kwa maamuzi ya kujiuzulu sawa,pia kwa maamuzi ya kuingia mkataba na kampuni hewa nayo pia ni maamuzi magumu.
Ufisadi,visasi,roho mbaya,makundi nadani ya chama chake,ubaguzi,rushwa na mengine mengi ntakutajia baadaye ngoja niangalie tarifa ya habari kwanza.
JP Magufuli ndo "Mr. Fix it all" wa Tanzania...Mkitaka nchi inyooke mpeni huyo!
Mbona hata diamond alishangiliwa sana kuliko lowassa? Kwanini ccm isimsimamishe diamond Kama ticket ya kugombea urais ni kushangiliwa?kwa takwimu za mikoa wilaya ukichanganya na wajumbe wengi wa NEC ukijumlisha na wabunge 150 waCCM walioapa kwenda kumchukulia fomu
Komba- "lowasa ni jembe"
Zungu-"lowasa ni mchapakazi"
lugola-"lowasa ni kiongozi"
Songea ulishangiliwA sana ni ishara kwambaunakubali by Kapten John Komba