Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,535
- 20,708
Ok,kwa maelezo yako mhusika namba moja wa Richmond ni wa jina lako?
Umepatia, ila sasa yuko USA..!!! Richmond and half IPTL...!!!
Ok,kwa maelezo yako mhusika namba moja wa Richmond ni wa jina lako?
Ok,kwa maelezo yako mhusika namba moja wa Richmond ni wa jina lako?
Itakuwa ni jambo la kipambavu kumpa mtu urais ambaye anaona kabisa kaonewa, na licha ya kuonewa aliona na alijua kuna mikataba ya kifisadi inakuja na akasaini kisa tu kaambiwa na prof kikwete. Je inamaana Mzee Mamvi kwake rais mmoja ni wa maana sana kuliko watanzania milioni 40? Kama alkubal kuingizwa mkenge na prof basi na aendelee kufa kizungu na tai make huo ni ujinga wake asitafute huruma kwetu eti kasingiziwa inamaana yeye ni mtoto mdogo?
Kumjua mwenye richmond sio inshu, hoja mezani yeye kama pm alishndwa vp kukataa au kuzuia kusaini mikataba wa kifisadi wa richmond? Kama alishnkizwa na Profesa inamana kwake rais ni muhimu kuliko watz milioni 40? Jibuni hiyo hoja misukule wote wa bwana mamvi.
Nguvu ya pesa sasa imeanza kutumika siungi mkono kabisa bwana Lowassa kuwa rais watz tuamkee
Aliyekamatwa a ngozi ndiye mwizi,kama lilikuwa sio kosa lake,je kwa nini alikubali kujiuzulu? Yeye amekuwa Yesu kwamba anakufa kwa ajili ya wengine? Kivyovyote vile,kama alikubali kujiuzulu kumlinda mwizi basi hukumu ya kuitwa fisadi anastahili. By the way,wewe umesema yeye aliwajibika tu,je mwenye mzigo huyo ni nani? Mtaje
ni hivi , kushirikiana kuiba na boss hakukuondolei kesi , sasa awe aliiba mwenyewe au alipata maagizo kutoka juu huyo ni mwizi tu .
ni hivi , kushirikiana kuiba na boss hakukuondolei kesi , sasa awe aliiba mwenyewe au alipata maagizo kutoka juu huyo ni mwizi tu .
Kwa lipi la maana alilolifanya Lowassa hadi apewe nchi?
Kuna sababu nyingi za kusema Lowassa hafai kuwa rais wa nchi hii licha ya kuwa mgonjwa wa macho na mgongo pia ni mmoja wa watu 11 waliotajwa kuwa ni mafisadi.
Amefanya nini la maana hadi tumpe nchi? Unamkumbuka kwa lipi zaidi ya kujiuzulu?
Pesa zake sio tiketi kuwepo ulazima wa kuingia ikulu. Kama anatafuta umaarufu,umaarufu sio kwa mazuri tu hata ufisadi na kujiuzulu napo aljulikana ndani na nje ya nchi.
Sababu zipi za kunishawishi kumpigia kura Lowassa awe rais wa awamu ya tano?
Misemo kama, "Aliyekamatwa na ngozi ndiye mwizi" haitumiki kirahisi rahisi tu kama baadhi wafikiriavyo; bali, hekima inapaswa kuongoza kabla hujafikia hitimisho kwa kutumia misemo ya namna hiyo. Na, yeyote anayetaka kutumia misemo ya namna hiyo kama ilivyo, anadhihirisha uchanga wa akili na/au hekima yake. Unasema kwamba kwanini alikubali kujiuzuru kama hakuhusika; kwa argument yako hii, wewe ulitaka akomae mpaka mwisho: sikiliza ndugu, mimi sijui umri wako, lakini pia sijui exposure uliyonayo ila ukweli ni kuwa kuna mambo yanatekelezeka katika Ideal Sit
Amefanya mengi ambayo yamefukiwa na kashfa ya kuzushiwa ya Richmond.....na bdo watanzania wameonesha kumkubali
Daah, aisiiii: yaani nilikuwa tayari nime-log out, lakini post yako hii imenirudisha kwa speed kubwa sana. Asante sana ndugu, hongera sana ndugu kwa kuitumia akili yako vyema kupima mambo kwa kina. Sasa ngoja ni-log out kwa amani. Bado matukio ni mengi sana ambayo yeyote anayetafakari kwa kina atajua tu kuwa RICHMOND ni ya nani. Nachukia ufisadi sana tu, lakini mimi sijawahi kujithibitishia wala kuthibitishiwa ufisadi wa Mh. Lowassa; so, kwangu utendaji wa kazi wa Mh. Lowassa ni wa maana sana kwa Tanzania ya sasa ambayo taasisi za umma zinaendeshwa kivivu sana na watu ambao hawana hata chembe ya kujituma.Alishajibu muda sana...!!! Kupitia NEC YA CCM...kila mtu anajua RICHMOND ni ya nani....!!!
Kama hujui waulize wenzako au muulize Riz1 akupe jibu...!!
Waulize watanzania mamilioni wanaomtaka. Inaonekana wewe mgeni nchi hii.
Bw.Lowasa hapewi Nchi bali anachukua Nchi!