Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

afadhali apewe, maana kwa miaka 9 sasa nchi ipo auto pilot! hakuna wa kuamua jambo! kila mtu analalamika! bora aje atuibie lakini awe na maamuzi endelevu!

umenena vema, hatuhitaji rais fastjet tena bora lowassa mara 1000000
 
Kwa lipi la maana alilolifanya Lowassa hadi apewe nchi?

Kuna sababu nyingi za kusema Lowassa hafai kuwa rais wa nchi hii licha ya kuwa mgonjwa wa macho na mgongo pia ni mmoja wa watu 11 waliotajwa kuwa ni mafisadi.

Amefanya nini la maana hadi tumpe nchi? Unamkumbuka kwa lipi zaidi ya kujiuzulu?

Pesa zake sio tiketi kuwepo ulazima wa kuingia ikulu. Kama anatafuta umaarufu,umaarufu sio kwa mazuri tu hata ufisadi na kujiuzulu napo aljulikana ndani na nje ya nchi.

Sababu zipi za kunishawishi kumpigia kura Lowassa awe Rais wa awamu ya tano?

hawa wanaompigia debe huyu fisadi hawana tofauti na vikaragosi
 
mzee warioba ameshatufunguwa macho kuwa wanaozunguka ni sawa na watoto waliyo tangulia sokoni bila pesa wakati baba amebaki nyumbani na pesa za kununulia vitu sokoni!!!
january na february wametangulia tu sokoni hawana pesa za kwenda kununulia vitu hko!!!

Ha ha ha ha ha mkuu umenichekesha sana!!!hapo sokoni itabidi watafute mawe wakalie daaaa!!!
 
hatuwez kumchagua mtu ambae yupo kwenye LIST OF SHAME.
 
ngoja tumpe ili na yeye haifanye MONDULI IWE KAMA ROMA. uzuri wake anaiba anakuja kutujengea huku
 
Hatutaki mafisadi waliokataliwa na Mwl Nyerere. Kikwete alikataliwa na Mwl Nyerere mkampa urais,mnaona anayoyafanya,hadi anaweka viporo majizi na matapeli makubwa.
 
Tangu nimemfahamu Mh.Edward Lowassa moja kati ya mambo mengi mazuri alonayo ya kufanyika mfano wa kujifunza na kuigwa ni NAMNA ANAVYOENDESHA SIASA ZAKE.

Kusema ukweli Eddo ni Kiongozi Imara sana:-

1.NI MVUMILIVU;Mtu ajuaye kuhimili mikiki mikiki ya washindani na wabaya wake pia.

2.NI MAKINI NA ANAONA MBALI JUU YA HATIMA YA YAKE NA TAIFA LETU;Lowassa utamnena kwa ubaya na uongo lakini kamwe hutamtoa kwenye track ya Maono yake si MROPOKAJI 100%.

3.ANAO UWEZO KUANZA JAMBO,KULISIMAMIA NA KULIKAMILISHA.
Mf.Mradi wa maji kuyatoa Ziwa Victoria hadi Shinyanga,alituambua wajibu wake kwa Taifa,Haki ya kuyatumia maji ya Ziwa Victoria kwa Taifa letu,aliweza kuwakabili wa-Misri bila woga wala kuchekacheka.

4.MTU WA KUFANYA MAAMUZI MAZURI NA MAGUMU:-
Akiwa Waziri Mkuu kulikuwa na nidhamu ya hali ya juu kwa Wafanyakazi wote kuwahi kazini na kufanya kazi kwa bidii bila ya kupiga story maofisini ama kutoroka kazini.

Kuna wimbi kubwa la Viongozi siku za leo hasa ndani yaY CHAMA CHA MAPINDUZI ambao wana utaka Urais huko hata zile Wizara zimewashinda kuzisimamia ili kuleta ustawi kwa Taifa.

Jifunzeni kwa Lowassa anapendwa na kutajwa kwenye vinywa vya Wananchi wengi kuwa anastahili AWE RAIS AJAYE NI KWA SABABU YA SIFA ZAKE NA KAZI ZAKE.

