Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

Lowassa alitakiwa achukue hii nchi kitambo sana.....BORA anayeiba halafu anazuia wengine wasiibe kuliko anayeruhusu hata vilaza kuendelea kutuibia. I will be the campain manager wa eneo ninalotoka hata kama ctalipwa.
 
Kumbe ww mdogo sana kwa siasa za hapa Tz....

Hakuna anae ogopwa na CCM NZIMA NA WAPINZANI KAMA Lowassa....

JK...hakuna anae mhofia kama Lowassa...na anamhofia kweli kweli, kwani kamweka kampa support hadi kawa Rais...kila mtu anajua hilo...

Na hakuna MTU ANAYE WEZA KUTOA AMRI KAMA Lowassa ndani na nje ya CCM...

Na KAMA HUAMINI....subiria achukue IKULU 2015...uone akaina Nape, Sitta, Membe, sijui mali za Ridhione etc kama utawasikia tena....na wezi wote wa hela za SERIKALI WATAKIONA....!!! Na hajawahi kuufyata hata siku moja...ww kweli kichanga cha siasa...!!

HUONI HATA AIBU UNATOA POVU KWENYE DOMO KWA AJILI YA KIBAKA LOWASSA..yaani unajisemea kama upo kilabu cha MATAPUTAPU kwamba mwizi LOWASA akichukua nchi atawashughulikia vibaka wenzake nadhani ukiwemo na wewe. je unaongea haya upo MSALANI au kilabuni?
 
mti wenye matunda.............kama mnafikiri lowasa hafai kwa nni basi mnamjadili kwenye uraisi......ndo mana kwenye mpira watu wanasema aaaa mesi bora zaidi ronaldo hana lolote au virce versa ....lakini picha una yopata hapo anaetajwa pia ni bora au mbadala wa mwenzake maaana huwezi kusikia mesi ni bora KULIKO NGASA............HAWAFANANI...HAWALINGANISHI BT HUYU el huyu mi naona kuna kitu maana hatuchoki kumjadili lazima atakuwa anafaa maana nimejaribu kufanya kautafiti kasicho rasmi kwa watu 10 kila mtu ani tajie watu wa5 kutioka vyama vyote anayefaa kuwa rais kila mtu list yake haikosi lowasa regardles number yake ni ya ngapi...tuangalie kwa umakini jamani tusijetupa almasi chooni kama anafaaaa tumpe nakumshawishi agombee ila kama hafai tusimpe bt kila mtu ajipime honestly anipe wsagombea wake wa tano tukiacha unafk EL ATATOKEA kwa wengi
 
Lowassa alitakiwa achukue hii nchi kitambo sana.....BORA anayeiba halafu anazuia wengine wasiibe kuliko anayeruhusu hata vilaza kuendelea kutuibia. I will be the campain manager wa eneo ninalotoka hata kama ctalipwa.

nimejikuta nacheka tu ! Eti Bora mwizi anayezuia wengine kuiba , inakatisha tamaa sana .
 
Fedha inadhalilisha utu wa watu.Huyu jamaa ENL,hafai kabisa kupewa nchi hii.Hivi watanzania tumelogwa na nani?
 
Alimbaka MAMA YAKO..!!? No one, u or whoever else can STOP THE KING LOWASSA TO WHITE HOUSE...

ww ni kima tu, you have no effect, IF U DON'T BELIEVE MY WORDS....subiria 2015...utajuta..!!!

No one atamzuia, wala si ww kapurwa, mtoto wa mtaani, ur poverty of mind and material things, unaona donge kwa mali za wenzako..utabakia maskini wa kila kitu...na utakufa maskini...!!! U will live and pass like u never existed...!!! Poorest u...!!!

HUONI HATA AIBU UNATOA POVU KWENYE DOMO KWA AJILI YA KIBAKA LOWASSA..yaani unajisemea kama upo kilabu cha MATAPUTAPU kwamba mwizi LOWASA akichukua nchi atawashughulikia vibaka wenzake nadhani ukiwemo na wewe. je unaongea haya upo MSALANI au kilabuni?
 
Alimbaka MAMA YAKO..!!? No one, u or whoever else can STOP THE KING LOWASSA TO WHITE HOUSE...

ww ni kima tu, you have no effect, IF U DON'T BELIEVE MY WORDS....subiria 2015...utajuta..!!!

No one atamzuia, wala si ww kapurwa, mtoto wa mtaani, ur poverty of mind and material things, unaona donge kwa mali za wenzako..utabakia maskini wa kila kitu...na utakufa maskini...!!! U will live and pass like u never existed...!!! Poorest u...!!!

jibu swali uko MSALANI au KILABUNI?
CHOONI.jpg AU Mbinga1.jpg
 
Samahani, nikumbushe ndugu: hivi ni kwa lipi hasa Mh. Jakaya Mrisho Kikwete alipewa nchi mwaka 2005???!!!! Kwangu mimi, yeyote anayejidai eti haoni utendaji wa Mh. Lowassa huyo ni mnafiki tu. Hivi, ni lini paliwahi kuthibitishwa ufisadi wa Mh. Lowassa???!!! Baadhi yetu tusioendeshwa na tabia za wanasiasa kuchafuana, na tunaotafakari kwa kina juu ya matukio ya kisiasa, tulitambua toka siku nyingi sana kuwa zigo la RICHMOND siyo la Mh. Lowassa; Mh. Lowassa alionewa tu, na yupo hasa mkubwa mwingine aliyenufaika na suala zima la RICHMOND lakini siyo Mh. Lowassa hata kidogo: yeyote anayetafakari kwa kina, atakubaliana nami. NACHUKIA UFISADI- SANA TU, LAKINI RICHMOND SIYO ZIGO LA MH. LOWASSA, ASICHAFULIWE KWALO. NA, MUNGU ATAENDELEWA KUMWINUA JUU SANA MH. LOWASSA DHIDI YA MAADUI WAKE.

