ragin
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,391
- 9,388
Naona unaanza visanga sasaSwala la mahali Kaka nipo ntasimamia vilivyo...😎
Kwaherini...Naona unaanza visanga sasa
🤣🤣salimia mizimu ya nyumbaniKwaherini...
HakikaKusoma english medium raha sana.
@chakorRoger that
Chako niache mizimu itakuja yenyewe kukusalimu ndugu yao!🤣🤣salimia mizimu ya nyumbani
Leo najitundika mitungi ya vilevi.mizimu ikija inanikuta niko bwaksi😅😅😅Chako niache mizimu itakuja yenyewe kukusalimu ndugu yao!
Kwanini mkuuMwaka wa roho mbaya huu
Ulikuwa unalilia kuanzishiwa uzi haya sasa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Asante na nashukuru kwa kunipenda mkuu..ubarikiwe sana. Unaweza kuta huo mguu na lips si vyangu baba.
Mwisho wa yote shukrani
Una busara sana. Ninajivunia kuwa na binti kama wewe [emoji1545][emoji1545]Brother hizi ni hisia za mtu.mwamba siwezi kumpa jibu la kumfanya ajisikie vibaya.hata mimi naweza kuwa na hisia namtu nikimwambia hisia zangu akanijibu vibaya tena mbele ya kadamnasi hakika nitajisikia vibaya mno..pengine ikanipunguzia kujiamini tena.
So siwezi kumfanya mwamba akakosa kujiamini kwa sababu ya jibu baya pengin wengi watategemea mimi kumpa.
Kuna uzi fulani Ali jaribu kunigusia hisia zake nikamjibu vibaya,kiukweli kabisa nilijisikia vibaya ilinibidi kuzifuta zile comments.
Maisha ndo haya haya kaka huwezi jua mwamba itamuongezea kitu gani mimi kumshukuru kwa kunipenda.
THE REPORT nashukuru kwa kunipenda[emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344]
Ndio inapenda hayo mambo Sasa!Leo najitundika mitungi ya vilevi.mizimu ikija inanikuta niko bwaksi😅😅😅
Daddy nilikuwa nataka unianzishie wewe nikiwa adimuUlikuwa unalilia kuanzishiwa uzi haya sasa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
😊😊Asante Daddy SYB.Una busara sana. Ninajivunia kuwa na binti kama wewe [emoji1545][emoji1545]
Weee usiniambie blazaNdio inapenda hayo mambo Sasa!
Haha.Ulikuwa unalilia kuanzishiwa uzi haya sasa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]