Kwa mabazazi tuu

Kama unasoma huu uzi nipigie tafadhali. Ilikuwa 2021. Una deni la kulipa🀣
 
Ha ha ha! Neno bazazi limenikumbusha jamaa yangu Msukuma enzi za chuo, tukikutana kwenye bata, tunaitana Bazazi, Mwanaizaya, Nyanoko bhebhe. Tunacheka sio poa. 😁

Kuhusu mada: Mimi huwa sisevu namba, naiacha kwenye simu tuu mpaka badae sana.
 
Kwahiyo unaiacha iatamie au ijipige!?🀣
 
sema nachopendea wakaka ukikaa nao seat moja safarini una enjoy sana..! mtu kukusaidia kuweka ama kushusha bag wala siyo shida, unaweza mpandishia miguu ukichoka kuikunja kwenye seat fresh tu, unamuegemea begani ye fresh tu, anaweka miguu unalala zako mapajani ye kwake fresh tu, unauliza hujachoka.!? anakuambia wewe weka tu, kuna muda kwa aibu unashusha maana unahisi mtoto wa watu atakuwa kachoka..!

huwa mna roho gani wenzetu..!??
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…