Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

Jamaa mgonjwa mwangalie akiongea, midomo inapishana
 
Ndio, wananchi tunamkubali tena sana, lakini je CCM itampitisha kuwa mgombea wa urais?
 
Yeyote anaempigia debe Lowassa iko wazi kuwa anakuwa amelipwa kwa kazi hiyo
 
Akisimama anakuwa kama anajibanabana kama vile anaogopa kujamba. Haoni mbali, mikono inatetemeka kama mwenye parkinson syndrome
 
kutwa kulala unashindia unalalia mitandaoni eti kumpigia kampeni fisadi, anakulipa bei gani. Kama huna kazi nenda kijijini kalime.

Hii nchi ina viajana wengi wasiojitambua hasa wa ccm

Unatokwa povu hii ndio nguvu ya Lowassa..
 
Tatizo la Lowasa hawakukutana na Kikwete barabarani !

Mhe.Lowasa asipowachinjia baharini timu ya mafisadi hapati urais.
 
Back
Top Bottom