Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

Hakuna kati ya hao waliokwisha jitangaza anayefaa kutufikisha kaanani yetu.
 
Ni wazi kwamba uongozi na wanaoutamani uraisi ndani ya CCM nguvu zote wameelekeza kwa mtu mmoja tu nae ni Lowassa. Huku akina January Makamba na Mwigulu wakiwa tayari wameanza kampeni kwa njia mbalimbali na uongozi wa chama ukijivika uki
pofu na ukiziwi wa mchana kweupe!! Mimi najiuliza hivi kwa kuwa Mh. Lowassa hakuna sehemu au mahala ashawatangazia Watanzania kwa ujumla dhamira ya uraisi, je akitamka sasa anautaka uraisi kama January Makamba anavyofanya itakuwaje?
Raisi wa monduli labda.
 
Umechangia kwa werevu mkubwa sana. Hadi sasa njia salama ya kukinusuru hiki chama ni kuwaacha wanachama waamue na si vipingamizi vya maadili ambapo kuna waliovuka mipaka kuliko hata Lowassa. Hebu angalia hicho kitabu cha kijana mwezetu January,lengo kuu ni kujikapenia tu basi.

pesa ni zaidi ya mchawi, Lowassa kawaroga kabisaaa.
 
mzee warioba ameshatufunguwa macho kuwa wanaozunguka ni sawa na watoto waliyo tangulia sokoni bila pesa wakati baba amebaki nyumbani na pesa za kununulia vitu sokoni!!!
january na february wametangulia tu sokoni hawana pesa za kwenda kununulia vitu hko!!!
 
Nimeipata hii kuwa nec.inampango wa kumsimamisha dr.shein na mgombea mwenza atakuwa no lowassa katika kinyang'nyiro ya kiti cha urais wa Tanzania.hii ni kudhibiti makundi na mgawanyiko ndani ya chama hicho ambayo kwa sasa hivi iko taabani.hii inatokana na mgawanyiko na makundi yalioko kwenye chama kwa sasa.nawasilisha muweze kujua hili
 
kama lowassa anaweza kuwa makamu wa rais basi shein endapo atabahatika kuwa rais atakufa ndani ya miezi sita na lowassa anaapishwa kuwa rais..mafioso
 
Unapima upepo kwa kuzungusha ungo wa kupepetea hayaaaa
 
Nyie CCM jidanganyenu muweke muislam tena awamu, mtajuta kuijua Tanzania
 
kama lowassa anaweza kuwa makamu wa rais basi shein endapo atabahatika kuwa rais atakufa ndani ya miezi sita na lowassa anaapishwa kuwa rais..mafioso

Una maana gani kaka kwa kusema hivyo.atakufa vipi fafanua?
 
Mwislamu tena!! Hiyo haipo mzee, na wakifanya hivyo wajue UKAWA njia nyeupe..
 
Back
Top Bottom