tunakumbuka maneno aliwahi kusema Tundu Lissu "Ni kichaa peke yake ndo atakuwa na mahusiano ya karibu na Marekani lakini utakuwa kichaa zaidi kuwa adui wake"
Akimaanisha Uhusiano wako na Marekani pande zote lazima upoteze, hivyo kutofungana upande wowote ni faida kubwa otherwise tungeangukia pabaya sana, Wananchi wengi wanatumika bila wao kujua wakidhani wanagombania haki lakini ni VITA YA KIUCHUMI
Najua wana mtu wao wa mda mrefu wanataka aongoze lakini CCM imekuwa imara miaka yote.