Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

Lazima awe gumzo maana yeye ndo hofu ya wote wanautaman urais mwakani, hata mleta mada ametumwa tu apme kina cha maji, ushauri wangu kwa mleta mada pls tumia mti usipme kina cha maji kwa mguu wako wowote uwe wa kulia au wakushoto utasombwa mzmamzma, cheza na EL wew!

Hata shetani huwa gumzo makanisani,jaribu kutofautisha nyeusi na nyeupe,usijitie upofu kujifanya uanze kuona rangi zote zinafanana,kupima kina cha maji kwa mguu sio tatizo,bali kwenda na maji integemea kina na spidi ya maji hayo,kama kina ni kifupi na spidi yake ni kidogo mtu hawezi kwenda na maji,usikariri
 
Kwa lipi la maana alilolifanya Lowassa hadi apewe nchi?

Kuna sababu nyingi za kusema Lowassa hafai kuwa rais wa nchi hii licha ya kuwa mgonjwa wa macho na mgongo pia ni mmoja wa watu 11 waliotajwa kuwa ni mafisadi.

Amefanya nini la maana hadi tumpe nchi? Unamkumbuka kwa lipi zaidi ya kujiuzulu?

Pesa zake sio tiketi kuwepo ulazima wa kuingia ikulu. Kama anatafuta umaarufu,umaarufu sio kwa mazuri tu hata ufisadi na kujiuzulu napo aljulikana ndani na nje ya nchi.

Sababu zipi za kunishawishi kumpigia kura Lowassa awe rais wa awamu ya tano?

kura yako moja tu haiwezizuia EL kuingia ikulu.nakushauri katoe matangazo kwenye vyombo vya habari ili uungwe mkono na walio wengi.

ufisadi kitu cha kawaida sana nchi hii na dunia nzima, cha kufanya unapoona hayo yanatokea nchini kwako ni kuchukua hatua za kisheria iwapo una ushahidi sio porojo kama uletazo wewe.

MUNGU AMJAALIE UHAI, 2015 EL IS THE FIFTH PRESIDAA WHETHER U LIKE IT OR NOT. MANY TANZANIANS KNOW THIS MAN AS THE MAN OF ACTIONS RATHER THAN TOO MANY WORDS WITH NO ACTIONS. VOTE FOR EL.
 
acha kupalilia ufisadi wewe! Dr. Slaa aliposema ana orodha ya mafisadi alikumbana na maneno meeengi ooh tunakupeleka mahakamani,ilifikia wapi?
 
kura yako moja tu haiwezizuia EL kuingia ikulu.nakushauri katoe matangazo kwenye vyombo vya habari ili uungwe mkono na walio wengi.

ufisadi kitu cha kawaida sana nchi hii na dunia nzima, cha kufanya unapoona hayo yanatokea nchini kwako ni kuchukua hatua za kisheria iwapo una ushahidi sio porojo kama uletazo wewe.

MUNGU AMJAALIE UHAI, 2015 EL IS THE FIFTH PRESIDAA WHETHER U LIKE IT OR NOT. MANY TANZANIANS KNOW THIS MAN AS THE MAN OF ACTIONS RATHER THAN TOO MANY WORDS WITH NO ACTIONS. VOTE FOR EL.
Ndugu lowasa ni fisadi aliyethibitishwa na bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania , hii ni kwa mujibu wa hansard .
 
---- sema nani awe raisi wako achana na lowassa kwanza

hapo umeua kabisa,no more no less.

Kwa hizi tume za makundi unafikiri ni nani ambaye akiundiwa tume ataonekana ni msafi.

Siasa haina utakatifu ndio maana kiongozi wakati mwingine anaweza kutoa amri ya kuua sembuse kula dili ya hela !!!!

Rejea kwa Mkapa ,alitajwa kama Mr Clean wakati wa kuingia lakini alijilimbikizia mali nyingi na kuonekana mtu katili; Cha ajabu alikua ni kiongozi mchapa kazi aliyeimarisha uchumi na kuleta heshma ya nchi hii kitaifa na kimataifa.

Hakuna kiongozi mwenye sifa zote nzuri lakini yupo kiongozi mchapa kazi.

