Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,595
Kumbu kumbu za ki... pu.. vu, kaziweke na ma.....ma yako
Punguza mahaba mkuu sasa unatukana nini hapo?
We jenga hoja tu wala usiropoke.
Kumbu kumbu za ki... pu.. vu, kaziweke na ma.....ma yako
kumbu kumbu za ki... Pu.. Vu, kaziweke na ma.....ma yako
Wanajamvi huu ni ukweli toka ndani ya cc ya ccm ni kwamba lowasa hatopitishwa kugombea urais kwakua anakashfa nyingi lakini pia afya yake sio imara kupambana na ukawa ndani ya siku 90 za kampeni kupita kijiji kwa kitongoji hapa tz,naomba kumbu kumbu hizi tuziweke humu
yaani Lowassa anawatia kichefuchefu kama mna mimba ..mtajuta kumfahamu mxxxxxxxx...hivi hamuoni ujinga mnamsema weee miaka 8 sasa yeye kaka kimya tu anawaangalia ....
Wanajamvi huu ni ukweli toka ndani ya cc ya ccm ni kwamba lowasa hatopitishwa kugombea urais kwakua anakashfa nyingi lakini pia afya yake sio imara kupambana na ukawa ndani ya siku 90 za kampeni kupita kijiji kwa kitongoji hapa tz,naomba kumbu kumbu hizi tuziweke humu
NyambafKwa lipi la maana alilolifanya Lowassa hadi apewe nchi?
Kuna sababu nyingi za kusema Lowassa hafai kuwa rais wa nchi hii licha ya kuwa mgonjwa wa macho na mgongo pia ni mmoja wa watu 11 waliotajwa kuwa ni mafisadi.
Amefanya nini la maana hadi tumpe nchi? Unamkumbuka kwa lipi zaidi ya kujiuzulu?
Pesa zake sio tiketi kuwepo ulazima wa kuingia ikulu. Kama anatafuta umaarufu,umaarufu sio kwa mazuri tu hata ufisadi na kujiuzulu napo aljulikana ndani na nje ya nchi.
Sababu zipi za kunishawishi kumpigia kura Lowassa awe Rais wa awamu ya tano?
Nyambaf
Sijawahi kusikia popote kwamba Lowassa anautaka URAIS wa inji hii, sasa kama mtu hajatangaza nia lakini Lumumba nzima inaweweseka, je siku akiita wandishi wa habari na kutamka hadharani kwamba anautaka itakuwaje??
Mlishaonywa tangu mwanzo kwamba kujaribu kulikata jina la huyu mkongwe wa chama ni sawa na kuanza kufukia udongo wa kaburi la chama chenu ili ki-RIP.
Sorry wakati mwingine unashindwa uargue nini wakati watz wanatoa machozi ya mamba baharini kuhusu issue ya Rushwa hapohapo wanashoboka na manyangumi Yale yale ya rushwa. Naamini kwa IQ zetu watanzania zinavyoshindwa kutukomboa hata Mh Chenge aka change ya rada akijitokeza na change yake atazoa nyingi tu. Hao ndo watz viumbe adimu kwenye universeArgue plz!