Kwa lips na mguu wake mie hoii

Kwa lips na mguu wake mie hoii

Kwani mi mwenyewe ile kunywa Safari lager na kujikuta kwenye chumba Cha beki tatu unafikiri ni lager pekee tu! Na mizimu pia huniongoza..🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kenzy blaza wewe ni comedian hakyamama tena
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kenzy blaza wewe ni comedian hakyamama tena
Wala mi sio komedian ni maisha tu! Tena hiyo mizumu huwa hadi inaniambiaga "Leo huendi kwa fatu!!!".. inawajua vimada vyangu Hadi majina! Kuna siku nilikosea njia ya kimada changu acha ianze kulalamika ati naichelewesha kuinjoi sijui iligusa sehemu gani ya ubongo nilirudi njia husika fasta! Haya mambo we sikia tu..🤣
 
Jina mmemtajia nyie yeye hayaweka bayana.

Kwezi wa kutupia mafotoz wa mlozi Mshana kuna chicks kibao wanatupia maviungo tajwa.

Pia kuna members kibao wanatupia mafoto kama yooote ya lips, nywele, vidole vya mkononi, raba, miguu nk
Hilo nalo neno kweli tena.viherehere vyetu tu🤣🤣
 
Brother hizi ni hisia za mtu.mwamba siwezi kumpa jibu la kumfanya ajisikie vibaya.hata mimi naweza kuwa na hisia namtu nikimwambia hisia zangu akanijibu vibaya tena mbele ya kadamnasi hakika nitajisikia vibaya mno..pengine ikanipunguzia kujiamini tena.

So siwezi kumfanya mwamba akakosa kujiamini kwa sababu ya jibu baya pengin wengi watategemea mimi kumpa.

Kuna uzi fulani Ali jaribu kunigusia hisia zake nikamjibu vibaya,kiukweli kabisa nilijisikia vibaya ilinibidi kuzifuta zile comments.

Maisha ndo haya haya kaka huwezi jua mwamba itamuongezea kitu gani mimi kumshukuru kwa kunipenda.

THE REPORT nashukuru kwa kunipenda🥂🥂🥂🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️

Kwa tunaouelewa mchezo hapa ni kwamba mchezo umeisha. Ndugu yangu muanzisha mada we angalia tu ustaarabu mwingine hapa huna chako. Pole sana mkuu.
 
Sisiemu iendelee kutawala tu jamani hata miaka zaidi ya ngapi huko, kama wapinzani wenyewe ndio hawa.
 
Asante na nashukuru kwa kunipenda mkuu..ubarikiwe sana. Unaweza kuta huo mguu na lips si vyangu baba.

Mwisho wa yote shukrani

[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]. I am short of words to express how happy I am. Thank you so much Beautiful Chakorii, My Crush [emoji76]
 
Wachezesha I'd
Uzuri tunaona interval za conversation ninazotokana na login na logout ya I'd
 
Back
Top Bottom