Kama unabisha mtafute mtu unayeona ni mwadilifu kwa viwango vyako halafu uangalie na madhaifu yake kwa upande wa pili. Mchunguze kama ni mpenda wanawake kwa kiwango gani!! Je,anatembea na wake za watu au wasichana wadogo kwa siri ?(Hapo simzungumzii DR.Slaa mana yupo wazi). Kama anafanya haya mambo wakati ana mke na watoto ujui hawezi kudhibiti nafsi yake dhidi ya rasilimali za nchi zisizo na mwenyewe maalum.
Ukimwona mtu hawezi kudhibiti nafsi yake ujue kamwe hawezi kuwa mwaminifu.
Tunachotaka ni uchapa kazi , ubunifu na kuona fursa zilizopo. Kwa mfano mpaka sasa kuna watu wanotaka urais na ubunge lakini hawaoni ajira kubwa iliyotokana na biashara ya usafiri wa bodaboda. Mtu kila kukicha yeye anaona hasara tu ya boda boda lakini haoni faida yake.
Nitatoa mfano wa Samweli Sita sijawahi kumsikia akizungumzia suala lolote la fursa za kiuchumi ,yani hata ufugaji wa kuku hajawahi kuhamasisha watanzania kufuga. Lakini ni mahiri wa kujiita mpambanaji wa ufisadi na mwadilifu.Sijui inasaidia nini!!!!
Watu wasikariri tu nyimbo za uadilifu na ufisadi. Hizo ni mbinu tu za kiushindani kama zile za Nyerere aliyesema kwamba Iddi Amini anakula nyama za watu.Zilikua ni mbinu tu za kuwapandisha watu hasira dhidi yake lakini watu wengine waliamini hivyo.
 
absolute fantastic....bravo
 
EDWARD LOWASSA THE HOPE WE DESERVE...

Ikiwa imesalia miezi michache kuanza kwa mchakato wa kuchukua form Za Kugombea URAIS kwa chama cha Mapinduzi (CCM),yapo Majina mengi yanayotajwa Nani atakaye mrithi Rais anayemaliza Muda wake Dr Jakaya Mrisho kikwete ,katika kukiwakilishaa chama katika MBIO Za URAIS hapo mwakani 2015, Mh Edward Ngoyai Lowassa ,

mmbunge wa monduli anaonekana na anatajwa sana na vyombo mbalimbali vya habari ndani na nje ya nchi pia wachambuzi na wataalam tofauti wa kisiasa pamoja na wananchi wa rika mbalimbali Kuwa ni kiongozi mwenye mvuto mkubwa ndani ya chama na pia nje ya chama (ana sifa ya kuuzika kwa wananchi),endapo Halmashauri kuu ya Chama itapitisha jina lake Kama mgombea wa nafasi ya URAIS mwaka 2015 kupitia CCM ..kutokana na sifa zake kiutendaji pamoja na uadilifu wake Kama kiongozi ambaye anatamani kuleta usawa miongoni mwa watanzania Wote ikiwa ni moja ya ajenda zake kuu .

Kwa mtazamo Edward Lowassa ana upeo wa Hali ya juu katika kufanya maamuzi katika utendaji na ni mtu makini mwenye uwezo wa kudhibiti mambo na kuhakikisha wananchi Wa Hali ya chini hawaumizwi na mfumo uliopo ,hupenda Kuilinda haki kwa watu Wote.

Ni kiongozi anayeumizwa na umaskini wa watanzania ,nnaweza kusema anauchukia umaskini : ni adui mkubwa wa maendeleo ya nchi yetu, asilimia kubwa ya watanzania ni maskini Kama akiwa Rais anapendelea kuubadili mfumo uliopo na kuhakikisha wananchi wa tabaka la chini wanapata ELIMU bora yenye ufanisi ambayo itawakomboa kutoka katika umasikini ,ni Lazima tuufute ujinga unaoleta umaskini kwa kutoa elimu Bora kwa Wote yenye tija katika kuleta maendeleo ya Taifa letu.

Asilimia 80% ya watanzania ni wakulima ,Lazima waelimishwe Kwanza ndipo tuweze kufanya mapinduzi ya kilimo Kama mkulima hatapewa elimu Bora ni sawa na kazi Bure .

Edward lowassa ni mwenye matumaini zaidi ,na mwepesi kujaribu yote yameonekana na kujitokeza katika nafasi mbalimbali alizokwisha kuzitumikia na anazozitumikia ,Tanzania ni nchi yenye utajiri wa rasilimali ,kiongozi aina ya Lowassa anahitajika kuzisimamia kuleta ubunifu kwa manufaa ya watanzania Wote , watanzania waonyeshe bidii na kufikiri na kuufanyia kazi huu utajiri wetu.

Hakatishwi tamaa na mikono michafu na faulo anazochezewa juu yake ,ikumbukwe mwaka (2008) alijiuzulu kutoka na siasa chafu na kushindwa kuwajibika kwa watendaji waliopo chini yake, hata ripoti ndefu ya mwakyembye iliyokuwa na sintofahamu haikuwahi kumuhoji kuhusiana na usainishwaji wa mkataba ule katika wizara ya Nishati ,Aliyajali maslahi ya umma Wala hakuyumbishwa na yeyote Ila aliamini anawajibika kutokana na fitina zilizotengenezwa juu yake .

Edward Ngoyai Lowassa aliyezaliwa kijiji cha ngarashi ,hapendi upambe kwasababu wapambe ni wabaya anaamini Ndiyo huingiza nchi katika Rushwa ,ndiyo watakaoiyumbisha nchi kwasababu ni watu Wenye kujali maslahi binafsi ,wasiojali juu ya athari zinazoikumba jamii.
Mwingi wa uvumilivu na kiongozi asiye na chuki Wala kisasi Hapa tunampa sifa watoto wa mjini wanamwita mwanaume wa shoka..basi usalitibhaukuanza Leo upo tangu zama Za yesu ,waliompiga made wapo huru mitaani na lowassa pia anaishi Wala si mwenye kisasi juu yao ,huibeba sifa ya huvumilivu Kama kiongozi

Vilevile ana maadili sifa ya kupendwa na kuheshimiwa na Wote ni kiongozi hupendelea kujadiliana mezani ,Kama tulivyoona hapo mwanzo sio mgovi ni msikivu na mwerevu sifa hizi huonekana hata pale anapongea ni mtu wa adili njema ana sifa ya kuheshimu DINI Zote na mwenye kusaidia wengine Wenye Shida

"Kama tunataka kubadilisha maisha ya wananchi Lazima tuwapatie mazingira sahihi yatakayowapelekea kujenga Taifa imara lenye nguvu"
Edward Ngoyai Lowassa ni kiongozi anayefikiria zaidi kuijenga Tanzania imara yenye inayokuwa kwa kasi kiuchumi kivitendo na Wala si kinadharia (hizi)kwa kufufua viwanda viliyokuwepo pamoja na vipya vitakavyoanzishwa ili kuweza kupanua soko la AJIRA Hapa nchi yapo mambo mengi ya msingi ya kuzingatia ili kuweza kuleta ufanisi katika ukuaji wa uchumi.

Lowassa ni kiongozi mwenye majibu juu ya matatizo ya watu yanayowakabili ana maono mapya katika safari yake ya matumaini ,hutamani Kuwa mtetezi wa wanyonge na kufuta vilio vya maisha fini wanayoishi watanzania

Lipo Tumaini kwa Watanzania juu ya EDWARD NGOYAI LOWASSA a.k.a LEIGWANAN ni mcha mungu anayeamini hatima ya maisha yake Ipo mikononi mwa mungu ,kwani hekima ,busara ,pamoja na maarifa yake Edward lowassa yametokana na ucha mungu wake...
 
Kwa lipi la maana alilolifanya Lowassa hadi apewe nchi?

Kuna sababu nyingi za kusema Lowassa hafai kuwa rais wa nchi hii licha ya kuwa mgonjwa wa macho na mgongo pia ni mmoja wa watu 11 waliotajwa kuwa ni mafisadi.

Amefanya nini la maana hadi tumpe nchi? Unamkumbuka kwa lipi zaidi ya kujiuzulu?

Pesa zake sio tiketi kuwepo ulazima wa kuingia ikulu. Kama anatafuta umaarufu,umaarufu sio kwa mazuri tu hata ufisadi na kujiuzulu napo aljulikana ndani na nje ya nchi.

Sababu zipi za kunishawishi kumpigia kura Lowassa awe rais wa awamu ya tano?
Mungu akulinde sana mkuu
 
Samahani, nikumbushe ndugu: hivi ni kwa lipi hasa Mh. Jakaya Mrisho Kikwete alipewa nchi mwaka 2005???!!!! Kwangu mimi, yeyote anayejidai eti haoni utendaji wa Mh. Lowassa huyo ni mnafiki tu. Hivi, ni lini paliwahi kuthibitishwa ufisadi wa Mh. Lowassa???!!! Baadhi yetu tusioendeshwa na tabia za wanasiasa kuchafuana, na tunaotafakari kwa kina juu ya matukio ya kisiasa, tulitambua toka siku nyingi sana kuwa zigo la RICHMOND siyo la Mh. Lowassa; Mh. Lowassa alionewa tu, na yupo hasa mkubwa mwingine aliyenufaika na suala zima la RICHMOND lakini siyo Mh. Lowassa hata kidogo: yeyote anayetafakari kwa kina, atakubaliana nami. NACHUKIA UFISADI- SANA TU, LAKINI RICHMOND SIYO ZIGO LA MH. LOWASSA, ASICHAFULIWE KWALO. NA, MUNGU ATAENDELEWA KUMWINUA JUU SANA MH. LOWASSA DHIDI YA MAADUI WAKE.
 
Back
Top Bottom