Anaichukua toka kwa nani??
Atachukua nchi kwa kura yako!
Anaichukua toka kwa nani??
Watz tujifunze kuelewa concept jamani..hizi shule za kata kajenga wapi Lowassa?? mie kijijini kwangu nilishiriki kuijenga wala sikumuona Lowassa wala hela yake.ila lilikuwa ni tamko la serikali ambalo lilianzia kwenye mmem na likaingia kwenye mmes na tayari idea ilishakuwaepo toka awamu ya mkapa..hivi wewe upo dunia ya ngapi.Katika kipindi cha miaka 2 aliyokaa madarakani bwana EL kajenga shule za kata kibao,chuo cha dodoma na mradi wa maji wa ziwa victoria kupeleka mikoa ambayo haikua na maji ya shinyanga,simiyu na Geita.Sasa unvosema hajafanya kitu mie nakushangaa sana na kuhusu ufisadi ile hela walipiga watu wengi sana ila yeye ndiye aliyekua mbuzi wa kafara.
hivi wewe upo dunia ya ngapi.Katika kipindi cha miaka 2 aliyokaa madarakani bwana EL kajenga shule za kata kibao,chuo cha dodoma na mradi wa maji wa ziwa victoria kupeleka mikoa ambayo haikua na maji ya shinyanga,simiyu na Geita.Sasa unvosema hajafanya kitu mie nakushangaa sana na kuhusu ufisadi ile hela walipiga watu wengi sana ila yeye ndiye aliyekua mbuzi wa kafara.
hivi wewe upo dunia ya ngapi.Katika kipindi cha miaka 2 aliyokaa madarakani bwana EL kajenga shule za kata kibao,chuo cha dodoma na mradi wa maji wa ziwa victoria kupeleka mikoa ambayo haikua na maji ya shinyanga,simiyu na Geita.Sasa unvosema hajafanya kitu mie nakushangaa sana na kuhusu ufisadi ile hela walipiga watu wengi sana ila yeye ndiye aliyekua mbuzi wa kafara.
Alijenga shule za kata? Lete ushahidi hapa wa kitakwimu alichangia sh.ngapi hizo shule zikajengwa?
cha kuongezea tu kwani alitoa pesa yake mfukoni? Si alitumia kodi za wananchi,angekuwa katumia pesa zake sawa!
Atachukua nchi kwa kura yako!
Kwa lipi la maana alilolifanya lowasa hadi apewe nchi? Kuna sababu nyingi za kusema Lowasa hafai kuwa rais wa nchi hii,licha ya kuwa mgonjwa wa macho na mgongo pia ni mmoja wa watu 11 waliotajwa kuwa ni mafisadi.
Amefanya nini la maana hadi tumpe nchi? Unamkumbuka kwa lipi zaidi ya kujiuzulu? Pesa zake sio tiketi kuwepo ulazima wa kuingia ikulu. Kama anatafuta umaarufu,umaarufu sio kwa mazuri tu hata ufisadi na kujiuzulu napo aljulikana ndani na nje ya nchi.
Sababu zipi za kunishawishi kumpigia kura Lowasa awe rais wa awamu ya tano?
huo ndio ukweli ingawa utaupingaAlijenga shule za kata? Lete ushahidi hapa wa kitakwimu alichangia sh.ngapi hizo shule zikajengwa?
Hivi ni lini katangaza kugombea urais! Hajatangaza nia unaaza kutokwa na povu; akitangaza si utajinyea?? Kama huna hoja ya kupost kaa kimya, pita soma za wengine zenye maana usonge mbele!!! Wewe ni daktari wake hadi ujue anaumwa nini?? Hata km ni daktari ushapoteza sifa maana ni mwiko kutoa siri za wagonjwa!!! Wangapi wagonjwa wa macho/moyo na bado ni viongozi wazuri tu!!??? Jiulize ni wangapi wanavaa miwani tanzania na wangapi nmi viongozi?? au wangapi wanatumia dawa za magonjwa sugu?? Je ni ugonjwa upi haumruhusu mtu kugombea?? Je wewe huna ugonjwa wowote?? Jk alizushiwa magonjwa mangapi na sasa anamalizia kipindi chake?? Ufisadi /wizi upi usiotambuliwa na sheria ambao hatujaona anafikishwa mahakamani??? think twice before you .......