MJENGA
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 883
- 853
Mbona hata diamond alishangiliwa sana kuliko lowassa? Kwanini ccm isimsimamishe diamond Kama ticket ya kugombea urais ni kushangiliwa?
Ndiyo Parameter, wape dose washabiki Wa hivyo kama hao ambao hats kama MTU ananuka nyesi wanamsifia ananukia