Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

CCM wote ni walewale!! wako radhi kuwasaliti wananchi kwa manufaaa yao tu!!! hakuna anae faaa kuwa raisi hapo!! wote wazo lao ni moja!!!
 
CCM wote ni walewale!! wako radhi kuwasaliti wananchi kwa manufaaa yao tu!!! hakuna anae faaa kuwa raisi hapo!! wote wazo lao ni moja!!!

Watanzania wenzangu, kigezo tu cha wana CCM hawa waliojitokeza kushindwa kusimamia vema mchakato wa kupitisha Katiba mpya ni sababu kubwa kuwanyima kura za udiwani, ubunge na uraisi mwaka huu 2015. Mtu hutakiwi kupepesa macho kutambua makosa ya kiuongozi kwa mtu yeyote aliyeshiriki kwenye Bunge Maalumu la Katiba mpya na kushindwa kutetea kwa dhati maoni ya wananchi.
 
katiba ndio ilikuwa inaonyesha jinsi gani tuna viongozi wasaliti na wanafiki wako radhi kutunyonga wananchi ili woo wapate faida!!! hatuwaitaji kabisa wasaliti hawa!! sisi tuliacha kazi zetu ili kutoa maoni wao wanatudharau!!!! wasaliti hawa!!.
 
Nguvu anazotumia EL kuusaka Urais inatia Shaka km ana nia nzuri
 
Ana uwezo wa kuichukua mwenyewe nyie mnaosubiri labda eti ndo mtakaompa endeleeni kusubiri
 
Discussing Eddy Lowassa has to a great many fools turned out to be an occupation,may be!Well go ahead and keep hurling insults to him if that at all puts food on your tables;KITU KIMOJA KILICHO DHAHIRI NI KUWA TATIZO LA AJIRA KATIKA NCHI HII NI KUBWA MNO NDO MAANA WATU WAMEAMUA KUWA WAMBEA,WAMEJAWA CHUKI NA WIVU NA WAMEAMUA KUSHINDA JF KUTUKANA MTU MMOJA TU KWA TAKRIBANI MIAKA 10 SASA;GO AHEAD AND KEEP DOING THAT IF AT ALL THAT HELPS YOU TO WARD OFF STRESS
 
Waziri Mkuu msataafu na mbunge wa monduli amedhihirisha kuwa ana hazina kubwa ya vijana wakina mama na hata wapinzani katika siasa za Tanzania.

Ikiwa Edward Lowassa amesimamishwa na kamati ya maadili ya chama cha mapinduzi vijana wapatao elfu moja walijitokeza chini ya utaratibu wa vuguvugu lao la mabadiliko linalo amini mabadiliko huanzia kwa mtu mmoja ( 4U Movement | FRIENDS OF LOWASSA).

Hata hivyo nilipo wadadisi vijana hao kuwa labda mmetumwa au lava , walijinasibu kuwa wao wapo tayari si kusapoti chama bali uongozi utakao kuwa unafuata misingi mikuu minne yaani UTUMISHI, UWAJIBIKAJI, UMOJA NA UZALENDO ambavyo wanaamini Edward anavitekeleza na ndio Kiu yao ya kumsaport.

Nilikwenda mbali kuwahoji kuwa hamhofii chama kitamuadhibu kufanya kampeni kama walivyo msimamisha?? Basi majibu yao yalikuwa hivi wao ni marafiki na mashabiki wa Lowassa na aliezuiwa ni Lowassa na kamati ya mangula , na wao kama watanzania wana Uhuru wakupendekeza na kushawishi kiongozi wamtakaye na hakuna wakuwazuia kwani ni Uhuru wakikatiba wanautumia.

Basi namimi kunufanya kuamini huu ni wakati wa Lowassa wenye MAAMUZI NA MATUMAINI MAPYA KWA WATANZANIA WOTE.

hakika Lowassa hakamatiki, Hazuiliki, haepukiki , Chama cha mapinduzi kuvuna mbivu au mbichi.
 

Attachments

  • 1420411219988.jpg
    1420411219988.jpg
    125.5 KB · Views: 633
  • 1420411238056.jpg
    1420411238056.jpg
    134.7 KB · Views: 630
No way out nchi ilipo kwa sasa tunamuhitaji huyu mtu kuliko maelezo. Lowassa for presidency 201Chelsea..!
 
na mimi ntajiunga nipige hela.. laki tano sio mchezo.. na usipopiga hela mwaka huu basi hutokaa upige hela tena
 
Kijiti ndani ya sikio, rahaaaaaa...... Raha jipe mwenyewe bana.
 
Back
Top Bottom