Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

Lowasa Raisi 2015, mimi kwa upeo wangu sioni kabisa mtu anayefaa kulipeleka hili gurudumu tena kwa speed 180 per hour.Tulitembea 50 per hour kwa muda mrefu sana sasa muda umefika tupate mtu atakaye tupeleka peleka kwa style ya mzee Mrema enzi zile au marehemu Edward Sokoine nchi ilinyooka basi na kwamba sio raisi sembuse Lowasa aje awe mkuu wa nchi akae pale magogoni??? wanaosema ni mgonjwa ni wanga maana hata mh.anayemaliza muda si muda si mrefu alikua kitandani kwa wek kadhaaa hata aliyepita mnakumbuka kakaa hospital kwa muda shida mguu, ugonjwa ni ugonjwa tu

kwa sifa zipi mkuu? Maamuzi magumu ya kujiuzulu au una lingine? We need those qualities of Lowassa
 
Ndivyo Mlivyo wote, hakuna mwenye unafuu. Afadhali hata huyo Fisadi Papa, ambaye tayari ameishafisadi vya kutosha sasa hatakuwa na muda wa kufisadi kuliko nyie ambao ni Vifisadi Dagaa.
 
Ndivyo Mlivyo wote, hakuna mwenye unafuu. Afadhali hata huyo Fisadi Papa, ambaye tayari ameishafisadi vya kutosha sasa hatakuwa na muda wa kufisadi kuliko nyie ambao ni Vifisadi Dagaa.

Kwa taarifa yako mpaka sasa kashatumia Bln 13 hapo campain hazijaanza cjui atatumia ngapi zikianza cha kukusaidia tumia akili kuwaza sio masikio
 
Hii ni campain mpya kabisa inayo lenga kuwa komboa ndugu na jaama zetu wote nchin ya kukataa ufisad kuongoza nchi(LOWASA) tunatambua kuwa ccm ni kundi la miba au mbigiri ila lowasa ni mwiba mkali zaid ametumia zaidi ya BILLION 13 sasa katika kuutafuta urahisi kwa pesa yake yeye mwenyewe kawanunua vijana wachumia tumbo wanao fikiria matumbo yao na kuwa sahau mama wajawazito wanaokufa kwa kukosa huduma, wanawasahau vijana wenzie walikosa ajira miaka mitano sasa wanawasahau wanafunzi wanaokaa chini mashuleni kwa sababu ya pesa bhaaaas apite yeyote mwenye pesa na kujikomba wajepewa u DC vijana hawa sio wa wazalendo ni wadhalimu wakubwa wasitumie kundi lao hilo la matapeli wa uma kuwakilisha vijana HIVYO BASI TUTAANZA CAMPAIGN rasmi kaulimbiu SAY NO TO LOWASA KAMAVIJANA HALISIA WAZALENDO KUZUNGUKA NCHI NZIMA VIJANA WAWEZE JUA ATHAR YA FISADI ATAKAPOSHIKA DOLA CAMPAIN HIZI ZITAANZIA MOROGORO KWENDA MIKOA MINGINE KAMA UNAUNGA UMKONO HILI COMMENT "SAY NO TO LOWASA"

Mbona woga umekuzidi? Tuseme NO kwa Lowassa campaign halafu tuseme YES kwa campaign ipi? Badala ya kuzunguka na campaign ya NO kwa Lowassa zungukeni na campaign ya YES kwa mtu wenu. Kwa woga wenu huu Lowassa ni Rais kabla mwaka huu haujaisha
 
