I_love_you
Member
- Jul 6, 2013
- 80
- 7
Ukiwa na mawazo ya busara huitaji mtu kuyapandisha paan ili wengine wayaone, taifa taifa c chumba cha dada zako,kama ni mmasai mwezio cc hatuujui huo umasai tunaitaj yle watanzania wanaitaj sio wamasai
Anayemwogopa Lowasa ni adui yake na mnafiki ?
Nasema KWELI TUPU kwamba simwogope Lowasa bali namheshimu kama shujaa
kweli lowasa ni shujaa na anakublika kwa watanzania wenye akili timamu lakn wale wanafiki wanamsengenya sana,acheni sentesi zenye kukengeusha kwa watanzania
Bw.Lowasa hapewi Nchi bali anachukua Nchi!
aaaah wacha bwana!!yaani unavyoshadadia utafikiri mama mwenye ngoma vile na anaechezwa bint yake wa kwanza
Bw.Lowasa hapewi Nchi bali anachukua Nchi!
EL Ni Fisadi Na Wewe Mtoa Mada Ni Mfaidika Wa Ufisadi Wake.
jamani lowasa hajawai kufukuzwa kazi amejiuzulu kama alivyo wahi kufanya mzee mwinyi na sokoinekwanini alifukuzwa kibarua na BABA RIZ ???
jamani lowasa hajawai kufukuzwa kazi amejiuzulu kama alivyo wahi kufanya mzee mwinyi na sokoine
Ningetamani sana rais wa awamu ya tano asitokee CCM kwani hakuna msafi hata mtoto mdogo aliyezaliwa kwenye familia ya mwanachama wa CCM.
Wote ndani ya CCM ni tumbili wanakula mahindi ya nchi hii.
Ukisikia tumbili wanagombana usije ukafikiri kwamba wanakemeana wasiibe mahindi bali ujue wanagombania mahindi.
Ikitokea kwa bahati mbaya hii nchi ikabaki chini ya pori la tumbili hawa CCM basi Lowassa anaweza akatumia kushiba kwake na kuwadhibiti tumbili wanaojiandaa kuvamia shamba na njaa zao wakitamani kushiba kama Lowassa.
Fisadi au tumbili mwingine anyeweza ni Pombe Magufuli.Huyu naye ni fisadi mchapa kazi sio kilaza.
Watanzania tusirubunike ndani ya CCM hakuna cha mlokole wala ustadhi wote lao ni moja, kula na kuiba mali za Umma tu huku ubunifu wao ukiwa ziro.
Ukitaka kujua kama CCM wote ni kitu kimoja kumbuka walichofanya Dodoma kwenye Bunge Maalumu la Katiba. Hakuna waziri au mbunge wa CCM aliyesimama na kutetea makosa makubwa ya uchakachuaji wa mawazo ya wananchi. Tusitegemee jipya kutoka mgombea wa uraisi kutoka CCM kama akichaguliwa kwenye kiti cha uraisi 2015. Hakuna sijui EL, sijui Membe, sijui Wassira, sijui Pinda, sijui J. Makamba wote hawa ni kitu kimoja! Tafakari. .....