Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

Pigeni kelele weweeee ila lowasa anafaa kuisimamia nchi vema.uwazir mkuu tu alipga kaz nzuri sana. Hayo ya richmond aliingia tu kama kafara. Vote for lowasa

kafara? Kwa mantiki hiyo unamfahamu/unawafahamu waliomtuma kuingia mkataba na kampuni hewa ya Richmond,tuambie ni akina nani hao waliomtuma?
 
una macho lakini hauoni una maskio lakini hauambiliki

kumbuka kuona na kutazama ni tofauti,pia kusikia na kusikiliza ni vitu 2 tofauti. Kwa kauli yako hiyo ni kweli sioni na sisikii,ila ungesema kusikiliza na kutazama ningekubaliana na hoja yako. Ndio maana hata mwalimu darasani husema sikiliza na sio sikia,tazama na sio ona pia kauli hizo huambatana na vitendo anavyofanya mwalimu. Ingekuwa ni kuona na/au kusikia,basi mwl angekuwa anaingia darasani na kuondoka
 
jiandae kisaikolojia
 
ungependa awe nani

siwezi kutaja jina la mtu bali nataja sifa za mtu anayefaa kuwa rais wa nchi hii.
1. Awe mwadilifu na mzalendo
2. Awe na uwezo wa kutatua matatizo ya kiuchumi,kisiasa na kiutamaduni
3. Awe ni mtu anayejali watu wake hususani wanyonge
4. Awe ni mtu anayeweza kulinda rasimali zetu kama madini,wanyama nk
4. Awe na uwezo wa kushughulikia wahujumu uchumi
 
hebu nitajie huyo mwenye sifa hizi tumjue.
 
siwezi kutaja jina la mtu bali nataja sifa za mtu anayefaa kuwa rais wa nchi hii.
1. Awe mwadilifu na mzalendo
2. Awe na uwezo wa kutatua matatizo ya kiuchumi,kisiasa na kiutamaduni
3. Awe ni mtu anayejali watu wake hususani wanyonge
4. Awe ni mtu anayeweza kulinda rasimali zetu kama madini,wanyama nk
4. Awe na uwezo wa kushughulikia wahujumu uchumi

tumechoka sifa tunazijua huhitaju kunikumbusha..wew unamkataa raisi wangu mtarajiwa kwa hoja ulizozitoa then....sema wa kwako ambae utakuwa tayar kumpa kura yako kwa moyp radhi...mwenye sifa Ulizodai...na uniambie umefahamuje na je unafahamu side B yake....usiumeume maneno nitajie
 
Porojo kibaaao ! Topic umeielewa lakini unaleta longolongo , team lowasa mmebaki na promo za kisanii tu , mtu aliyeshindwa U-PM tena kwa mwaka unusu tu ataweza nini ? Unaulizwa kwa lipi hasa ? Tuwekee jibu .
 
Lazima awe gumzo maana yeye ndo hofu ya wote wanautaman urais mwakani, hata mleta mada ametumwa tu apme kina cha maji, ushauri wangu kwa mleta mada pls tumia mti usipme kina cha maji kwa mguu wako wowote uwe wa kulia au wakushoto utasombwa mzmamzma, cheza na EL wew!
 
Back
Top Bottom