Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

Mmeharibu sana kumruhusu mtu aliyedharauliwa nchi nzima dr bana kukaa meza kuu , mmefanya utafiti wenu udharauliwe vibaya sana !

Wewe ndie unae mdharau , tatizo lenu hamuelew kitu kimoja , hii mitandao inawadanganya sana , mnajiona mpo wengi kumbe mnaenea kiganjan tu

unakumbuka hii
Scotland walipiga kelele sana za kujitenga toka UK

Quebec nao Canada

Dunia ikaamini kweli watu wanajitenga ila mwisho wa siku tukarudi kule kule

"The silence majority won against the vocal minority"

Huku mtaan ni silence majority , endeleen kupiga kelele

lowasa ndio habar ya mjin
 
Aliyekamatwa na ngozi ndiye mwizi,kama lilikuwa sio kosa lake,je kwa nini alikubali kujiuzulu? Yeye amekuwa Yesu kwamba anakufa kwa ajili ya wengine? Kivyovyote vile,kama alikubali kujiuzulu kumlinda mwizi basi hukumu ya kuitwa fisadi anastahili. By the way,wewe umesema yeye aliwajibika tu,je mwenye mzigo huyo ni nani? Mtaje
Samahani, nikumbushe ndugu: hivi ni kwa lipi hasa Mh. Jakaya Mrisho Kikwete alipewa nchi mwaka 2005???!!!! Kwangu mimi, yeyote anayejidai eti haoni utendaji wa Mh. Lowassa huyo ni mnafiki tu. Hivi, ni lini paliwahi kuthibitishwa ufisadi wa Mh. Lowassa???!!! Baadhi yetu tusioendeshwa na tabia za wanasiasa kuchafuana, na tunaotafakari kwa kina juu ya matukio ya kisiasa, tulitambua toka siku nyingi sana kuwa zigo la RICHMOND siyo la Mh. Lowassa; Mh. Lowassa alionewa tu, na yupo hasa mkubwa mwingine aliyenufaika na suala zima la RICHMOND lakini siyo Mh. Lowassa hata kidogo: yeyote anayetafakari kwa kina, atakubaliana nami. NACHUKIA UFISADI- SANA TU, LAKINI RICHMOND SIYO ZIGO LA MH. LOWASSA, ASICHAFULIWE KWALO. NA, MUNGU ATAENDELEWA KUMWINUA JUU SANA MH. LOWASSA DHIDI YA MAADUI WAKE.
 
Lowassa ni mwizi tu na fisadi mkubwa, wiki chache zilizopita aliweka hadharani utajiri wake eti ni wa ng'ombe tu lakini akasahau kujihusisha na wasomali waliotaka kuwekeza kwenye ujenzi wa nyumba. tumechoshwa na wababaishaji na wazembe Lowassa umefikia wakati wa yeye kustaafu badala ya kuendelea kung'ang'ania kutaka kuingia Ikulu.
 
lowasa ni fisadi aliyethibitishwa na bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania (hansard) , na kama yeye hakuhusika na richmond kwanini aling'oka kwa aibu ? Unajua ni lowasa aliyeuza jengo la umma ( wezi wanaita la uvccm) kwa miaka 99 ? Alipangisha kama nani ? Hebu thibitisha hapa kwamba lowasa hahusiki na uchafu huu , Mungu hainui wezi hata siku moja , acheni kumshirikisha mungu na mafisadi wa kisiasa bali mafisadi hujiinua wenyewe kwa kuhonga kila mtu mwenye njaa , UKAWA TUNAMSUBIRI JUKWAANI FISADI YEYOTE YULE , TUTAPAMBANA
 
Lowassa ni mwizi tu na fisadi mkubwa, wiki chache zilizopita aliweka hadharani utajiri wake eti ni wa ng'ombe tu lakini akasahau kujihusisha na wasomali waliotaka kuwekeza kwenye ujenzi wa nyumba. tumechoshwa na wababaishaji na wazembe Lowassa umefikia wakati wa yeye kustaafu badala ya kuendelea kung'ang'ania kutaka kuingia Ikulu.

Kwani kuwekeza kwenye nyumba nako ni ufisadi?
 
Kwa lipi la maana alilolifanya Lowassa hadi apewe nchi?

Kuna sababu nyingi za kusema Lowassa hafai kuwa rais wa nchi hii licha ya kuwa mgonjwa wa macho na mgongo pia ni mmoja wa watu 11 waliotajwa kuwa ni mafisadi.