So long as he is quit trying to hide what happened, he is grossly involved in the scandal! Mtu anayemfichia siri mwizi na yeye ni mwizi tu! He can't get out of this scandal easily my friend! Let him come out and tell us who was at the centre of the richmond scandal if was not him! He must come clean by telling the nation what happened if he is really a clean guy!
 
Kwanza hakuna binadamu aliye kamilika,au binadamu hai ni ngumu kuwa mtakatifu.Na watakatifu hawapo kwenye siasa.Kwa maana hiyo kigezo ni alama ngapi za mtu kugombea uongozi.Swali muhimu umejipanga vipi na utafanya nini.Tuache ushabiki Lowasa ni chuma cha pua,anae kataa ana matatizo.kwani vipimo vya uongozi ni kipaji kwanza.
 
Kwa lipi la maana alilolifanya Lowassa hadi apewe nchi?

Kuna sababu nyingi za kusema Lowassa hafai kuwa rais wa nchi hii licha ya kuwa mgonjwa wa macho na mgongo pia ni mmoja wa watu 11 waliotajwa kuwa ni mafisadi.

Amefanya nini la maana hadi tumpe nchi? Unamkumbuka kwa lipi zaidi ya kujiuzulu?

Pesa zake sio tiketi kuwepo ulazima wa kuingia ikulu. Kama anatafuta umaarufu,umaarufu sio kwa mazuri tu hata ufisadi na kujiuzulu napo aljulikana ndani na nje ya nchi.

Sababu zipi za kunishawishi kumpigia kura Lowassa awe Rais wa awamu ya tano?

ikulu sio hod hodi ya maisela ya kulaza wagonjwa. apumzike kwa amani. 2015 twamuhitaji rais mwanamke aidha atoke ukawa au ccm na awe msomi kama profesa ivi na mtaalam wa uchumi tanzania
 
Tukitaka tulikomboe hili taifa mfu ni kuchagua viongozi wasiokuwa na kashfa yoyote ya ubadhilifu wa hii nchi.Swala la watendaji safi wapo wengi sana.Tujifunze kuziangalia CV za viongozi tunaowataka na kuzielewa.Hatua ya mabadiliko ya hii nchi itaanza kufanywa kwa watz kuamua nchi ichukiliwe na wapinzani.Hata aingie malaika mjengoni hawezi kuikomboa hii nchi kama tu atakuwa anatumikia chama chenye laana ya ufisadi,dhuluma,mauaji na ubinafsi kama ccm
 
Kwa sababu ana ela nyingi za ufisadi, afya tata (by membe) na huwa anazigawa kanisan na mckitin

Ulizitaka azigawe mitaani. Anaongezewa Kwa sababu anajua siri ya kutoa. Kotekote msikitini au kanisani wanamuabudu Mungu aliye hai.
 
Kwa lipi la maana alilolifanya Lowassa hadi apewe nchi?

Kuna sababu nyingi za kusema Lowassa hafai kuwa rais wa nchi hii licha ya kuwa mgonjwa wa macho na mgongo pia ni mmoja wa watu 11 waliotajwa kuwa ni mafisadi.

Amefanya nini la maana hadi tumpe nchi? Unamkumbuka kwa lipi zaidi ya kujiuzulu?

Pesa zake sio tiketi kuwepo ulazima wa kuingia ikulu. Kama anatafuta umaarufu,umaarufu sio kwa mazuri tu hata ufisadi na kujiuzulu napo aljulikana ndani na nje ya nchi.

Sababu zipi za kunishawishi kumpigia kura Lowassa awe Rais wa awamu ya tano?

Tumechoka kujibu maswali yanayoulizwa na hawa MAZUZU
 
Ulibukeni wa watanzania na ccm wanatumia smart propaganda kutudanganya, EL amekusanya hela nyingi na sasa ndo mda mwafanya wa kuzitumia
 
Wewe ndie unae mdharau , tatizo lenu hamuelew kitu kimoja , hii mitandao inawadanganya sana , mnajiona mpo wengi kumbe mnaenea kiganjan tu

unakumbuka hii
Scotland walipiga kelele sana za kujitenga toka UK

Quebec nao Canada

Dunia ikaamini kweli watu wanajitenga ila mwisho wa siku tukarudi kule kule

"The silence majority won against the vocal minority"

Huku mtaan ni silence majority , endeleen kupiga kelele

lowasa ndio habar ya mjin

Tunajiona tuko wengi no kweli, kwani wingi unaanzia ngapi?
Tumekifunza kwa wazambia, huwezi kumchagua Rais mtu mgonjwa.
 
Jaman watanzania kusoma tusijue hata picha hatuon kuwa loasa ni mwiz? Kunahaja ya malaika kuja kuwa ambia hafai ni fisadi?tuache mzaha wakias hicho.
 
Back
Top Bottom