Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,789
- 51,557
Uweke nini tenaNitaweza panapo ridhaa yake. Ngoja nitamuuliza kama yupo tayari niweke ama nisiweke
Uweke nini tenaNitaweza panapo ridhaa yake. Ngoja nitamuuliza kama yupo tayari niweke ama nisiweke
🙏🙏😘😘🥂🥂🧚♀️🧚♀️[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]. I am short of words to express how happy I am. Thank you so much Beautiful Chakorii, My Crush [emoji76]
Ndio!Weeeee...usiniambie
Kuna uzi hhumu wa konda msafi, alimprnda sana mpaka kuna siku alimkimbiza Khumbu nje akiwa kavaa boxer!Kumaanisha..
Ukiniita kwenye huo uzi pengine naweza kuelewa zaidiKuna uzi hhumu wa konda msafi, alimprnda sana mpaka kuna siku alimkimbiza Khumbu nje akiwa kavaa boxer!
Ahaaa kumbe ni id moja.safi🤛🤛Ndio!
Ila uwo mguu mashalah [emoji4][emoji4] ni wako?
Umeanza 😅😅😅Guu la Taifa!
it must be love. unanikimbusha mbali kidogo apo ulipo nisaidie kusikitikaa.daaah
pispi moya ivi tulikutana nayo church kipindi niko chali chali ivi , niikuwa mpiga kinanda yeye muimbajii, Tulizoeana sana maisha safii.
Nifupishe story siku anakuja kuniaga anaondoka huhu yeye analia ndo siku mm nilio jua nampenda yule binti eeebhana eeeh sikuweza kula masaa karibu 40 (It must be love ). mtoa mada ebu vuta sodaa apo nalipaa
Brother hizi ni hisia za mtu.mwamba siwezi kumpa jibu la kumfanya ajisikie vibaya.hata mimi naweza kuwa na hisia namtu nikimwambia hisia zangu akanijibu vibaya tena mbele ya kadamnasi hakika nitajisikia vibaya mno..pengine ikanipunguzia kujiamini tena.
So siwezi kumfanya mwamba akakosa kujiamini kwa sababu ya jibu baya pengin wengi watategemea mimi kumpa.
Kuna uzi fulani Ali jaribu kunigusia hisia zake nikamjibu vibaya,kiukweli kabisa nilijisikia vibaya ilinibidi kuzifuta zile comments.
Maisha ndo haya haya kaka huwezi jua mwamba itamuongezea kitu gani mimi kumshukuru kwa kunipenda.
THE REPORT nashukuru kwa kunipenda[emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344]
#domozege#
Mwaka wa roho mbaya huu
[emoji849]
OkAhaaa kumbe ni id moja.safi[emoji2935][emoji2935]
Hapana mkuu si wangu.nimeitoa hiyo picha kwenye mitandao
😊😊😘😘Thanks for being considerate [emoji8]
Niiteni basi kwenye huo uzi nikausome😅😅Dah Khumbu kama Khumbu, mkuu kuna kuna Khumbu wa jf alishajitokeza kwenye ule uzi
aiseeee........ kumbe mwamba inaonekana yupo serious!Brother hizi ni hisia za mtu.mwamba siwezi kumpa jibu la kumfanya ajisikie vibaya.hata mimi naweza kuwa na hisia namtu nikimwambia hisia zangu akanijibu vibaya tena mbele ya kadamnasi hakika nitajisikia vibaya mno..pengine ikanipunguzia kujiamini tena.