Amefanya nini la maana hadi tumpe nchi? Unamkumbuka kwa lipi zaidi ya kujiuzulu?

Pesa zake sio tiketi kuwepo ulazima wa kuingia ikulu. Kama anatafuta umaarufu,umaarufu sio kwa mazuri tu hata ufisadi na kujiuzulu napo aljulikana ndani na nje ya nchi.

Sababu zipi za kunishawishi kumpigia kura Lowassa awe rais wa awamu ya tano?

Kuhusu Mnaouita Ufisadi wa Mh. Lowassa
Fikiri pamoja nami juu ya tukio lifuatalo baada ya usomwaji bungeni wa taarifa ya iliyokuwa tume ya Mh. Mwakyembe: Mh. Mwakyembe, kufuatia baadhi ya wabunge kuendelea kulijadiri suala la RICHMOND hata baada ya wiki kadha toka bunge lilipolifunga suala hilo, alipata kutamka hivi, "....Mh. Spika, bunge lako likubali kuvunja kanuni zake ili suala la RICHMOMD lijadiriwe upya na sisi tuyaseme hata mengine tuliyoyaficha ili kulinda hadhi ya serikali...." Sasa ndugu yangu, nachopenda ujiulize hapo ni kuwa ni serikali ipi iliyotunziwa hadhi yake wakati Baraza la Mawaziri lilikuwa limevunjika na Waziri Mkuu wake kuaibishwa kiasi kile mbele ya jamii iliyokuwa ikimuheshimu sana?????!!!!!! Matukio ni mengi sana ambayo ukiyatafakari, na kuweka kapuni ushabiki wa kipuuzi wa vyama, basi utajua tu kuwa Mh. Lowassa alionewa tu. Na, kwa kweli walidhamiria kumnyang'anya nafasi yake. Kwa sababu ya muda na majukumu mengine ya kikazi, naomba tukio hilo moja liwe chachu ya wewe kutafakari matukio mengine kuhusu suala la RICHMOND- hakika utaujua ukweli. Mungu Yupo na Mh. Lowassa, na huyu ndiye Rais ajaye: na, kwa kweli kwa namna nchi ilivyo sasa, huyu ndiye afaaye kuwa Rais wetu.
 
mimi sidhani kama unayoyasema yana ukweli hata kama ingekuwa wewe,huwezi kukubali adhabu ya kunyongwa kwa kosa lisilo lako,never! Kama EL alionewa,aseme sasa kuwa fulani ndio fisadi au anahusika na Richmond,asisubiri muda wa uchaguzi. Na kama atataja kuwa fulani alikuwa au ni fisadi atuambie atachukua hatua gani za kisheria.
 
Huyu amekuwepo kwenye serikali ya ccm kwa miaka mingi sana na bado hajafanya lolote, hata kukishauri chama chake kiwaletee Watanzania maisha bora.

Huyu huyu alijiuzulu kutokana na kutokuwajibika katika kashfa ya Richmond.

Ni huyu huyu anatembea nchi nzima akimwaga fedha kuwania uraisi.

Bado watu kama nyie mnampigia debe ili awe raisi kupitia chama ambacho kimeleta majonzi makubwa kwa Watanzania walio wengi.

Nataka kuuliza je mna hisia za kujiangamiza?
 
Kwann LOWASSA ASIPIWE NCHI...!!? Babu Slaa hamna kitu tena...!!!

Lowassa atawamaliza mwaka huu....!!!
 
Tumechoka na ngonjera za CCM,kila iitwayo leo tunazngumzia wizi,ufisadi nk,huu ufisadi utaisha lini? Watz tupeni nafasi kuzungmzia mengine sio ufisadi na wizi kila kukicha
 
hata Tanzania nzima impigie kura Lowasa mimi Mapi kamwe kura yangu hatoipata
 
Last edited by a moderator:
Alishajibu muda sana...!!! Kupitia NEC YA CCM...kila mtu anajua RICHMOND ni ya nani....!!!

Kama hujui waulize wenzako au muulize Riz1 akupe jibu...!!

mimi sidhani kama unayoyasema yana ukweli hata kama ingekuwa wewe,huwezi kukubali adhabu ya kunyongwa kwa kosa lisilo lako,never! Kama EL alionewa,aseme sasa kuwa fulani ndio fisadi au anahusika na Richmond,asisubiri muda wa uchaguzi. Na kama atataja kuwa fulani alikuwa au ni fisadi atuambie atachukua hatua gani za kisheria.
 