Hii ni campain mpya kabisa inayo lenga kuwa komboa ndugu na jaama zetu wote nchin ya kukataa ufisad kuongoza nchi(LOWASA) tunatambua kuwa ccm ni kundi la miba au mbigiri ila lowasa ni mwiba mkali zaid ametumia zaidi ya BILLION 13 sasa katika kuutafuta urahisi kwa pesa yake yeye mwenyewe kawanunua vijana wachumia tumbo wanao fikiria matumbo yao na kuwa sahau mama wajawazito wanaokufa kwa kukosa huduma, wanawasahau vijana wenzie walikosa ajira miaka mitano sasa wanawasahau wanafunzi wanaokaa chini mashuleni kwa sababu ya pesa bhaaaas apite yeyote mwenye pesa na kujikomba wajepewa u DC vijana hawa sio wa wazalendo ni wadhalimu wakubwa wasitumie kundi lao hilo la matapeli wa uma kuwakilisha vijana HIVYO BASI TUTAANZA CAMPAIGN rasmi kaulimbiu SAY NO TO LOWASA KAMAVIJANA HALISIA WAZALENDO KUZUNGUKA NCHI NZIMA VIJANA WAWEZE JUA ATHAR YA FISADI ATAKAPOSHIKA DOLA CAMPAIN HIZI ZITAANZIA MOROGORO KWENDA MIKOA MINGINE KAMA UNAUNGA UMKONO HILI COMMENT "SAY NO TO LOWASA"

USHAURI KWA WAPINGA LOWASA:
1. Tumieni watu wenye akili timamu ili hata pumba wanazoandika zisomeke angalia hapo kwenye blue juu
2.Nchi ni lazima iwe na rais kuanzia November na rais huyo sio JK, Lazima tuchague mtu kutuongoza. na
katika ccm hakuna zaidi ya Lowasa labda muamue kuangusha chama,
 
Kwa taarifa yako mpaka sasa kashatumia Bln 13 hapo campain hazijaanza cjui atatumia ngapi zikianza cha kukusaidia tumia akili kuwaza sio masikio

Afadhali mimi ninayetumia masikio kuliko wewe unayetumia fitina kuwaza, sasa kama unampinga Lowasa mbona huniambii nani anafaa zaidi yake, yaani Plan B !!! Mimi nimekwambia wote ndivyo mlivyo kuna Madisadi Papa Vifisadi Dagaa, ndivyo ninavyoamini, kwa hiyo ni kazi kwako, ni imani yangu kuwa Vifisadi Dagaa vikikua vitakuwa Mapapa. Aidha, wabeba mikoba kama wewe mnatumiwa na Vifisadi Papa bila kujitambua.
 
Kwa lipi la maana alilolifanya Lowassa hadi apewe nchi?

Kuna sababu nyingi za kusema Lowassa hafai kuwa rais wa nchi hii licha ya kuwa mgonjwa wa macho na mgongo pia ni mmoja wa watu 11 waliotajwa kuwa ni mafisadi.

Amefanya nini la maana hadi tumpe nchi? Unamkumbuka kwa lipi zaidi ya kujiuzulu?

Pesa zake sio tiketi kuwepo ulazima wa kuingia ikulu. Kama anatafuta umaarufu,umaarufu sio kwa mazuri tu hata ufisadi na kujiuzulu napo aljulikana ndani na nje ya nchi.

Sababu zipi za kunishawishi kumpigia kura Lowassa awe Rais wa awamu ya tano?

Kwani JK alikuwa kafanya la maana lipi hadi akapewa nchi.
 
Mwenyekiti wa CCM kisha sema wote waliojitokeza hakuna hata mmoja atakuwa Raisi ila yule ambaye hajajitokeza ndio atakuwa,mbona hamuelewi?
 
Yupi bora, anyeiba, anafilisi nchi na hafanyi kazi na yule mchapa kazi ila anasingiziwa kuiba.
LOWASSA ni zaidi na katika wote hao wanaojinasibu kuingia magogoni hakuna anayemuweza kwa kuchapa kazi na kuwajali waliowengi.
Jiandaeni tu kumpigia kura acheni majungu yenu.
 
wengi akina nani mkuu? Sasa ulitaka afanye nini wakati ni wajibu wake? Hata wengine ni wachapa kazi ila sio huyu mwizi pia ni sehemu ya wajibu wao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom