Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

Kwa lipi la maana alilolifanya lowasa hadi apewe nchi? Kuna sababu nyingi za kusema Lowasa hafai kuwa rais wa nchi hii,licha ya kuwa mgonjwa wa macho na mgongo pia ni mmoja wa watu 11 waliotajwa kuwa ni mafisadi.
Amefanya nini la maana hadi tumpe nchi? Unamkumbuka kwa lipi zaidi ya kujiuzulu? Pesa zake sio tiketi kuwepo ulazima wa kuingia ikulu. Kama anatafuta umaarufu,umaarufu sio kwa mazuri tu hata ufisadi na kujiuzulu napo aljulikana ndani na nje ya nchi.
Sababu zipi za kunishawishi kumpigia kura Lowasa awe rais wa awamu ya tano?

Rightly or wrongly, the way that you speak is one of the first things that people notice about you.People will judge your background, education and social standing just by the way you speak
 
We ni nani kwanza umayetoa nchi kwa watu? Vp ni wewe ndio ulimpa JMK?
 
Kwa lipi la maana alilolifanya lowasa hadi apewe nchi? Kuna sababu nyingi za kusema Lowasa hafai kuwa rais wa nchi hii,licha ya kuwa mgonjwa wa macho na mgongo pia ni mmoja wa watu 11 waliotajwa kuwa ni mafisadi.
Amefanya nini la maana hadi tumpe nchi? Unamkumbuka kwa lipi zaidi ya kujiuzulu? Pesa zake sio tiketi kuwepo ulazima wa kuingia ikulu. Kama anatafuta umaarufu,umaarufu sio kwa mazuri tu hata ufisadi na kujiuzulu napo aljulikana ndani na nje ya nchi.
Sababu zipi za kunishawishi kumpigia kura Lowasa awe rais wa awamu ya tano?

Nikukumbushe hauogopi kuchukiwa na Pasco na wenzie humu. Wanampenda Manywele hao.....
 
Pigeni kelele weweeee ila lowasa anafaa kuisimamia nchi vema.uwazir mkuu tu alipga kaz nzuri sana. Hayo ya richmond aliingia tu kama kafara. Vote for lowasa
 
raisi wetu lowassa!!!! Tunakusubiria kwa hamu zooote, tunajua samaxx itapanuka ujira utaongezeka, walalahoi wataaajiriwa wasomi watabaki wasomi na ujira wao utakuja tu kwenye zekta zitakazo waitaji ata jeshi lakujenga taifa wataingia uko
 
Kabisa mkuu,chezea Lowasa weyeee!
Makelele bila hata mpango ! Umeulizwa swali rahisi mno , apewe urais kwa lipi na hiyo mijikashfa inayomuandama ? Kwanza aliwahi kufanya nini cha kupigiwa mfano ?
 
Pigeni kelele weweeee ila lowasa anafaa kuisimamia nchi vema.uwazir mkuu tu alipga kaz nzuri sana. Hayo ya richmond aliingia tu kama kafara. Vote for lowasa
Tuwekee hapa hayo aliyoyafanya alipokuwa waziri mkuu kwa mwaka unusu tu ! ( ambayo ni rekodi ya dunia )
 
Kwa lipi la maana alilolifanya lowasa hadi apewe nchi? Kuna sababu nyingi za kusema Lowasa hafai kuwa rais wa nchi hii,licha ya kuwa mgonjwa wa macho na mgongo pia ni mmoja wa watu 11 waliotajwa kuwa ni mafisadi.
Amefanya nini la maana hadi tumpe nchi? Unamkumbuka kwa lipi zaidi ya kujiuzulu? Pesa zake sio tiketi kuwepo ulazima wa kuingia ikulu. Kama anatafuta umaarufu,umaarufu sio kwa mazuri tu hata ufisadi na kujiuzulu napo aljulikana ndani na nje ya nchi.
Sababu zipi za kunishawishi kumpigia kura Lowasa awe rais wa awamu ya tano?
Hivi akili yko ndo kuwa mtu akiwa rais amepewa nchi? Nchi ni y wananchi jitambue
 
Anaichukua toka kwa nani??

.......................Eti....
Anaichukua kuipeleka wapi?
Anaichukua kwanini? Ili iweje?
.....Anaichukua.....anaichukua.....anaichukua......
Mawe? ajipumzikiage Mzee wa watu, amekula chumvi nyingi. Ameshiba.....
 
Back
Top Bottom