Jaribuni kumsimamisha huyo mgonjwa wenu,mtaangukia pua fasta,pia muwaambie Nape,Ridhiwani,Sitta,Membe,Kikwete na Makonda waanze kutafuta nchi za kuishi as political exile(wakaishi uhamishoni)
Kwann LOWASSA ASIPIWE NCHI...!!? Babu Slaa hamna kitu tena...!!!

Lowassa atawamaliza mwaka huu....!!!
 
Huyu ni mchumia tumbo mwingine anayeutafuta uheshimiwa 2015 kwa nguvu zote kwa kuandika pumba za kila aina ili kukipamba chama cha wahuni, wauza unga, mafisadi, majangili na magaidi.

Mmeharibu sana kumruhusu mtu aliyedharauliwa nchi nzima dr bana kukaa meza kuu , mmefanya utafiti wenu udharauliwe vibaya sana !
 
Kuhusu Mnaouita Ufisadi wa Mh. Lowassa
Fikiri pamoja nami juu ya tukio lifuatalo baada ya usomwaji bungeni wa taarifa ya iliyokuwa tume ya Mh. Mwakyembe: Mh. Mwakyembe, kufuatia baadhi ya wabunge kuendelea kulijadiri suala la RICHMOND hata baada ya wiki kadha toka bunge lilipolifunga suala hilo, alipata kutamka hivi, "....Mh. Spika, bunge lako likubali kuvunja kanuni zake ili suala la RICHMOMD lijadiriwe upya na sisi tuyaseme hata mengine tuliyoyaficha ili kulinda hadhi ya serikali...." Sasa ndugu yangu, nachopenda ujiulize hapo ni kuwa ni serikali ipi iliyotunziwa hadhi yake wakati Baraza la Mawaziri lilikuwa limevunjika na Waziri Mkuu wake kuaibishwa kiasi kile mbele ya jamii iliyokuwa ikimuheshimu sana?????!!!!!! Matukio ni mengi sana ambayo ukiyatafakari, na kuweka kapuni ushabiki wa kipuuzi wa vyama, basi utajua tu kuwa Mh. Lowassa alionewa tu. Na, kwa kweli walidhamiria kumnyang'anya nafasi yake. Kwa sababu ya muda na majukumu mengine ya kikazi, naomba tukio hilo moja liwe chachu ya wewe kutafakari matukio mengine kuhusu suala la RICHMOND- hakika utaujua ukweli. Mungu Yupo na Mh. Lowassa, na huyu ndiye Rais ajaye: na, kwa kweli kwa namna nchi ilivyo sasa, huyu ndiye afaaye kuwa Rais wetu.

Itakuwa ni jambo la kipambavu kumpa mtu urais ambaye anaona kabisa kaonewa, na licha ya kuonewa aliona na alijua kuna mikataba ya kifisadi inakuja na akasaini kisa tu kaambiwa na prof kikwete. Je inamaana Mzee Mamvi kwake rais mmoja ni wa maana sana kuliko watanzania milioni 40? Kama alkubal kuingizwa mkenge na prof basi na aendelee kufa kizungu na tai make huo ni ujinga wake asitafute huruma kwetu eti kasingiziwa inamaana yeye ni mtoto mdogo?
 
Ok,kwa maelezo yako mhusika namba moja wa Richmond ni wa jina lako?
Alishajibu muda sana...!!! Kupitia NEC YA CCM...kila mtu anajua RICHMOND ni ya nani....!!!

Kama hujui waulize wenzako au muulize Riz1 akupe jibu...!!
 
Alishajibu muda sana...!!! Kupitia NEC YA CCM...kila mtu anajua RICHMOND ni ya nani....!!!

Kama hujui waulize wenzako au muulize Riz1 akupe jibu...!!

Kumjua mwenye richmond sio inshu, hoja mezani yeye kama pm alishndwa vp kukataa au kuzuia kusaini mikataba wa kifisadi wa richmond? Kama alishnkizwa na Profesa inamana kwake rais ni muhimu kuliko watz milioni 40? Jibuni hiyo hoja misukule wote wa bwana mamvi.
 
Nguvu ya pesa sasa imeanza kutumika siungi mkono kabisa bwana Lowassa kuwa rais watz tuamkee
 
Back
Top Bottom