Kwa mtizamo wangu mimi ninaweza kuwaanisha waliotangaza nia katika makundi matatu:
1. wenye nia dhabiti ambao ni mh. lowassa,mh.membe, na mh.waziri mkuu( The premier)
2. wapambe wa wagombea hao hapo juu ...
3. watangaza nia wa 2025.
wengi wa walio tangaza nia watakuja kumerge na kumsuport mgombea mmoja, na inaweza kuwa ni silaha itakayotumiwa na wale wasio mtaka mgombea fulani ... hivyo ... nendeni mkatangaze nia ili kuwagawa wafuasi wa yule asiyetakiwa na siku ya siku ikifika mseme mimi najiotoa na ninaomba wanaoniunga mkono tumpigie kura ndugu ...
wengine ni wale wanataka wasikose uwaziri ... yaani waonekane ni obvious choice kwa uwaziri kwa whoever ataingia madarakani ...
na kwa mtizamo wangu siasa za bongo zimeanza kuwa za kikanda ... angalia waliotangaza nia na kanda wanazo toka ... siku ya siku itakuwa ni vita kati ya kundi A vs kundi B...
Haya wote kila laheri ... but play safe ...
.... not sure if i am within the scope of the thread yet...