Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

Jk anamuhofia lowassa SNA,lakini wala lowssa wala hana mapngo wa kulipiza kisasi kwasabu anamfahm rafik take tokea wakiwa jeshini kuwa hana msimamo,kwahyo amezoeya haimpi presha
 
Lowassa ile Ni namba nyingine,sisiemu hawalali wanamuota Tu lowassa,lowasa atakuwa raid WA nchi aidha kupitia ccm au ukawa
 
msaka tonge tu huyo kwan hata kikwete tulikuwa tuna mkubali mwisho wa movie majanga

Kikwete 2005 alipendwa, si utani. EL hapendwi ebu tuache mzaha. Ni watu walionunuliwa kama huyu mleta uzi wanafosi mambo, sisi ndo nyama na tupo buchani alafu yeye FISI, sisi wenyewe nyama tumuingize buchani, kwamba sisi wapumbavu au! EL mwizi, na kizuri viongozi wa sisiemu baadhi wameona kuwa ananunua watu. Hatopita hata kwa sisiemu. Akipitishwa, ndo anguko lao!
 
Lowassa ile Ni namba nyingine,sisiemu hawalali wanamuota Tu lowassa,lowasa atakuwa raid WA nchi aidha kupitia ccm au ukawa

Mbona unawadharau UKAWA kiasi hicho, sio chombo cha kudandia tu au kukitumia kile. Endelea kunyonya mapumbu ya mamviii.
 
Hata ufanyeje Lowasa hawezi kuwa Rais wa Tanzania
 
Lowassa ile Ni namba nyingine,sisiemu hawalali wanamuota Tu lowassa,lowasa atakuwa raid WA nchi aidha kupitia ccm au ukawa

Kama atakuwa Raid sawa, lakini siyo Rais

Pia CHADEMA wakilogwa wamkaribishe Lowasa watashangaa jinsi tutakavyo ama hicho chama
 
Jk anamuhofia lowassa SNA,lakini wala lowssa wala hana mapngo wa kulipiza kisasi kwasabu anamfahm rafik take tokea wakiwa jeshini kuwa hana msimamo,kwahyo amezoeya haimpi presha

Amhofia kwa kipi cha maana alichonacho.
 
tuñaka rais ajaye awe mkatoliki lowasa kigezo hicho hana,na àkiwa muislam awe bakwata
pinda o membe ndo nec watampitisha
 
jamani kiukweli huyu mbaba amebarikiwa na mungu.jamani huyu mbaba ana nywele nzuri sana,jamani sura yake ni ya uhandsome na anavutia kweli.jamani huwa akivaa na miwani yake huwa namtani sana.jamani nawaombeni tumkubalie awe rais wetu.nawasilisha
 
sawa dada tumekusikia ila huyu jamaa mgonjwa mgonjwa sijui kama kazi ataiweza
 
Back
Top Bottom