MPAKA TULIPOFIKA KWA WANAOWANIA WADHIFA HUU WA URAIS,EDWARD NGOYAI LOWASSA NI MFANO MZURI WA KUIGWA KWA WATAKA URAIS WOOOTE.

Asanteni kunisoma na kunielewa.
 
Hili la mradi wa maji kutoka ziwa viktoria limekuwa kama ile hadithi ya kipofu na punda. Ingekuwa ni cd basi isinge wezekana kuicheza tena kwa kuchubuka.

Badilisheni hii cd angalau mzungumzie na ule mpango wa kuingiza nchini mvua ya mabomu.
 
Tangu nimemfahamu Mh.Edward Lowassa moja kati ya mambo mengi mazuri alonayo ya kufanyika mfano wa kujifunza na kuigwa ni NAMNA ANAVYOENDESHA SIASA ZAKE.

Kusema ukweli Eddo ni Kiongozi Imara sana:-

1.NI MVUMILIVU;Mtu ajuaye kuhimili mikiki mikiki ya washindani na wabaya wake pia.

2.NI MAKINI NA ANAONA MBALI JUU YA HATIMA YA YAKE NA TAIFA LETU;Lowassa utamnena kwa ubaya na uongo lakini kamwe hutamtoa kwenye track ya Maono yake si MROPOKAJI 100%.

3.ANAO UWEZO KUANZA JAMBO,KULISIMAMIA NA KULIKAMILISHA.
Mf.Mradi wa maji kuyatoa Ziwa Victoria hadi Shinyanga,alituambua wajibu wake kwa Taifa,Haki ya kuyatumia maji ya Ziwa Victoria kwa Taifa letu,aliweza kuwakabili wa-Misri bila woga wala kuchekacheka.

4.MTU WA KUFANYA MAAMUZI MAZURI NA MAGUMU:-
Akiwa Waziri Mkuu kulikuwa na nidhamu ya hali ya juu kwa Wafanyakazi wote kuwahi kazini na kufanya kazi kwa bidii bila ya kupiga story maofisini ama kutoroka kazini.

Kuna wimbi kubwa la Viongozi siku za leo hasa ndani yaY CHAMA CHA MAPINDUZI ambao wana utaka Urais huko hata zile Wizara zimewashinda kuzisimamia ili kuleta ustawi kwa Taifa.

Jifunzeni kwa Lowassa anapendwa na kutajwa kwenye vinywa vya Wananchi wengi kuwa anastahili AWE RAIS AJAYE NI KWA SABABU YA SIFA ZAKE NA KAZI ZAKE.

MPAKA TULIPOFIKA KWA WANAOWANIA WADHIFA HUU WA URAIS,EDWARD NGOYAI LOWASSA NI MFANO MZURI WA KUIGWA KWA WATAKA URAIS WOOOTE.

Asanteni kunisoma na kunielewa.

Ndugu yanga 12stone samahani kama nakuboa ila mimi tayari umeshaniboa kutokana na kumpigia debe mtu anaehonga mapesa ili aingie tu ikulu,swali je, anategemea kuzipata wapi hizo pesa alizopoteza kwenye kuomba kura
Nakumbuka mwl.nyerere aliwahi sema mtu anayehonga pesa ili aingie ikulu hatufai...kwani kuna kabiashara gani pale ikulu.
Nje ya hayo ya mlw. tuje kwako mwenyewe. ... ww uelewa wako ulio nao unaona kuwa huyu mtu ni sahihi kwetu sisi watanzania tena maskini...
Huwa nashangaa sana napoona mtu anasimama na kumpigia debe lowassa wakati nyuma ya pazia ni uozo mtupu..
Kama ww 12stone ni kijana,na natumaini kuwa ww ni kijana basi inabidi ww ndo uwe wa kwanza kukataa vitendo hivi otherwise kama na ww ni kati ya wale walopata kuzipiga pesa za lowassa anazowekeza kwa wananchi ili aje kupata faida zaidi...🙄🙄
 
Back
Top Bottom