robert deusi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2014
- 399
- 69
Sio kununuliwa mkuu ndio ari halisi hiyo inajulikana kwenye richmond alitolewa kafara lakini mhusika mkuu anajulikana hilo liko wazi
Mbona unacoment mwenyewe? Nchi itatikisika kweli kwani ni ajabu kwa fisadi kuthubutu kuchukua fomu!
Mbona unacoment mwenyewe? Nchi itatikisika kweli kwani ni ajabu kwa fisadi kuthubutu kuchukua fomu!
Siyo lowasa wala ukawa Rais atatoka chama tawala ila siyo miongoni mwa hawa walionesha nia ya kugombea mapema kiasi hiki.Mbona Siku alivyojiuzuru uwaziri haikutikisika. na Hapo Ndipo ukawa watakapopitia. ksb Lowasa anakubalika angefanya siasa Za harakati. na sio siasa ya kugawa pesa.
sio shoga we kweli?!jamani kiukweli huyu mbaba amebarikiwa na mungu.jamani huyu mbaba ana nywele nzuri sana,jamani sura yake ni ya uhandsome na anavutia kweli.jamani huwa akivaa na miwani yake huwa namtani sana.jamani nawaombeni tumkubalie awe rais wetu.nawasilisha
jamani kiukweli huyu mbaba amebarikiwa na mungu.jamani huyu mbaba ana nywele nzuri sana,jamani sura yake ni ya uhandsome na anavutia kweli.jamani huwa akivaa na miwani yake huwa namtani sana.jamani nawaombeni tumkubalie awe rais wetu.nawasilisha
Taarifa za kuaminika kutoka ndani vikao vinavyoendelea huko Zanzibar zinasema kuna Uwezekano wa Mbunge wa Monduli mh, Edward Lowassa kupitishwa na kuwa mgombea wa CCM mapema mwezi mei mwaka huu , taarifa hizi ambazo zimevujishwa na kiongozi mmoja na kigogo mwandamizi wa CCM ambaye yupo huko kisiwani ambaye alisikika akisema " Hakuna mtu mwenye hati miliki ya CCM wote waliopo ndani ya CCM ni wanachama na kiongozi anachagulia na wanachama , hivyo hatuwezi kumkataa ama kumfukuza EL kwasababu zipi kwakua na wafuasi wengi wanao mtaka yeye kuwa Raisi ama ? Wananchi wana Imani na Ndugu Lowassa kwanni asipitishwe na Chama chetu , alikazia kuwa na Tumesikia wananchi wakipiga Nyimbo zake tumeona vijana wakimuunga mkono sana sisi hatuwezi kufanya kama hilo tupo makini " hatuwezi kuua CCM kwasababu yakuacha kumpitisha Lowassa kwa mfano mimi binafsi ni mjumbe CC na pia namkubali Lowassa, kwakua anakubalika na wanachama na Upinzani pia kutokana hali halisi ya mwenyekiti anapokiacha Chama kikiwa katika hali mbaya na kushndwa kufanya maamuzi katika mambo ya msingi katika Chama na Serikali alisikika akisema kiongozi huyo mwenye nafasi na sehemu kubwa ya maamuzi ndani ya CCM " kutokana na hali halisi iliyopo hapa nchini kwasasa inaonekana dhahiri kuwa Lowassa ndio kiongozi aliyenaushawishi mkubwa ndani ya CCM na Nje ya CCM na mwenye nafasi ya kuwa Raisi wa awamu ya 5 ya Tanzania ,
Tusubiri mda si mrefu baadaye Leo mtaona yatakayojiri huko Visiwani .........